Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

As a person working with an organisation which is CERN scientific collaborator, and understands what's actually going on there, you are insulting my intelligence beyond imaginable reason. Please keep quite of things you have no idea how they are done.

In CERN as with ESA,NASA etc there is a lot of Quantum physics and rocket science involved which unfortunately is reserved for a tiny percentile of the human population.

What's next?pilots aren't really flying those huge pressurized metal balloons you call planes? accept that there are people who are smarter than you and they happen to not be aliens.
afadhali umejileta....tuambie STEPHEN HAWKING alisemaje kuhusu hiyo CERN yenu?tuanzie hapo
 
Mtoa Uzi Uko vzr ila heading umeitia chumvi mno ikiwa we mwenyewe unaelewa kama area51 Sasa usiri Uko wapi!
©® nimekaa kimya nkitafakari rephrase ya heading yako.
 
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK

Mkuu maatope unaweza kunidadavulia hiyo project ya CERN manake mshipa Wa curiosity umesimama ile Mbaya.
 
Mkuu maatope unaweza kunidadavulia hiyo project ya CERN manake mshipa Wa curiosity umesimama ile Mbaya.
naomba ni summarise kidogo then nikupe links uone mwenyewe
hawa wajinga wa CERN wana recreate BIG BANG THEORY ambayo ndiyo wana sayansi wanaamini iliform dunia,ila madhara yake ni makubwa na yemeshaanza kujitokeza sema wanapiga kimya
hii issue hata yule genius STEPHEN HAWKING aliwaonya ita destroy the universe lakini who cares,they are illuminat and thats what they want
Nje ya officeyao huko SWITZERLAND wameweka sanamu la SHIVA(HINDU's GOD of DESTRUCTION) na hata advert ya CERN ambayo iliruka siku ya super bowl wanacheza dance ya shiva,dance ya destruction(kama umeangalia movie ya George clooney inaitwa tommorow land utaona hii kitu)hivi vitu ni very serious jamani
hii project imeshirikisha karibu nchi zote za Europe
 
Last edited by a moderator:
please jamani naomba muangalie na msome sana kuhusu hii issue ya CERN,it is so satanic,the end is near,new world order inaanza sooner than we thought
 
naomba ni summarise kidogo then nikupe links uone mwenyewe
hawa wajinga wa CERN wana recreate BIG BANG THEORY ambayo ndiyo wana sayansi wanaamini iliform dunia,ila madhara yake ni makubwa na yemeshaanza kujitokeza sema wanapiga kimya
hii issue hata yule genius STEPHEN HAWKING aliwaonya ita destroy the universe lakini who cares,they are illuminat and thats what they want
Nje ya officeyao huko SWITZERLAND wameweka sanamu la SHIVA(HINDU's GOD of DESTRUCTION) na hata advert ya CERN ambayo iliruka siku ya super bowl wanacheza dance ya shiva,dance ya destruction(kama umeangalia movie ya George clooney inaitwa tommorow land utaona hii kitu)hivi vitu ni very serious jamani
hii project imeshirikisha karibu nchi zote za Europe

Kiherehere changu kitaniponza huko...
 
Last edited by a moderator:
Iam not sure lakini tayari kuna breeding ilishafanyika kati ya alliens na humans,wanaitwa reptilians,wana akili sana ila yule alien waliyem capture mexico alikuwa ni mwanamke na alitoa siri nyingi sana thats why usishangae hata wazungu wanamdharau mungu maana kuna forces nyingi sana zinazotutawala

muangalie huyu bodyguard wa obama,ni breeding ya aliens na binadamu

Wabongo mnasikitisha yani video kama hiyo na wewe unaamini! Hizo video hata mtoto wa miaka8 Anaweza tengeneza na kuupload YouTube

