Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Mitume na Manabii kazi yao haikua kujenga vitu vya mwilini vinavyo shikika ( Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho).

Nuhu alitengeneza safina kwa maelekzo ya Mungu.. Na ili kitu kielee law of floatation lazima ihusike...
Niambie kabla ya hapo nani alitengeneza safina?

Acha kujaza watu hadithi zisizo na ukomo..

Usitake kuamisha watu ujinga

sijakazania, wewe hujiulizi tangu binadamu amekuja duniani maelfu ya miaka, tena wa zamani walikuwa pamoja na manabii,mitume, lakini hawakugundua hata saa ya mkononi au redio au nokia tochi, lakini miaka 150 kuna mabadiliko makubwa sana, kati ya hiyo miaka 30 ina mabadiliko kuliko miaka 3000 iliyopita! zamani alien hawakuwa na nafasi, sasa wanatafutwa kusaidiana na wanasayansi, tunza imani,elimu yako, ila usibishe kama hujui..
 
Wewe ni maaamuma unayekazania kitu flani kuwa kweli kwa kuwa HUJUI kinachoendelea. Kama hujui ULIZA. Watu kucha kutwa tunahangaika ili hayo mabadiliko ya ndani ya miaka 30 yawe kwa kasi kuliko ya miaka milioni kadhaa iliyopita wewe unaleta hadithi za Alien.

Soma majarida ya tafiti duniani, tembelea kurasa za tafiti, uone ni jinsi gani watu wa kawaida wanavyofanya tafiti na uvumbuzi unayekusaidia wewe mpiga kelele kueneza huu upuuzi wako usio na kichwa wala miguu.

FYI maendeleo ya sayansi na Technolojia unayoyaona sababu yake ni nyepesi sana kwa tunaojua, ila kwa wewe usiyejua kwa kuwa shule ulikimbia au ilikushinda ndio maana kila kitu unaona kama uchawi tu.

kwa kukusaidia kasome kuhusu Maxwell, miaka 150 iliyopita. Ukipata bahati japo ya kuelewa kilichotokea, utaelewa kwa nini vitu vinaenda kwa kasi kuliko miaka ya zamani.

Kama hutaelewa kuhusu Maxwell equations huhitaji kuendelea kujadili, kwani ni sawa na kulazimisha kuongea kichina wakati umezaliwa bagamoyo, na kuishi hapo maisha yako yote, bila kuwahi konana wala kukutana na muongea kichina.
 
Mitume na Manabii kazi yao haikua kujenga vitu vya mwilini vinavyo shikika ( Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho).

Nuhu alitengeneza safina kwa maelekzo ya Mungu.. Na ili kitu kielee law of floatation lazima ihusike...
Niambie kabla ya hapo nani alitengeneza safina?

Acha kujaza watu hadithi zisizo na ukomo..

Usitake kuamisha watu ujinga

Humu JF inabidi kuwe na Aptitude test, kuna watu walitakiwa kuwa locked up kwenye mental institutions.
 
Ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kutaka kuamisha na kushusha hadhi ya Mitume na Manabii wa watakatifu wa Mungu.

mimi maamuma kweli, hujakosea, wewe msomi sawa! Hayo yote ulioandika ni yako au umekopi mahali?? Jua kila anaekopi ni maamuma, au rudi ukaangalie kamusi maamuma ni nn.....

Kuandika ya watu bila kufanya reference, mwisho BSc level, MSc unaweza kuandika na kufanya reference.., baada ya hapo , hakuna anayetarajia uwapotezee muda wao kusoma kutoka kwako vitu wanavyovijua au vilivyotajwa tayari.., I have passed that level decades ago.., which implies it's been quite sometime since i stopped relying on copying others ideas. If i ever start doing that in my line of work, i will be jobless.
 
hongera mkuu, nyie ndio tunawategemea (mwongo mzima umepita hatujakusikia) kwenye karne hii ya mabadiliko! (utani)
 
Humu JF inabidi kuwe na Aptitude test, kuna watu walitakiwa kuwa locked up kwenye mental institutions.
mwingine huyo, naongelea ugunduzi wa teknolojia unaleta amri ya mungu kujenga safina, jf, nuhu aligundua safina au aliamriwa ajenge safina?
 
hongera mkuu, nyie ndio tunawategemea (mwongo mzima umepita hatujakusikia) kwenye karne hii ya mabadiliko! (utani)

Hakuna mtafiti anayefanya tafiti ili asikike dunia nzima.., the best research works are often recognised posthumously.

