Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Huyu anasema msitu wa Malindi na mwingine ngerengere, yupi mkweli?
Wote waongo ni mabwepande!
Huyu anasema msitu wa Malindi na mwingine ngerengere, yupi mkweli?
mkuu huko ni jimbo la virjinia,langley, ndiko yaliko makao makuu ya hao jamaa wa cia, duh! Hapo kuna vitengo mpaka basi. Vyeupe na vile vilivyo futika na mpaka walikuwa vya "maind control"........ Uzuri wa hao jama wa cia,nasa,fbi wanapenda alama ya nyota na ndege flani mkubwa......what about langley va?
Wote waongo ni mabwepande!
google wana habari zile tu ambazo wakubwa wamezitema wenyewe!!..zingine asilimia 65 giza!mie nimefika huko via google
google wana habari zile tu ambazo wakubwa wamezitema wenyewe!!..zingine asilimia 65 giza!
Tanzania iko wapi
Tanzania iko wapi
Duh...Google.😕😕
Tanzania iko wapi
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana
The base's current primary purpose is publicly unknown,The intense secrecy surrounding the base has made it the frequent subject of conspiracy theories ..................!!!
what about langley va?