Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Tatizo umeangalia movie ya Area 51! Its just a Bullshit film. Plus Kama ni sehemu ya Siri imekuwaje nyie huku mmejua kilichoko ndani humo??? Kama tu mtawala wa USA anaingia kwa Kiapo inakuwaje nyie wengine mjue as if mko ndani....Then sio sehemu ya Siri Tena
 
wewe kweli maamuma, sasa unafikiri kazi ya mashirika ya ujasusi ni nini?kunywa juice na kuvaa suti? Kuweka links na video made by junkheads kuhusu vitu visivyoleta maana kisayansi sio kujua bali ni dalili za uchizi. Machizi wengi sasa hivi duniani wana access na internet, hivyo sikushangai kukurupukia vitu bila ku-reason scientifically kuhusu hivyo vitu. Usichanganye data routing which is the core of telecommunication networks and your whimsical theories that can only be proved by naive minds with a little too much to drink.

hizi movies za hollywood which are purely for entertainment reasons, kuna watu mwazichukulia serious kuliko inavyotakiwa kuwa.
uzuri hapa hatujuani, hivyo kuweka lugha za namna hii humfanya mtu ajulikane kiasi.. Unaonaje ukatuachia mambo ya alien ww ukaanzisha uzi wako wa sayansi na teknolojia? Ukalisaidia taifa kwenye karne hii ya sayansi, kubishia huku utakuwa maamuma na wewe pia (tuna wasomi kibao lakini ......) galileo alikuwa mnajimu aligundua sayari ya jupita miaka mingi iliyopita kwa kutumia ka darubini kadogo tu,ni mwanasayansi anaeheshimika, galileo alijua uwepo wa alien!!!!!!!!!!!!
 
Hiko kiumbe cha ajabu kilichoachwa na wenza sindo kinatwa "Jadu"..!!!?
 
tatizo la kivuli kuelekea vice versa abour limeonekana katika official video pia kwa maana hiyo ata ile video ni uongo pia...hapo vivuli vipo hvyo kwa sababu kuna chanzo zaid ya kimoja cha mwanga.......

Kivuli sawa chanzo cha mwanga,rangi nayo ni chanzo cha nn
 
Last edited by a moderator:
Wanasema atakayeamini aamini asiyeamini abaki hvyo hvyo, ila wadau inshort Alliens wapo, na sio masihara...subirini tu uje wakati tuwekewe hadi chip kwnye mikono yetu tuwe controlled ndio somo litaeleweka, mtoa uzi nakushukuru maana na mimi nimepata upenyo wa kutoa yale ninayoyafahamu.
 
Hata kama ingekuwepo hapa Tanzania isingekuwa siri. Wabunge wa chadema wenye akili finyu na kupiga makelele bungeni wangetaka ijadiliwe bungeni na bajeti yake itangazwe.

Hahahaaaaaaa You made my day
 
Wanasema atakayeamini aamini asiyeamini abaki hvyo hvyo, ila wadau inshort Alliens wapo, na sio masihara...subirini tu uje wakati tuwekewe hadi chip kwnye mikono yetu tuwe controlled ndio somo litaeleweka, mtoa uzi nakushukuru maana na mimi nimepata upenyo wa kutoa yale ninayoyafahamu.
wabongo ni wabishi kwa elimu za kupewa! wanaowapa elimu wanawakubali alien, wanaopewa wanabisha hawapo
 
Kama kuna mtu haamini kuhusu existance ya ALLIENS na mambo ya UFO'S naomba atafute movie moja hivi inaitwa "EXTRATERESTRIAL" ukiwa mjanja utaelewa kwanini sikuhiz zinatoka sana movies za mambo ya sayansi na technolojia, na ukiwa mjanja pia utaelewa kwamba kuna message wanakuwa wanatoa before au after movie kuisha, mi ni mpenzi wa movie ila nimeshanotice hiyo kitu, hiyo muv ndiyo ina majibu ya maswali ya walio wengi humu kma uki pay attention kuangalia. Asanteni

