HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,566
Habari zilizovuja na kuthibitishwa na Ukraine ni kuwa.
Boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin alikuwa na mawasiliano ya siri kati yake na GRU (Military Directorate of Intelligence) kuhusu kuwapa maeneo walipo wanajeshi na viongozi wa kijeshi wa Urusi kwa sharti la Wagner kuachiwa Bakhmut.
Siri hiyo imevujishwa na Marekani kutokana na taarifa zilizovuja mwezi uliopita.
Je, Prigozhin ataendelea kubaki alipo baada ya hizi taarifa kuvuja?
Je, Urusi haitamwona Prigozhin kama mharifu aliyehusika kutoa taarifa zilizosababisha Makamanda 2 kuuawa?
Ikumbukwe Marekani inafatikia mienendo ya jeshi la Ukraine kwa kuingilia mawasiliano yote ili isije hujumiwa kwa silaha inazowapa Ukraine.