masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,395
- 19,354
soma post zote tangu mwanzo utaelewa! alien unaowaona picha zao sio kweli, hao nasa wamewapachika kuficha alien halisi, pia tunaposema watu "smart" inaelekea hujaelewa. hukuna mjomba "smart" huku kwetu! huku hata wakiletewa ujuzi na hao waliokutana na watu smart wanaharibu, kwetu hakuna mtu smart wa aina ya nasa wanaowataka! huku kuna wagumu na wabishi kama unavyoona hapa jf,tanzania ina vitu vingi vya kukuza uchumi kuliko marekana, ila imekosa watu wanaotumia akili za hali ya juu, (itakuwa kuwasiliana na alien!) hapa ubishi,wizi,miradi hewa ndio sawa, mambo ya kutafuta ugunduzi,maarifa makubwa,alien yatabaki hukohuko usa (area51) na kwingineko,sisi tunaletewa teknolojia na tunatumia tu, bisha mkuu kwanguvu...
haki ya nani
aiseee.........ngoja jitafute namba za alien