Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

wilbert peter

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
244
221
Wakuu habarini, nilikuwa naomba mawazo yenu.

Nataka kujenga nyumba Mbeya huku Inyala (nje kidgo ya mji) bajeti yake 27M (kiwanja ninacho tayari nilinunua 2M). Pesa hii nimeisave kwa miaka 5 tangu nilipoanza kazi huku Mbeya Mjini kwenye NGO.

Je, kwa kiasi hiki nitaweza wadau naomba ushauri.

FB_IMG_1580650682825.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa hiyo Ni nyingi na Inatosh kujenga hiyo nyumba bila was na chenchi itabak. Zingatia

Aina ya Fundi

Ununuz wa vifaa/ aina pia

Usimamiz

Jenga na patana kw hatua mf. kujenga boma, then kupaua, bandering, plasta nk.

Usibadili mafundi inapendeza ulieanz nae umalize nae ispokua kw kazi asiyoijua. Atakuw fair kwko ktk gharama.

Mengine wataongezea walio wahi kujenga , huu ni uzoefu wangu tu kama fundi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom