Hii nayo sasa kaziHivi Malaysia airlines mh370 ilipotelea wapi? Ni kweli mashirika yote na anga, bahari na ardhini yalishindwa mpaka leo kujua angalau mabaki ya ike ndege?
Hii nayo sasa kazi
Mimi na wewe tusubiri
huenda wakatengenza picha yake
kuwa iliingia eneo la Bermuda Triangle
bado hata September 11 wanamashaka ni kombora wala si ndege
Dunia yetu kweli ina maajabu 7 lkn yatakayoongezwa litakuwemo la Malaysia 373
Mkuu,
Ubishi wako nimeupenda kwa kuwa unafanya wakuu wakachimbe, ila nimefanya analysis ya hizi comments...
Mawazo yetu yanaishia google na YouTube..
sas jana nimepitia baadhi ya links nikakutana za kina Icke na habari za shape-shifters wanakuambia hadi Obama ni reptilians ( alien breeding) , Mara alien wanatumia human kucontrol dunia....and most of political leaders, sport'smen , celebrity, entertainers, TV presenters are reptilians ( alien breeding)
Nilichogundua, hadi Mimi nitakuja KUAMINISHWA kuwa ni reptilian breeding wakati nimezaliwa ktk ukoo wa Regunilizaliwanahela huku Muleba....
Hii nayo sasa kazi
Mimi na wewe tusubiri
huenda wakatengenza picha yake
kuwa iliingia eneo la Bermuda Triangle
bado hata September 11 wanamashaka ni kombora wala si ndege
Dunia yetu kweli ina maajabu 7 lkn yatakayoongezwa litakuwemo la Malaysia 373
kwa hiyo we source zako zinatoka wapi?
nyie kazi zenu kukatisha tamaa wenzenu tu..
hebu tuache tujifunze......
KAAAA KIMYA
Tatizo lako wewe ni kuingia humu na kubisha kila kitu na kuwadharau wenzakoSijamkatisha mtu tamaa ila nimewaambia hali halisi. Nimesema wanao fall for hizi habari ni watu wenye LACK OF KNOWLEDGE au VILAZA au WASIO AMINI UWEZO WA BINADAMU
Endeleeni kulishwa matango kisha kajiongezeni na nyie mkieelewa nadhani mtajua nazungumzia nini maana zaonyesha ni habari mpya kabisa kwa wengi wenu.
mie nimefika huko via GOOGLE
Tatizo lako wewe ni kuingia humu na kubisha kila kitu na kuwadharau wenzako
umekataa eneo la Area 51 haliingiliki
unakataa hata hao viumbe wa kutunga hawapo kwa uwezo wa binadamu hata waliotengeneza picha au katuni
sasa onesha source zako unazobishania hii mada unadai umepitia classfied doc zaidi ya 130,000/ kuna ubaya gani na sisui ukatupatia? maana hapo kwenye RED umetunanga kumbe mwenzetu una mengi lakini hutumegei ila hutaki tuwe km wewe
(Member wenzako wanakuomba km huna link basi waache wadanganyane ukae kimya)
unawaita wachangiaji VILAZA WASIOAMINI UWEZO WA BINADAMU
Waanzilishi na Moderator wa JF hawako hivyo
ndio maana nikatoa mfanio katika Post huko nyuma hata tukiweka UWEPO WA MUNGU nani alimuona mtakuja na mabishano kibao na kudharauliana nani kamuona au hajamuona
ushauri
Waacha Member wadanganyane ndio uwanja wao kwani hawapitii You Tube tu hata National Geograph zimetanabaisha
uwepo wa maajabu haya km ni majini au mashetani acha tuyajadili kutokana na uelewa wetu MUNGU aliotupa

Hawa National Geograph wana kipindi chao cha ndege zilizopoteaNi kweli kaka. Hapa tusubiri tu consipiracy theories za kunwaga....Baadaye wanaojua kufikiri zaidi watatuambia ilivutwa mpaka area 51 eneo ambalo hakuna nchi ya kuweza kuiona
wewe mkali ni CIA au NASA?Google map haijawahi kuonuesha eneo hilo!
Aaah huyu jamaa ni msomi sana ngoja tumpeleke kule kwa akina Kaunga wanaomjadili MWENYEZI MUNGU ndio atawezana nao maana ni mitusi na dharau wakati hawana evidence wala kukutana nayeMkuu toka asubuh napitia post mbalimbali lkn sioni sababu ya kuhangaika kumjibu huyu jamaa hata kidogo amekuwa akikatisha tamaa wenzake tena hata bila hoja, aache sisi tudanganyane tutachuja wenyewe yapi ni mapumba na upi ni mchele!
Hivi Malaysia airlines mh370 ilipotelea wapi? Ni kweli mashirika yote na anga, bahari na ardhini yalishindwa mpaka leo kujua angalau mabaki ya ike ndege?
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.
Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.
Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
Mkuu..kumbe aliens wanavaa t-shirt.. asante kwa kunitoa tongotongo
hapo ngerengere ni unit ya air force mkuu. mzoezi ya anga hufanyika. eneo la kizuka. Pia kule sanga sanga ndo wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ngumi.Huyu anasema msitu wa Malindi na mwingine ngerengere, yupi mkweli?
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.
Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.
Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
Du! Inawezekana vipi Mkuu wa Majeshi na vikosi vya usalama asiende? Anateua wakuu wa CIA, FBI halafu maeneo yao ya kazi marufuku? Hiyo Area 51 ipo nchi nyingine? Hebu ninyooshee hili maana sipati picha