Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga
 
ni kweli hakuna? wewe unajuaje hakuna?i......(sina nia mbaya )hata wakuu (maseneta) wanajua kuhusu area 51 na wanahoji hayo mambo na wanajibiwa! na mengine wanambiwa ni kwa usalama wa taifa, fatilia hata kwenye mitandao ya serikali zao! mengi hatujui......
 
Kwanza jua Hakuna uthibitisho wa uwepo wa aliens.

Area51 mitandaoni zimejaa conspiracies tu Hakuna kipya kila mtu anaweka anachojisikia. Senators pia wanajibiwa kimkato bila kupewa jibu la kueleweka

Area51 eneo lipo nini wanafanya mle mimi na wewe hatujui. Kujazana mambo ya uwepo wa aliens Ni uongo mkavu
 
sikupingi sana ila jambo hulijui litakuwaje uongo???? na kama ni uongo ukweli wake ni upi???
 
Area+51+pyramid.jpg
 
sikupingi sana ila jambo hulijui litakuwaje uongo???? na kama ni uongo ukweli wake ni upi???

Uthibitisho na kujua/kutojua kitu ni tofauti. Hakuna uthibitisho wa uwepo wa aliens angani au duniani

Hilo eneo kufanywa matumizi ya siri haimaanishi kwamba kuna aliens wanafugwa humo. Point yangu Ni kwamba habari ya hili eneo nyingi Ni conspiracies na Hakuna uhakika hivyo watu msiwajaze wengine habari za uzushi as if mna uhakika. US kuna maeneo ya siri mengi tu sio hapo tu, Chattanooga kuna milima inalindwa kuliko WH
 
Chattanooga is the fourth-largest city in the U.S. state of Tennessee, with a population of 167,674 as of the 2010 census, and an estimated population of 171,279 in 2012. It is the seat of Hamilton County
.
 
Uthibitisho na kujua/kutojua kitu ni tofauti. Hakuna uthibitisho wa uwepo wa aliens angani au duniani

Hilo eneo kufanywa matumizi ya siri haimaanishi kwamba kuna aliens wanafugwa humo. Point yangu Ni kwamba habari ya hili eneo nyingi Ni conspiracies na Hakuna uhakika hivyo watu msiwajaze wengine habari za uzushi as if mna uhakika. US kuna maeneo ya siri mengi tu sio hapo tu, Chattanooga kuna milima inalindwa kuliko WH

Find out where the worlds highest security locations are. Many are top secret.
Top 10 Places You Aren't Allowed To Visit
10.
RAF Menwith Hill(U.K) – Worlds largest electronic monitoring site. This place is able to detect any type of missile attack around the globe, reportedly.
9.
Club 33(Disneyland California, USA) – This may be one of the few places on Earth that are not government controlled, yet is almost just as hard to gain access to. This address is located in the New Orleans Square part of the theme park and is a club exclusively for VIPs with a membership. Some people wait half their lives just to get access to this club.
8.
Bohemian Grove(California, USA) – A secret place in the woods reserved only for the worlds most powerful people.
7.
Vatican Secret Archive(Vatican City) – While you are able to request texts to be delivered to you from the archive for browsing, the archives themselves are off limits to everyone except a few people.
6.
Lascaux Caves(France) – This delicate site is home to part of our human heritage. Only a few very important scientists are allowed in the caves due to the ancient age and nature of the artwork contained within.
5.
Pine Gap (Australia) – Only place in Australia Designated as a No Fly Zone.
4.
Metro 2 (Moscow, Russia) – Underground train system in Moscow supposedly reserved for use by Russian secret services and top government officials.
3.
Room 39 (Pyongyang, North Korea) – Supposedly a government controlled operation that deals in illegla drug trafficking and smuggling.
2.
Mezghhorye(Russia) – The supposed location of Russia's nuclear missile site. This is heavily guarded by Russian troops at all times.
1.
Area 51(Nevada, USA) – This list probably wouldn't be complete without including Area 51. This is the rumored location of alien corpses, the Roswell crash remains, and test site for various strange aircraft.
 
Find out where the worlds highest security locations are. Many are top secret.
Top 10 Places You Aren’t Allowed To Visit
10.
RAF Menwith Hill(U.K) – Worlds largest electronic monitoring site. This place is able to detect any type of missile attack around the globe, reportedly.
9.
Club 33(Disneyland California, USA) – This may be one of the few places on Earth that are not government controlled, yet is almost just as hard to gain access to. This address is located in the New Orleans Square part of the theme park and is a club exclusively for VIPs with a membership. Some people wait half their lives just to get access to this club.
8.
Bohemian Grove(California, USA) – A secret place in the woods reserved only for the worlds most powerful people.
7.
Vatican Secret Archive(Vatican City) – While you are able to request texts to be delivered to you from the archive for browsing, the archives themselves are off limits to everyone except a few people.
6.
Lascaux Caves(France) – This delicate site is home to part of our human heritage. Only a few very important scientists are allowed in the caves due to the ancient age and nature of the artwork contained within.
5.
Pine Gap (Australia) – Only place in Australia Designated as a No Fly Zone.
4.
Metro 2 (Moscow, Russia) – Underground train system in Moscow supposedly reserved for use by Russian secret services and top government officials.
3.
Room 39 (Pyongyang, North Korea) – Supposedly a government controlled operation that deals in illegla drug trafficking and smuggling.
2.
Mezghhorye(Russia) – The supposed location of Russia’s nuclear missile site. This is heavily guarded by Russian troops at all times.
1.
Area 51(Nevada, USA) – This list probably wouldn’t be complete without including Area 51. This is the rumored location of alien corpses, the Roswell crash remains, and test site for various strange aircraft.

So hizo sehemu zote kuna aliens wanafugwa?

Nimekwambia Hakuna uhakika wa uwepo wa aliens mahala popote, Hakuna mjuzi ataekuja kukwambia nini kinafanyika pale sababu Hakuna mwenye uhakika zote Ni conspiracies tu. Wabongo mnapenda sana conspiracies
 
Back
Top Bottom