yericko nyerere

 1. Christopher Cyrilo

  Ujumbe kwa walio nje; Uingie ndani au ukatwe shingo. Mlango upo wazi, na kisu kipo karibu, chagua.

  Wale walio ndani wamenyolewa sawa na walio nje. Hawana manyoya, hawawezi kupaa, wanashangaana! Na kisu, baada ya kukata manyoya yote, kimewekwa karibu kutoa ujumbe kwa wote. Ujumbe kwa walio nje; Uingie ndani au ukatwe shingo. Mlango upo wazi, na kisu kipo karibu, chagua. Ujumbe kwa walio...
 2. shabhibhii nafwa

  Tujuzeni kinachoendelea uzinduzi kampeni za CHADEMA

  Wadau kichwa kinajieleza
 3. 50thebe

  Acha CHADEMA ilipie makosa ya hisabati za kisiasa

  Wakuu wanabodi Niende moja kwa moja kwenye hoja Lengo la msingi la chama cha siasa ni kuingia kutwaa dola. Ima kwa hila au halali. Uchaguzi wa mbinu za halali ima za hila inategemea sana mazingira ya kisiasa ya wakati husika kwenye nchi. Hapa nyumbani kwa iliyokuwa Tanganyika upo ushahidi...
 4. mkuuwamkoa

  Chadema chama kikuu cha upinzani kisichokua na sera

  Chadema ni CHAMA kikuu cha upinzani kisicho na Dira wala mwelekeo wa kulikomboa Taifa Zaidi kimejikita kwenye porojo na propaganda ambazo hazina mashiko kwa Watanzania wa leo Kwa siasa za zama hzi chini ya JPM jiandaeni kukaa pembeni tu kama vipi suseni hata kwenye uchaguzi ujao kwani ndo tabia...
 5. U

  Katika kujadili historia ya ustaarabu wa Mwafrika, Misri inasimama kama mwalimu bora kabisa!

  UTUMWA WENYE FAIDA Jua linapochomoza, nainua macho yangu na kuitazama mbingu jinsi ilivyopendeza, hakika ni uumbaji wa kustajabisha! Nina kila sababu ya kusema ‘Asante MUNGU kwa siku nyingine’. Najivunia kuwa Mwafrika! Kuwa Mtanzania! Kumekuwepo na mabadiliko ya tabia nchi, mataifa mbalimbali...
 6. Christopher Cyrilo

  UJASUSI WA KIDOLA

  MCHANGO WA MAJASUSI WA KIDOLA KATIKA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NCHINI URUSI Katika hadithi za kijasusi za Urusi na Marekani, si kawaida kuacha kutaja majina ya 'mashujaa wa ujasusi wa urusi' waliojitoa kufa kupona kutumikia Taifa lao. Ama kwa kujitoa wenyewe au kwa kuwatumia wamarekani wenyewe...
 7. gost

  Neno la mungu kwa wananchi juu ya serikali yetu jumapili hii

  Neno la jumapili Waroma 13:1-7 13 Kila nafsi na ijitiishe+ kwa mamlaka zilizo kubwa,+ kwa maana hakuna mamlaka+isipokuwa kwa njia ya Mungu;+mamlaka zilizopo zimesimamishwa na Mungu+katika vyeo vyao vya kadiri.+ 2 Kwa hiyo yeye anayepinga mamlaka amechukua msimamo kupingana na mpango wa Mungu...
 8. Christopher Cyrilo

  Mchele wa plastiki: Africa's social media hoax

  MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya na Asia zilikuwapo tangu 2010. Mamlaka za kiserikali na za kitaasisi zimefanya uchunguzi na...
 9. W

  Halima Mdee akitoka lupango atakuwa na staha. Nakumbuka aliwahi kumwambia Mbatia kuwa atamuoa

  Naam, wana JF pengine Halima Mdee anakaa lupango ili kulipia dhihaka alizowahi kumpa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndg.Mbatia mwaka 2010 wakati wa kugombea ubunge jimbo la Kawe. Akiwa katika maeneo ya Wazo hii,Halima aling'oa bendera za NCCR-Mageuzi na kusimika za Chadema na kutoa onyo kwa Mbatia...
 10. W

