Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

MAMBO ya UFO ni uongo uliopitiliza wenye malengo yake. brain wash! kuwaaminisha binadamu kuamini muelekeo fulani ili iwe rahisi kuwatawala. NWO
 
Mkuu..kumbe aliens wanavaa t-shirt.. asante kwa kunitoa tongotongo

Achana na hizo picha!!!!!sio za alien!!! nasa walizivujisha picha za uongo za alien! Soma pale mwanzo. nasa wanatoa habari nusu kweli nusu uongo! Ili kuficha ukweli kwa wezi wa teknoloji kama urusi. Pia hawafugi hao wadudu! Alien huitwa maalumu na watu wao maalum kwa ajili ya habari maalum za kiteknolojia.....
 
Jinsi ya kuwasiliana na Alliens
 
Last edited by a moderator:
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana

Mkuu nakuunga mkono 100% maana niliwahi ona clip moja hivi inamuonyesha raisi wa dunia ( nadhan mnamfaham haina haja kumtaja) akilindwa na moja kati ya alliens, ambaye ukimuona kwa jicho la kawaida unaweza bisha kwamba si allien ila kwa wanaofahamu wanaelewa, maana jamaa haamini mtu yeyote yule zaidi ya hvyo viumbe...na pia vipo vina exist huko marekani....mfano kuna baadh ya maeneo ndege za UFO'S huwa zinaonekana zinapita kwa mbali kma mwanga na kuyeyuka, na pia habar hizi serikali ile haitaki kuziweka wazi maana ni top secret mno...ila wanaofaham mchongo unaoendelea ni wachache sana, na hao alliens mpngo wao siku moja ni kuja ku tawala dunia kisayansi zaidi...well kwa kawaida it's hard to believe ila nilivyokuwa naangalia documentaries mbalimbali mbona niliamini jaoo wengine hawaamini kma such things exist...ila all in all tuwe macho sana maana ALLIENS, UFO'S, ARTIFICIAL INTELLIGENCE, hivi vitu vipo na kma huku Africa havijaja basi ni soon.
Muhimu;
Kukesha na kuomba maana tupo hatarini sana, wanaomuabudu shetani wanataka kwenda na wengi ifikapo siku ya mwisho.
 
Kama kuna mtu haamini kuhusu existance ya ALLIENS na mambo ya UFO'S naomba atafute movie moja hivi inaitwa "EXTRATERESTRIAL" ukiwa mjanja utaelewa kwanini sikuhiz zinatoka sana movies za mambo ya sayansi na technolojia, na ukiwa mjanja pia utaelewa kwamba kuna message wanakuwa wanatoa before au after movie kuisha, mi ni mpenzi wa movie ila nimeshanotice hiyo kitu, hiyo muv ndiyo ina majibu ya maswali ya walio wengi humu kma uki pay attention kuangalia. Asanteni
 
Au kuna documentary inaitwa "TRUTH MAY SCARE YOU" wapenzi naomba msearch hiyo kwa you tube then zitakuja option kibao...ww command kuhusu habari za Alliens na ufo's everything will come out, utapata mambo ambayo ww binafsi huwezi kuyategemea, natamani wote tufahamu hii kitu ila siku yakitokea ya kutokea mtu unafahamu pa kuanzia. Napenda sana hili jukwaa
 
Hahaha and I believe the of tiny percentile and the "smarter"people you are as well exceptionally included!! Hehehe. Believe me Kimweri a proper scientist/professor working in a Tanzanian University or NIMR let alone CERN hardly knows what JF is let alone participate as much in these discussions. So unless you are a messenger or guardman at CERN you will not have time nor interest to participate this much in JF. So pleeease don't feel insulted.

Hata niilichoandika hujaelewa halafu unataka tukae hapa kuzungumzia applied Quantum Physics research, tutaelewana au tutazinguana?

Ni hivi, CERN, ESA, JAXA and the likes, hawafanyi kila kitu. Specs za vitu wanavyofanya sio siri, mtu yoyote mwenye punje mbili za ubongo na mwenye kuelewa ABC za wanachofanya anaelewa nini kinafanyika kule. Hawana capacity, muda na uwezo wa kufanya kila kitu, kazi zao ziko highly modularised, with many collaborations with departments, other scientific institutions and commercial companies zilizojikita kwenye High tech research.

Nitakupa mifano miwili. Module nyingi za mawasiliano zinazotumiwa na CERN, hazitengenezwi Uswisi/France CERN ilipo, hapa nazungumzia vitu kama nano sized space hardened transistors,MEMS, RF circuits n.k, kwa mtu anayefanya hizi kazi anajua who are the best kwenye space hardened transistor modules,wafer prototyping etc etc. Pluto inafahamika ilipo, Mwendo wa kufika Next Galaxy unafahamika, Specs za Module inayoweza kuoperate at minimal power consumption, with highest gain and durability ziko wazi, academia wengi wanafanya aina hizi za research.Institutions zinazofanya applied research kutoa hizi IDEA za wana fizikia na kuzigeuza kuwa products zinafahamika, customers na collaborators wa CERN,ESA,JAXA wanafahamika, conferences wanazohuduria miaka nenda rudi zinafahamika.na wanaohudhuria huko wanajijua. Hakuna Alien, kuna watu wakawaida kabisa, wengine unapishana nao mjini huwatambui labda.

Mfano wa pili, nitakupa kwenye mambo ya rocket propulsion. NASA walisimamisha biashara za kumaintain rocket zao, muda mrefu tu, na hiyo kazi ilikuwa ikifanya na makampuni binafsi ya warusi, na hivi karibuni kuna private companies za wamarekani zinafanya hizo kazi. Kwenda mwezini na kurudi, kwenda mars na kurudi, sio tena kitu kigumu kwa watu wengi wanaojua matumizi sahihi ya Physics na Hisabati, ni kama kuendesha daladala tu, ndio maana hadi startups zinafanya projects za kupeleka watu mars na kupeleka loads kwenye Intl Space stations.

Kukujibu swali lako kunihusu mimi, sifanyi kazi CERN, nimeshafanya nao kazi, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.by the way hata wewe kama unataka unaweza kwenda, wana kituo chao cha applied reserch kipo Geneva, Mpaka wao na France, PhD yako tu ya Physics inatosha kukuingiza mle ndani. Hawana hiyana.
 
Hao smartest people ndio alien! Ndio maana ni wachache, wako miongoni binadamu. Pia wanapatika maeneo maalum. Achana na picha za kuchora za alien!

Naona mmeamua kujitoa ufahamu sasa, kwa hiyo mjomba wako akiwa smart unamuita Alien?unafahamu tafsiri ya Alien katika mantiki inayotumika kwenye hii mada?naona mmeamua kuwe na genge tu hapa.
 
Naona mmeamua kujitoa ufahamu sasa, kwa hiyo mjomba wako akiwa smart unamuita Alien?unafahamu tafsiri ya Alien katika mantiki inayotumika kwenye hii mada?naona mmeamua kuwe na genge tu hapa.
soma post zote tangu mwanzo utaelewa! alien unaowaona picha zao sio kweli, hao nasa wamewapachika kuficha alien halisi, pia tunaposema watu "smart" inaelekea hujaelewa. hukuna mjomba "smart" huku kwetu! huku hata wakiletewa ujuzi na hao waliokutana na watu smart wanaharibu, kwetu hakuna mtu smart wa aina ya nasa wanaowataka! huku kuna wagumu na wabishi kama unavyoona hapa jf,tanzania ina vitu vingi vya kukuza uchumi kuliko marekana, ila imekosa watu wanaotumia akili za hali ya juu, (itakuwa kuwasiliana na alien!) hapa ubishi,wizi,miradi hewa ndio sawa, mambo ya kutafuta ugunduzi,maarifa makubwa,alien yatabaki hukohuko usa (area51) na kwingineko,sisi tunaletewa teknolojia na tunatumia tu, bisha mkuu kwanguvu...
 
Naona mmeamua kujitoa ufahamu sasa, kwa hiyo mjomba wako akiwa smart unamuita Alien?unafahamu tafsiri ya Alien katika mantiki inayotumika kwenye hii mada?naona mmeamua kuwe na genge tu hapa.
miaka ya nyuma uungeambiwa usa wana siri za kuwadukulia viongozi wa ulaya mawasiliano wewe na wengine mngekataa na kusema ulaya wana mitambo ya hali ya juu usa hawezu kudukua mawasilianao! mngebisha, leo inajulikana wamedukua mawasiliana ya viongozi wote wa ulaya! na bado hakuna kiongozi wa nchi yeyote wakita wanashindwa, bisheni tu na maelezo meeeengi hapa. jua kuna 'blaki projecti' usa nyingi sana, mchana hazipo usiki zipo
alien ni moja ya hizo, acha na hizo picha za vikatuni hapo juu..
 
soma post zote tangu mwanzo utaelewa! alien unaowaona picha zao sio kweli, hao nasa wamewapachika kuficha alien halisi, pia tunaposema watu "smart" inaelekea hujaelewa. hukuna mjomba "smart" huku kwetu! huku hata wakiletewa ujuzi na hao waliokutana na watu smart wanaharibu, kwetu hakuna mtu smart wa aina ya nasa wanaowataka! huku kuna wagumu na wabishi kama unavyoona hapa jf,tanzania ina vitu vingi vya kukuza uchumi kuliko marekana, ila imekosa watu wanaotumia akili za hali ya juu, (itakuwa kuwasiliana na alien!) hapa ubishi,wizi,miradi hewa ndio sawa, mambo ya kutafuta ugunduzi,maarifa makubwa,alien yatabaki hukohuko usa (area51) na kwingineko,sisi tunaletewa teknolojia na tunatumia tu, bisha mkuu kwanguvu...

