Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

tamimusalim

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
1,828
Points
1,225
tamimusalim

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2014
1,828 1,225
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
79,845
Points
2,000
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
79,845 2,000
kumbe umesoma hadithi za vitabu.nilijua kuwa unajuwa hilo.


Swissme
mkuu kama hujui subiri humu watakuja wajuaji, eneo lipo tangu enzi ya miaka ya sitini! Hizo ufo,flaing objekti,flaing sousa, hata u2 na sr71 zilifanyiwa majaribio hapo, ndiko raho ya nasa na majaribio mengi wa tekinlojia za siri hifanyika. Mimi nawasuburi wajuaji waje watupe mambo.......
 
maatope

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
1,553
Points
1,500
maatope

maatope

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
1,553 1,500
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,591
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,591 2,000
Ilo eneo walilijenga maalum kwa ajili ya kutengeneza na kutest spy planes kwa ajil ya kispy soviet inion enzi hizo...ndege kama B12 na F117 steath ni zao la area 51...sasa ivi eneo hilo lipo chini ya CIA na NASA kama alivosema mkuu apo juu...mpaka leo hi tech weapons na planes nying wanazitest kule
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,591
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,591 2,000
Area 51, ni eneo la majaribio ya tekinolojia za siri za NASA,CIA na kampuni ya vifaa maalimu ya lockheed, uko sawa kiasi, sr71 ni moja ya mazao ya area 51....
ur very right mkuu
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
8,368
Points
2,000
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
8,368 2,000
So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
Watakujibu wako eneo la siri hata wenyewe hawajui, Ila ukipata jibu tofauti na hili tafadhali unijulishe na mimi.
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
79,845
Points
2,000
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
79,845 2,000
aisee........more news please........am interested.........
natamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...
 

Forum statistics

Threads 1,343,278
Members 515,004
Posts 32,778,645
Top