Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

Masuala mengine yote yanaweza kuwa kweli lakini ili la viumbe si kweli hata kidogo, ni hadithi za kufikirika tu.
 
Aaah huyu jamaa ni msomi sana ngoja tumpeleke kule kwa akina Kaunga wanaomjadili MWENYEZI MUNGU ndio atawezana nao maana ni mitusi na dharau wakati hawana evidence wala kukutana naye

Aaah kumbe na wewe umeliona hilo!!!
 
Kimweri so you believe we are alone ("highly intelligent" life forms) in the whole universe?
 
Last edited by a moderator:
hapo hadi marais huenda,matajiri wa dunia na watu mashuhuri,kufanya gay sex na satanic rituals,advert yake ina claim ni social club lakini kuna evidence nyingi sana za ushetani unaofanyika hapo
ukiangalia movie ya eyes wide shut utapata idea ya upuuzi unaofanyika hapo

Shetani kawekeza kwenye kuwahadaa wanadamu ila siku zake chache sana.
Zinahesabika
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

Hapo kwenye red ni a bunch of bullshit!
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

A bunch of bullshit!
 
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga

Kweli kabisa mkuu. Watu huamini ujinga wowote wanaoambiwa bila hata ya kufikiri kama hicho kitu kina "make sense at all"!
 
Nimehudhuria semina za watu kama David Icke huko abroad way back before you tube haijaanza sasa kama wewe unaona ndiyo ujanja pole sana

Source yako ni David Icke?? kama ndio source yako then I rest my case.
 
David Icke ndiye alikuwa conspiracy theorist wa kwanza kusema kuhusu reptilian shapeshifters sababu umekataa kuhusu yule bodyguard wa obama kwamba ni uongo
kuhusu area 51 na hadi ushirikiano wao na vatican chini ya Jesuits mbona yalishaongelewa sana lakini yanayojulikana ni kidogo mno and some people paid the price kuna whistleblowers waliuliwakwa hayo mambo

Kumbe na wewe unamkubali kuwa ni "conspiracy theorist". Ni nani mwenye akili timamu huwa anaamini kinachosemwa na "conspiracy theorist".
 
hapo hadi marais huenda,matajiri wa dunia na watu mashuhuri,kufanya gay sex na satanic rituals,advert yake ina claim ni social club lakini kuna evidence nyingi sana za ushetani unaofanyika hapo
ukiangalia movie ya eyes wide shut utapata idea ya upuuzi unaofanyika hapo

Another bunch of bullshit! Mkuu umepewa akili yako, itumie! Acha kutumia akili za kina David Icke na Alex jones, utachanganyikiwa!
 
Kwanza unatakiwa ujue cia, nasa wanafanyaje kazi. Bajeti zao zinapitaje. Ndipo uulize. Wana miradi hata raisi haingilii japo anamteua nasa "administreta". Pia miradi yao mingine ina "blaki bajet"

Usitake kudanganya watu hapa, wewe ndio hujui. Bajeti za vyombo vyote vya usalama US lazima zipitishwe na rais na congress na senate wa-approve. Miradi ambayo Rais haijui itakuwa implemented vipi?
 
Mkuu nakuunga mkono 100% maana niliwahi ona clip moja hivi inamuonyesha raisi wa dunia ( nadhan mnamfaham haina haja kumtaja) akilindwa na moja kati ya alliens, ambaye ukimuona kwa jicho la kawaida unaweza bisha kwamba si allien ila kwa wanaofahamu wanaelewa, maana jamaa haamini mtu yeyote yule zaidi ya hvyo viumbe...na pia vipo vina exist huko marekani....mfano kuna baadh ya maeneo ndege za UFO'S huwa zinaonekana zinapita kwa mbali kma mwanga na kuyeyuka, na pia habar hizi serikali ile haitaki kuziweka wazi maana ni top secret mno...ila wanaofaham mchongo unaoendelea ni wachache sana, na hao alliens mpngo wao siku moja ni kuja ku tawala dunia kisayansi zaidi...well kwa kawaida it's hard to believe ila nilivyokuwa naangalia documentaries mbalimbali mbona niliamini jaoo wengine hawaamini kma such things exist...ila all in all tuwe macho sana maana ALLIENS, UFO'S, ARTIFICIAL INTELLIGENCE, hivi vitu vipo na kma huku Africa havijaja basi ni soon.
Muhimu;
Kukesha na kuomba maana tupo hatarini sana, wanaomuabudu shetani wanataka kwenda na wengi ifikapo siku ya mwisho.

You guys need to think! IT'S NOT ILLEGAL YET!
 
Usitake kudanganya watu hapa, wewe ndio hujui. Bajeti za vyombo vyote vya usalama US lazima zipitishwe na rais na congress na senate wa-approve. Miradi ambayo Rais haijui itakuwa implemented vipi?

Mbishi mwingine. Unafananisha mambo. Fatilia mambo kwa makini. Usilete ushabiki. Cia wana bajeti ambayo ipi na ambayo "haipo"! Hebu niambie bajeti ya kwetu ya idara ya usalama hapa tz
 
Usitake kudanganya watu hapa, wewe ndio hujui. Bajeti za vyombo vyote vya usalama US lazima zipitishwe na rais na congress na senate wa-approve. Miradi ambayo Rais haijui itakuwa implemented vipi?

Umekuja na nguvu kumbe ndio nyienyie
 
Mbishi mwingine. Unafananisha mambo. Fatilia mambo kwa makini. Usilete ushabiki. Cia wana bajeti ambayo ipi na ambayo "haipo"! Hebu niambie bajeti ya kwetu ya idara ya usalama hapa tz

Hiyo ambayo "haipo" inapitishwa na nani? Au unataka kutuaminisha kuwa huwa wanapewa tu blank cheque? Hujui kwamba hapa kwetu idara ya usalama iko chini ya ofisi ya Rais? Au unafikiri idara hiyo nyeti iko hewani tu?
 
So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............

Wanakula ugali na mlenda,na pia wanapenda sana supu ya pweza,maana wengi wanaupungufu wa madini ya Calcium!
 
Hiyo ambayo "haipo" inapitishwa na nani? Au unataka kutuaminisha kuwa huwa wanapewa tu blank cheque? Hujui kwamba hapa kwetu idara ya usalama iko chini ya ofisi ya Rais? Au unafikiri idara hiyo nyeti iko hewani tu?

Sasa ni ili ubishe au. Soma hata mitandaoni tu kujua hayo nadogo. Soma bajeti ya cia, soma na vitengo vyao. Mbona ni viti vidogo tu na viko wazi. Kuna miradi mingi cia wameitekeleza kwa hizo bajet za siri. Kuanzia kuwasaidia contra,nicaragua, kwasaidia mujahidina afghanistan, korea zikipigana.
 
Bajeti zingine ni siri. Zinawekwa kwenye utafiti kumbe zinafanya mambo mengine. Wabongo ubishi. Hata kwenu mtoto anaomba pesa ya kalamu ananunua pipi hujui!!!
 
Back
Top Bottom