Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae...
Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito
Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!!
Vipi...
Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu
Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena.
Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
Nina manzi Hadi sasa ni Zaidi ya 3 years nipo nae tangu akiwa ana 19yr anasifa zote nazo zihitaji
Shida Mzee anataka nirudi Kilimanjaro nichukue jiko kule alafu nimkache manzi yangu
Mnashauri niforce vipi?👇👇👇
Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani.
Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German girl' usikurupuke.
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili
Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja...
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto.
Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau...
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa...
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
NITAWAELEZAJE ILI NIOE?
Habari za leo kaka magic power
Kuna jambo linaninyima usingizi sana,Mimi ni kijana na baba wa miaka 31 ila sijaoa ni mwajiriwa serikalini na mjasiriamali nina mabinti wawili mama tofauti ambao nilizaa nao mda wa kwanza ana miaka 08 yuko darasa la tatu na wa pili yupo...
Kijana mmoja ana udugu nami japo kwa mbali, kaniuliza hilo swali, eti aoe mke au atafute mwaname wa kuzaa nae? Nimemjibu anipe wiki ndio ntamjibu, wadau mmeona hilo swali?
Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.
Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa...
INSPIRED BY THIS PHOTO
Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU
Binafsi nimechoka kuwa na mahusiano na hivi videmu vya 2000 usumbufu mtupu!! na kupotezeana muda TU.
Binafsi bila kusurutishwa na...
Ndugu zangu
Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu
Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa
*Muha-2
*Mhehe-2
*Mchaga wa kimachame -4
*Mchaga wa kirombo-2...
Helloww
Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
Habari za Leo.
Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo.
Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi...
Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.