Daaah!!! Kaka unamuono chanya sana....umekiona kitu ambacho Nina kiona mara kwa mara nikiangalia hiz movie za ckuiz...nyingi ni about zombies, techologies, evolution science(hybriding and mutation) nkaja kugundua kwamba kuna creative and genius people behind ambao wanauanda ulimwengu kwa kile ambacho soon is about to be a life style...so wanachokifanya Hawa pipo, nikuufanya ulimwengu Uzoee mapema...inapokuja kionekane ni kitu cha kawaida...niligundua hichi kitu, kutokana na kusoma kwangu maranyingi BIBLIA...nikagundua kwamba yoteyaliyo tabiriwa...huu Ndio wakati mahususi..ninayaona Mengi yanatimia tena kwa speed ya hatari...utakuja wakat NWO Itakuwa na nguvu kiasi cha kupitisha sheria ngumu ambazo zitatubana, na hii itakuwa applicable kwa kila nchi...na nchi itakuwa ikikataa inabanwa...think mnaona currently hizi ishu za embargoes na restriction mbalimbali ambazo UN ,US and other UE's countries zinavyo impose kwa inchi ambazo haz obey baadhi ya mambo ambayo wao wanataka yawe...see mfano Zimbabwe, so hii ni mwanzo tu...mambo na mashart hayo yatakazwa zaid...Wengi mnaweza msielewe na msione but kiukweli na kiuhalisia dunia ndio inaelekea huko....so what is our future hope? Ask yourself...Kama mahali ambapo ulikuwa wapaona salama wanaplan ya kupaextinguish, Tumaini la vizazi vyote liko....naye ni YESU. This is not about Religion..is about Your Life..Eternal Life. Something Big is About to Hit the Earth....

Ona America was once a Light emitting house....but nowadays ichunguze kwa makini, America kuna Giza kubwa...imefanywa kama Chanzo na kusudi lao hili Giza from there..nikulieneza dunia nzima, na wamejianda vizur sana, kwamba mpango wao ukishindikana wakuwatawala wanadam na ulimwengu...kinachofuata ni kuextinguish wanadamu wote...kwa nuclear weapons zao..ndio maana hawa pipo wanabase nyingi sana ulimwengu. Sehem Kama Pine Gap, Area 51, cheki ishu Kama Club of Rome, illuminat...na ishu nyingine hawa jamaa wamejipanga na wamedhamiria...Ila msihofu Mtetezi wetu Yuhai...YESU MNAZARETI..mwamini Leo bado Hujachelewa Ndugu
 
wabongo ni wabishi kwa elimu za kupewa! wanaowapa elimu wanawakubali alien, wanaopewa wanabisha hawapo

Na wale jamaa wanatabia moja, wanakuweka alerted kabisa ili mwisho wa siku kusiwe na lawama, si kma hivi..wengine hawaamini na hawaelewi kabisa, ila nimewaambia watafute hyo documentary niliyowaambia na movie niliyowaambia, kuna mambo ya siri yanafanyika sawa lakini wao hao hao wanatupatia ishara kupitia movies mbalimbali za science & technology, mwsho wa siku kuna watakaolewa na wasioelewa kabisa, ila mchongo wa dunia ndio uko hvyo...Alliens ni mashetani ( mpinga kristo) dhumuni lao kubwa ni kudestroy human kind, na mbeleni utakuja mpango wa Artificial intelligence....kwa kubeza kwamba binadamu wa kawaida akili yake ni nzito so wanatengeneza mtu ambae ana kwa nje ni binadamu ila kwa ndani ni MECA, hzo zote ni kazi za hao alliens..na mipango yao ya siku za usoni. Be aware guys 666 mnayoisikia mkisubiri kuwekewa vipajinj mtakesha...mchongi ndio huo unaanza...anayekataa ni kifo au kukosa basic needs. BEWARE!!!
 
