Kuna watu wanasema Wagner wamechukua mji bila upinzani..
Yaani walitaka Russia ashambulie wakati ukishawaua masharti kwenye meza ya mazungumzo yatakuwa magumu zaidi na huenda wasije kabisa mezani.
Hapa Russia katumia akili sana.
Nadhani kweli Wagner walikuwa na madai si kama ambavyo watu wanasema ni propaganda.
Ila wamecheza karata dume Russia ilikuwa inaanguka.
Ila wagner wajiangalie hakuna mtawala atapenda kukaa na watu wa aina yake.
Inawezekna Russia wakaanza kushughulika na mmoja baada ya mwingine.
Russia naye kapata somo kubwa sana kuhusu hivi vikundi vya binafsi. Hawana la kupoteza hao ukizingua wanageukia NATO mkono uende kinywani.
 
Binafsi naona ni njamaa, maana kabla ya hapo wamekuwa na mgogoro mkubwa sana.

Wagner walimalalamikia kuwa jana Shoigu aliwapiga mabomu, hivyo Wagner wakasema wanaenda mfata Shoigu na mwenzake.

Maajabu walipofika mpakani wakaachwa wakapita hadi makao makuu ya jeshi, wakapateka.

Putin akatangaza kuwa Wagner wamechagua njia isiyo sahihi hivyo wauawe
, Baada ya hapo Wagner imebidi liwalo na liwe ndo maana wakaanza enda Moscow

Cha ajabu hawajashambuliwa hadi wanakaribia Moscow

Na viongozi wengi wameondoka
Ngoma inogile
 
ngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
Wewe matako kweli. Ngozi nyeusi inaingiaje hapo?
Ni dunia nzima ilikuwa inafatilia hilo jambo.

Kama hujala tafuta hela ule sio unalaum ngozi za watu pumbavu.
 
Kwamba mpaka awe msemaji na sio mwana habari mwabarishaji ya kinachoendelea?

Hili nj tatizo letu kubwa "ushabiki" kilizwa kwani wewe ni mtu wa huko na unayokea wapi? Ukrein au urusi sijui utajibuje?

Kazi yetu kubwa ni kufanya analysis kulingana na ufuatiaji wetu wa taarifa na sio ukanda wala kabila a utaifa wa hko mbali.

Ombi letu wamalize vita maisha ya wananchi yao arudi kama kawaida hasa hale maeneo yanaopiganwa vita.
 
Back
Top Bottom