Huyo mlinzi watu wengine hawakumuona? Sehemu nyingine haendi nae? Acha umbulula

Ndio maana nasema wabongo mmejua kuingia YouTube na Google mnajikuta researchers waliobobea, research hazifanyiki YouTube
 
wewe ndiye unayesikitisha sana,maana hata leo ukiambiwa race ya annunaki bado ina exist na wana kisehemu chao wanatunzwa huko Israel utakataa?????do researchkuhusu reptilians shape shifters ndipo utaelewa
huwa napata shida sana na watu kama wewe wanaodhani haya nimabishano ya team wema na team diamond
pull up,step up..jiongeze kama unatarajiwa haya mambo unadikiwe kwenye vitabu na goverments basi utasubiri sana
 
Nimehudhuria semina za watu kama David Icke huko abroad way back before you tube haijaanza sasa kama wewe unaona ndiyo ujanja pole sana
 
Nilichek documentary ya hyo area 51 inasemekana kuna viumbe vilianguka hapo vilipoikaribia na dunia na chombo chao baada ya kuanguka mabaki ya hicho chombo yalichukuliwa fasta na en thy say kua inawezekana technology yote ya mmarekani imetokana na hvo viumbe vilivyoanguka. Kuna watu waliokishuhudia icho chombo kikiwa angani na wakasikia mlipuko baada ya kuanguka walipoenda kuchek walikuta kila kitu kishachukuliwa kwa haraka na kuhifadhiwa kwa siri ndani ya hyo area 51. Pia inasemekana hata ile story ya kua america ndio taifa la kwanza kuland on the moon ile video ilirecodiwa ndani ya area 51 so ningumu kujua coz area hyo iko na security ya hali ya juu. Unaweza kuichek kwa Google map sikuhiz japo ni jangwa kubwa ila utaona baadhi ya majengo ya area51.
 
upo sahihi kabisa na hata picha uliyoitoa post # 65 ni Area 51 ambako hata senator yeyote hatakiwi kupafahamu km nilivyokwisha sema ndipo Apollo 11 ilipotua sasa ili USA asiaibike ni heri mtu akapotezwa uhai wake
kuhusu Bufa
avatar75950_7.gif
kukataa sijaelewa anachokataa ni kipi kwani mada imezungumzia vitu vi3 tofauti ambavyo vyote ni vizito kujadili km mada moja

  1. Area 51 Nevada Desert
  2. UFO = Unidentified flying object (redirect from UFOs) viumbe vinavyoruka angani na huenda vimetoka sayari ingine
  3. Alien may refer to:Extraterrestrial life, life which does not originate from Earth Alien (law), a non-citizen inhabitant of a country
kwa vile link, zipo picha hata Google na Wikipedia unabidi tuamini majini yapo labda hao alien ni wa hadithi
images

kwetu sisi ni vigumu kuamini kuwa Mmarekani hajafika mwezini ndio maana hatuamini kuwa eneo hilo lina siri na milima waliyopiga picha za mwezini kumbe ni Area 51 Nevada (Mmarekani keshaonekana yupo Dunia ingine basi hakuna wa kuhoji)
area-51-nevada-2_2645732c.jpg

A rare view of Area 51 from a light aircraft (Nevada Aerospace Hall of Fame)

Nevada’s best-kept secrets endure at Area 51 | Las Vegas Review-Journal
Area 51 exists and there were strange goings on admit CIA - Telegraph

Uthibitisho. Habari zote unazoongelea hapa zimejengekeka katika nadharia na conspiracies tu bila uthibitisho wowote

Sababu wabongo wanapenda sana conspiracy theories na habari za uchawi na ulozi basi hapa watashikwa bila kufikirisha akili. Ndio maana wengi wanaamini mambo ya Freemasons, uchawi, majini aliens na mambo kama

Area51 Ni eneo lipo na restricted kweli ila nini kinafanyika mle ndani hakuna ajuae hivyo tusijazane matango as if mnauhakika. Mtu yeyote anaweza feed chochote kwenye internet kama habari kuhusu hili eneo zinavyoweka YouTube na kila mtu bila uthibiti

Mwingine kaja kuongea pumba kuhusu projects wanazofanya CERN eti Ni kwa uwezo wa aliens na si binadamu WTF! Kama sisi hatuwezi tumia akili zetu sio kila mtu hawezi, pale Ni experiments za quantum physics wala si miujiza