It's a well known conjecture that, if you do something that people immediately understand, you probably aren't doing anything special. I am proud to have been pushing the envelop for the better part of my carrier, and whatever we do in the companies/R&D centers i have worked for, it has always been about pushing the boundaries, not doing comfortable things.

Marketing and engineers are ones that are in charge of doing things that need immediate recognition, scientists not so much.

Hizo Higgs particles mnazozipigia kelele humu ni paper ya miaka ya 60-70 ndio ilitoa first hypothesis, sasa kama ulitegemea Prof.Higgs asifiwe in 1980's umekula wa chuya. Kama nia yako ni kufanya tafiti ili usikike right away, you better find another job. There is nothing fancy about working on Humanity's toughest problems.
 
Wewe ni maaamuma unayekazania kitu flani kuwa kweli kwa kuwa HUJUI kinachoendelea. Kama hujui ULIZA. Watu kucha kutwa tunahangaika ili hayo mabadiliko ya ndani ya miaka 30 yawe kwa kasi kuliko ya miaka milioni kadhaa iliyopita wewe unaleta hadithi za Alien.

Soma majarida ya tafiti duniani, tembelea kurasa za tafiti, uone ni jinsi gani watu wa kawaida wanavyofanya tafiti na uvumbuzi unayekusaidia wewe mpiga kelele kueneza huu upuuzi wako usio na kichwa wala miguu.

FYI maendeleo ya sayansi na Technolojia unayoyaona sababu yake ni nyepesi sana kwa tunaojua, ila kwa wewe usiyejua kwa kuwa shule ulikimbia au ilikushinda ndio maana kila kitu unaona kama uchawi tu.

kwa kukusaidia kasome kuhusu Maxwell, miaka 150 iliyopita. Ukipata bahati japo ya kuelewa kilichotokea, utaelewa kwa nini vitu vinaenda kwa kasi kuliko miaka ya zamani.

Kama hutaelewa kuhusu Maxwell equations huhitaji kuendelea kujadili, kwani ni sawa na kulazimisha kuongea kichina wakati umezaliwa bagamoyo, na kuishi hapo maisha yako yote, bila kuwahi konana wala kukutana na muongea kichina.
tatizo hujiu tulianzia wapi, umekurupuka, ukisoma boyografi za watafiti wengi duniani wanaoheshimika na wengi waliohai amboa wamekiri kuwepo kwa alien moja kwa moja au kwa maelezo, wewe ni nani hapa?, umeandika nini kisayans? una majarida mangapi ya sayansi ya kwako? unarefaa kwa haohao wataalam (ambao wengi ni freemason) wanaokubali kuwepo alien, turudi area 51, unaweza kuwataja hapa waasisi wa hilo eneo (wana sayansi wa kwanza wa cia/nasa) tukupe imani zao kuhusu alien
 
kimweri:

wasome watu kama
galileo galilei
johannes kepler
charles darwin
aristotle
nicolous copernicas
franklin, nimeweka maelezo yake hapo juu
ni wanasayansi pamoja na wanafalsafa wakubwa walioleta maendeleo, watu wanajifunza vyuoni mambo kutoka kwao. pomoja na yote wamekubali kuwepo alien/nguvu ya viumbe wengine duniani, hata wao walipata watu kama wewe wakawapinga, lakini wewe unafika hata ukucha kwao????? watu wa kawaida kugundua vitu ni sawa mimi naongelea ugunduzi mkubwa sio wa majiko ya mkaa na matanuru ya mikate au masine za kukoboa
 
tatizo hujiu tulianzia wapi, umekurupuka, ukisoma boyografi za watafiti wengi duniani wanaoheshimika na wengi waliohai amboa wamekiri kuwepo kwa alien moja kwa moja au kwa maelezo, wewe ni nani hapa?, umeandika nini kisayans? una majarida mangapi ya sayansi ya kwako? unarefaa kwa haohao wataalam (ambao wengi ni freemason) wanaokubali kuwepo alien, turudi area 51, unaweza kuwataja hapa waasisi wa hilo eneo (wana sayansi wa kwanza wa cia/nasa) tukupe imani zao kuhusu alien

Uliyekurupuka ni wewe. Usichanganye admiting presence of other creatures from another galaxy to you downright dumbing of forcing us to believe that scientific work done by normal people here on earth is a work of some mythical creatures.

