islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 749
- 2,061
hawezi kukueleaa mwambie aende akaoitishe ndege pale ngere bgere alafu ataona matokeo...Ni kweli ngerengere ndege haziruhusiwi kupita kwasababu ya kiusalama. Ipo kwenye ramani ya marubani hii.
hawezi kukueleaa mwambie aende akaoitishe ndege pale ngere bgere alafu ataona matokeo...Ni kweli ngerengere ndege haziruhusiwi kupita kwasababu ya kiusalama. Ipo kwenye ramani ya marubani hii.
shida nini kwani mkuu we fanya jaribio la kukodi ndege mwambie rubani apitishe ndege pale sehemu husika uone utanipa mrejesho ...tango pori hili
ndege zinapita ikulu itakuwa ngere ngere for what special?
hivi na wewe umekaza masikio ili kujua kama kuna eliansi na unaamini kabisa kuwa wapo....?So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
HayaHili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.
Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.
Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
saaa kumbe hata ksa adolfu hitler wapo sasa mbonammme kazania area 51 tu ....basi hata bongo wapoDuh...Google.