  CHADEMA, hili la kuboresha ofisi linahitaji mikutano iruhusiwe? matawi yamekufa baada ya uchaguzi

  Naam, nilipotea hapa jukwaani ili kuweza kutekeleza majukumu yangu kulitumikia taifa ambapo nililazimika kusafiri mikoa kadhaa ikiwamo Arusha,Kilimanjaro,Manyara,Dodoma, Singida, Tabora,Kigoma, Mwanza,Shinyanga, Mara, Geita na Simiyu. Katika tathmini yangu ya awali ni kwamba pasi na shaka...
 11. W

  Lissu Muombe radhi Dr.Slaa kabla mambo hayajakuharibikia zaidi

  Naam, Nimeona nichukuwe nafasi hii kumkumbusha Lissu kuwa hali inayompata sasa ya kutokuwa na msimamo na kuweweseka inatokana na dhihaka na uongo aliompakazia Dr.Slaa kipindi cha kampeni ili tu akipatie ujira wake kutoka kwa Ndg.Lowassa. Uungwana ni vitendo, kabla mambo hayajaharibika zaidi na...
 12. Christopher Cyrilo

  Usalama wa taifa ni taasisi adhimu

  Usalama wa taifa haufanyi kazi ya kuteka raia wema. Hii si kazi ya usalama wa taifa. Wala si sehemu ya mafunzo ya kiintelijensia. Raia wa nchi anapokwenda kinyume na sheria, hudhibitiwa kwa kufuata utaratibu wa kisheria. Kuteka na kutesa sio utaratibu wa kisheria, wala sio utaratibu wa taaisi...
 13. Return Of Undertaker

  Zitto Kabwe: Niko tayari kuthibitisha waliovamia ofisi za Clouds Media Group ni Usalama wa Taifa

  Kutoweshwa kwa Ben Saanane Kumehusishwa na Idara ya Usalama wa Taifa, Bunge Lichunguze Jambo Hili Kulinda Hadhi na Heshima ya Idara Hii Nyeti [Sehemu ya 3 ya Hotuba ya ndugu Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto (MB) kuhusu Mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa...
 14. C

  Ushauri Wangu Kwa ACT, CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi

  UCHAGUZI WA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI Nimetafakari sana juu ya ukuaji wa Demokrasia na Nafasi ya Upinzani Imara Wenye Mshikamano na Umoja. Wakati huu kama alivyosema Mh Lema wakati wa Kongamano la ACT juu ya Azimio la Arusha, Ndio wakati wa Muhimu sana kuungana kuliko ilivyowahi kutokea. Namna...
 15. Msanii

  Rais: Siyo lazima lakini fanya haya sasa

  Trump aliwapiga mkwara wasaidizi wake waache kumuandikia maripoti mareeefu bali wawe precise and briefy.... Naandika kwa ufupi tu, sitaacha kukushauri hata kama nitaonekana mpuuzi kwa waliokuzunguka. Punguza the so called utumbuaji majipu bali tengeneza mfumo wa kisheria ambao utakuwa...
 16. A

  Utata juu ya nafasi ya jaji mkuu

  Wakuu habarini,leo nimeona niombe ufafanuzi kwenu juu ya nafasi ya jaji mkuu. Suala lipo hivi,kama Jaji mkuu anamuapisha Rais wa nchi kushika dola,ina maana hapo muhimili wa mahakama ni mkubwa kulipo Rais,sasa inakuaje tena muhimili huo wa mahakama unateuliwa kiongozi wake na muhimili mdogo wa...
 17. A

  Mwenge wa Uhuru unafika Zanzibar?

  Wakuu habari zenu popote pale mlipo,lama kichwa cha habari kinavyosema hapo,leo ni siku ya kuzima mwenge wa uhuru,tukio linaloendana na kumbukizi ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere. Moja ya kitu ambacho pengine labda sikijuii ni kuhusu mahusiano ya Mwenge huu na visiwa vya Znz,naomba kujuzwa...
 18. Msal

  Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

  Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata...
 19. M

  Utata chuo kikuu Mtwara (2016)

  Ndugu wadau, Nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba wamepandisha ada (administrative fee kutoka 132000/- hadi 320000/- hili ni ongezeko Tsh 200000/- kubwa...