HAKUNA UTHIBITISHO WA UWEPO WA ALIENS MAHALA POPOTE DUNIANI AU ANGANI
 
wala usiogope ku-Google au unaenda You=Tube https://www.youtube.com/watch?v=9OY9lni0F_s
taona jinsi Mmarekani alivyotumia jangwa la Nevada na vilima vyake kutuhadaa kuwa yupo mwezini na ndio maana akapazuia ili watu wasipatembelee
hapa chiniwakiandaa namna ya kupiga picha jangwani Nevada (Area 51)
trafficsigns.jpg

fananisha picha hizo mbili ya hiyo wakiongeza mafuta katika Rover na kuifuta picha ya kujazia mafuta (A)
gasstation2.jpg

area-51-nevada-2_2645732c.jpg

1969 ilikuwa ni wakati wa Vita baridi kati ya USSR na USA Mmarekani akafunga goli la Apollo
Leo (kuna tetesi) Puttin keshawaambia wamarekani bora waseme ukweli km walishafika mwezini au la, na hii ni baadaya sekeseke la Blatter na FIFA Mmarekani kuwashtaki viongozi wala rushwa ikiwemo na Russia kuandaa Kombe la Dunia
Tusubiri yataibuka mengi

Hiyo picha haihitaji hata degree kutambua ni photoshop..hcho kivuli cha tank yamafuta kimeelekea kwengine na kivuli cha hilo sijui rover kimeelekea kwengine na huyo jamaa anaejaza mafuta hana kivuli au ndio Reptilians mwenyewe?😛
 
Uthibitisho. Habari zote unazoongelea hapa zimejengekeka katika nadharia na conspiracies tu bila uthibitisho wowote

Sababu wabongo wanapenda sana conspiracy theories na habari za uchawi na ulozi basi hapa watashikwa bila kufikirisha akili. Ndio maana wengi wanaamini mambo ya Freemasons, uchawi, majini aliens na mambo kama

Area51 Ni eneo lipo na restricted kweli ila nini kinafanyika mle ndani hakuna ajuae hivyo tusijazane matango as if mnauhakika. Mtu yeyote anaweza feed chochote kwenye internet kama habari kuhusu hili eneo zinavyoweka YouTube na kila mtu bila uthibiti

Mwingine kaja kuongea pumba kuhusu projects wanazofanya CERN eti Ni kwa uwezo wa aliens na si binadamu WTF! Kama sisi hatuwezi tumia akili zetu sio kila mtu hawezi, pale Ni experiments za quantum physics wala si miujiza

HAKUNA UTHIBITISHO WA UWEPO WA ALIENS MAHALA POPOTE DUNIANI AU ANGANI

Alaf inabidi mtu cku atuelimishe kuhusu hii CERN experiment wanazofanya like a big bang theory vitu kama hvo kwakwel hua napenda sana kujua.
 
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK

Project CERN ndo nini hiyo mkuu?
 
Na kule wanapopaita Bohemian Grove ni wapi? Naskia wanafanyaga ibada zao za Secret Society
 
wewe ndiye unayesikitisha sana,maana hata leo ukiambiwa race ya annunaki bado ina exist na wana kisehemu chao wanatunzwa huko Israel utakataa?????do researchkuhusu reptilians shape shifters ndipo utaelewa
huwa napata shida sana na watu kama wewe wanaodhani haya nimabishano ya team wema na team diamond
pull up,step up..jiongeze kama unatarajiwa haya mambo unadikiwe kwenye vitabu na goverments basi utasubiri sana

Hakuna uthibitisho wa uwepo wa aliens mahala popote nirudie mara ngapi!

More than 130k classified docs kuhusu UFO zilikuwa released online sijui umesoma ngapi hadi sasa ila one thing for sure hakuna hata moja inayothibitisha uwepo wa aliens na hizi Ni kutoka kwa wahusika wenyewe

Unapokazania area51 kuna aliens wamefugwa uwe unatoa reliable source za info zako ukizingatia Hakuna ajuae nini kinaendelea mule sasa sijui wewe umezitoa wapi hizo habari
 
Back
Top Bottom