There is a huge difference between the two. One is normal the other is bordeline crazy.

Stop asking about who i am, This is anonymous forum, i am not here to tell you who i am, but i can simply tell you when you lie based on what i know.
 
Ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kutaka kuamisha na kushusha hadhi ya Mitume na Manabii wa watakatifu wa Mungu.
sijawadharau watakatifu,mimi pia nawaamini, ila wao walikuwa wa mungu ndio maana hawakugundua ya kidunia, hawa wa kileo ni washirika wa alien ndio maana wanagundua mengi ya ajabu na ya kuharibu dunia(anthrax,nyuklia,bombs,kwenda anga za mbali). unatakiwa uelewe mimi sio pro-alien ,ila alien wapo, hatakama huwaoni/hutaki. nimefatilia majarida mengi ya kisayans ya ugunduzi huu wa karne hii na maisha binafsi ya wagunduzi wa hizi teknolojia, (UTAMKUTA mwanasayansi mkubwa haamini mungu au kwa siri ni freemason) inahitaji usiwe mbishi kuyajua,
 
Aysee kidogo kidogo naAnza kuona hata sisi watu wa Dunia ya Giza tusingepuuzia Tamaduni,desturi,mira zetu labda sasa tungekuwa mbali sana...lazima tungepata wataaramu wa kumodelition na kutengeneza mambo makubwa na kuishangaza dunia (nawaza kimadamada) samahani wajuzi kama nitakuwa nimewakera
 
Hata mimi sijakataa kama wapo, na ninajua kua wapo, na kazi yao kubwa ni kuwapa watu nguvu ( uweza juu mambo flani ) kwa utufu wa binadamu na sio kwa ajiri ya kumtukuza Mungu.

Na ndio maana swali langu la kwanza nilitaka kujua kwanini ulikua umetilia mkazo kuhusu alien..

sijawadharau watakatifu,mimi pia nawaamini, ila wao walikuwa wa mungu ndio maana hawakugundua ya kidunia, hawa wa kileo ni washirika wa alien ndio maana wanagundua mengi ya ajabu na ya kuharibu dunia(anthrax,nyuklia,bombs,kwenda anga za mbali). unatakiwa uelewe mimi sio pro-alien ,ila alien wapo, hatakama huwaoni/hutaki. nimefatilia majarida mengi ya kisayans ya ugunduzi huu wa karne hii na maisha binafsi ya wagunduzi wa hizi teknolojia, (UTAMKUTA mwanasayansi mkubwa haamini mungu au kwa siri ni freemason) inahitaji usiwe mbishi kuyajua,
 
Uliyekurupuka ni wewe. Usichanganye admiting presence of other creatures from another galaxy to you downright dumbing of forcing us to believe that scientific work done by normal people here on earth is a work of some mythical creatures.

There is a huge difference between the two. One is normal the other is bordeline crazy.

Stop asking about who i am, This is anonymous forum, i am not here to tell you who i am, but i can simply tell you when you lie based on what i know.
kwa kidhungu' tu mh, haya nakupa ushindi, kuna watu kama wamewekwa "microchip" wamekuwa 'programd'
 
Hata mimi sijakataa kama wapo, na ninajua kua wapo, na kazi yao kubwa ni kuwapa watu nguvu ( uweza juu mambo flani ) kwa utufu wa binadamu na sio kwa ajiri ya kumtukuza Mungu.

Na ndio maana swali langu la kwanza nilitaka kujua kwanini ulikua umetilia mkazo kuhusu alien..
mada ilianza kihusu area 51. ndio tukasema alien wapo na wanawasaidia sana na wanasayansi wailoendelea wa magharibi.
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

mbna unatutisha toa elimu.kuokoka ni kanisan
 
Hata kama ingekuwepo hapa Tanzania isingekuwa siri. Wabunge wa chadema wenye akili finyu na kupiga makelele bungeni wangetaka ijadiliwe bungeni na bajeti yake itangazwe.

Chadema imeeingiaje apa!!! kima kweli we mkuu
 
Wazee wa zamani walisema "usilo lijua ni kama usiku wa giza"
 
Back
Top Bottom