Daaah!!! Kaka unamuono chanya sana....umekiona kitu ambacho Nina kiona mara kwa mara nikiangalia hiz movie za ckuiz...nyingi ni about zombies, techologies, evolution science(hybriding and mutation) nkaja kugundua kwamba kuna creative and genius people behind ambao wanauanda ulimwengu kwa kile ambacho soon is about to be a life style...so wanachokifanya Hawa pipo, nikuufanya ulimwengu Uzoee mapema...inapokuja kionekane ni kitu cha kawaida...niligundua hichi kitu, kutokana na kusoma kwangu maranyingi BIBLIA...nikagundua kwamba yoteyaliyo tabiriwa...huu Ndio wakati mahususi..ninayaona Mengi yanatimia tena kwa speed ya hatari...utakuja wakat NWO Itakuwa na nguvu kiasi cha kupitisha sheria ngumu ambazo zitatubana, na hii itakuwa applicable kwa kila nchi...na nchi itakuwa ikikataa inabanwa...think mnaona currently hizi ishu za embargoes na restriction mbalimbali ambazo UN ,US and other UE's countries zinavyo impose kwa inchi ambazo haz obey baadhi ya mambo ambayo wao wanataka yawe...see mfano Zimbabwe, so hii ni mwanzo tu...mambo na mashart hayo yatakazwa zaid...Wengi mnaweza msielewe na msione but kiukweli na kiuhalisia dunia ndio inaelekea huko....so what is our future hope? Ask yourself...Kama mahali ambapo ulikuwa wapaona salama wanaplan ya kupaextinguish, Tumaini la vizazi vyote liko....naye ni YESU. This is not about Religion..is about Your Life..Eternal Life. Something Big is About to Hit the Earth....

Ona America was once a Light emitting house....but nowadays ichunguze kwa makini, America kuna Giza kubwa...imefanywa kama Chanzo na kusudi lao hili Giza from there..nikulieneza dunia nzima, na wamejianda vizur sana, kwamba mpango wao ukishindikana wakuwatawala wanadam na ulimwengu...kinachofuata ni kuextinguish wanadamu wote...kwa nuclear weapons zao..ndio maana hawa pipo wanabase nyingi sana ulimwengu. Sehem Kama Pine Gap, Area 51, cheki ishu Kama Club of Rome, illuminat...na ishu nyingine hawa jamaa wamejipanga na wamedhamiria...Ila msihofu Mtetezi wetu Yuhai...YESU MNAZARETI..mwamini Leo bado Hujachelewa Ndugu

Jiff mimi ni dada sio kaka sawa? hahaaa:sly:
 
Hawa National Geograph wana kipindi chao cha ndege zilizopotea
naona watatoa tu video yake maana Discovery Chanel wameshatoa kwamba ilipigwa kombora kisa hawasemi
kweli Dunia ina maajabu ndege ipotee na abiria wake na Meli kibao Manowari na ndege zaidi ya 30 zisiipate?

Kila nikifikiria nashangaa sana hiki kisa! Halafu wenye technolojia zao hawasemi wala hawanung'uniki kukosa taarifa zozote kuhusu hiyo ndege.
 
Rais Benjamin Franklin (1706 – 1790)
Benjamin Franklin, the great statesman, scientist, political theorist and philosopher, is without doubt one of the most important inventors and public figures in American history. The creator of the Franklin stove, bifocal glasses and the glass harmonica also believed in generously donating his genius and never patented his work. He was a true Renaissance man, and possibly his greatest gift to civilization was the lightning rod, which led to a greater understanding of the nature of electricity. Franklin was active as a Freemason from at least as early as 1731, when he was initiated into St. John's Lodge in Philadelphia. Appointed Grand Master of the Grand Lodge of Pennsylvania in 1934, he was heavily involved in Masonic work his entire life, and edited and reprinted Scotland's Rev. James Anderson's Constitutions of the Free-Masons in the same year as his high appointment. This was the first Masonic book in America and effectively linked the "Antient" and the "Modern" world. Franklin, known as the "First American," was instrumental in the creation of modern America and, in doing so, brought the secrets of Freemasonry to a new nation. Or at least to its chosen few.

hawa ndio walioanzisha fikra za kuwatumia alien kwa maendeleo ya haraka. miaka isoyozidi 150 dunia ina maendeleo kuliko miaka 4000 kabla kristo na miaka 1900 baada ya kristo. halafu mtu analeta "vilugha" vyake hapa na ubishi mwiiiiiingi....
 
Kwanini umekazania kua mabadiliko ya duniani yanaletwa na alien?
sijakazania, wewe hujiulizi tangu binadamu amekuja duniani maelfu ya miaka, tena wa zamani walikuwa pamoja na manabii,mitume, lakini hawakugundua hata saa ya mkononi au redio au nokia tochi, lakini miaka 150 kuna mabadiliko makubwa sana, kati ya hiyo miaka 30 ina mabadiliko kuliko miaka 3000 iliyopita! zamani alien hawakuwa na nafasi, sasa wanatafutwa kusaidiana na wanasayansi, tunza imani,elimu yako, ila usibishe kama hujui..
 
Back
Top Bottom