naona unaleta siasa kwenye science. Endelea nazo. I never mix politics with Science, it's akin to force a mixture of water with Oil.
 
miaka ya nyuma uungeambiwa usa wana siri za kuwadukulia viongozi wa ulaya mawasiliano wewe na wengine mngekataa na kusema ulaya wana mitambo ya hali ya juu usa hawezu kudukua mawasilianao! mngebisha, leo inajulikana wamedukua mawasiliana ya viongozi wote wa ulaya! na bado hakuna kiongozi wa nchi yeyote wakita wanashindwa, bisheni tu na maelezo meeeengi hapa. jua kuna 'blaki projecti' usa nyingi sana, mchana hazipo usiki zipo
alien ni moja ya hizo, acha na hizo picha za vikatuni hapo juu..

Wewe kweli maamuma, Sasa unafikiri kazi ya mashirika ya Ujasusi ni nini?kunywa juice na kuvaa suti? Kuweka links na Video made by junkheads kuhusu vitu visivyoleta maana kisayansi sio kujua bali ni dalili za uchizi. machizi wengi sasa hivi duniani wana access na internet, hivyo sikushangai kukurupukia vitu bila ku-reason scientifically kuhusu hivyo vitu. Usichanganye Data routing which is the core of telecommunication networks and your whimsical theories that can only be proved by naive minds with a little too much to drink.

Hizi Movies za Hollywood which are purely for entertainment reasons, kuna watu mwazichukulia serious kuliko inavyotakiwa kuwa.
 
wewe kweli maamuma, sasa unafikiri kazi ya mashirika ya ujasusi ni nini?kunywa juice na kuvaa suti? Kuweka links na video made by junkheads kuhusu vitu visivyoleta maana kisayansi sio kujua bali ni dalili za uchizi. Machizi wengi sasa hivi duniani wana access na internet, hivyo sikushangai kukurupukia vitu bila ku-reason scientifically kuhusu hivyo vitu. Usichanganye data routing which is the core of telecommunication networks and your whimsical theories that can only be proved by naive minds with a little too much to drink.

Hizi movies za hollywood which are purely for entertainment reasons, kuna watu mwazichukulia serious kuliko inavyotakiwa kuwa.
walewale....ubishiiiiiiii.......na viteminologi kibao! Wabongo bwana watakujazia kurasa lakini hewa...sema unachotaka lakini hifuti ukweli, mimi sijaunga mkono picha za vikaragosi wala movie za hollywood, ila najua kwa uhakika alien wapo, na si kila jambo lipo wikipedia au google....wewe kanusha hapa kwamba alien hakuna.
 
wewe kweli maamuma, sasa unafikiri kazi ya mashirika ya ujasusi ni nini?kunywa juice na kuvaa suti? Kuweka links na video made by junkheads kuhusu vitu visivyoleta maana kisayansi sio kujua bali ni dalili za uchizi. Machizi wengi sasa hivi duniani wana access na internet, hivyo sikushangai kukurupukia vitu bila ku-reason scientifically kuhusu hivyo vitu. Usichanganye data routing which is the core of telecommunication networks and your whimsical theories that can only be proved by naive minds with a little too much to drink.

Hizi movies za hollywood which are purely for entertainment reasons, kuna watu mwazichukulia serious kuliko inavyotakiwa kuwa.
mimi maamuma kweli, hujakosea, wewe msomi sawa! Hayo yote ulioandika ni yako au umekopi mahali?? Jua kila anaekopi ni maamuma, au rudi ukaangalie kamusi maamuma ni nn.....
 
4AAAAASUVORK5CYII=
AW5ic1LG9hHqAAAAAElFTkSuQmCC

MSOMI WETU KIMWERI HEBU TUPE MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU HIZO PICHA KUTOKA AREA 51......
 
Wewe kweli maamuma, Sasa unafikiri kazi ya mashirika ya Ujasusi ni nini?kunywa juice na kuvaa suti? Kuweka links na Video made by junkheads kuhusu vitu visivyoleta maana kisayansi sio kujua bali ni dalili za uchizi. machizi wengi sasa hivi duniani wana access na internet, hivyo sikushangai kukurupukia vitu bila ku-reason scientifically kuhusu hivyo vitu. Usichanganye Data routing which is the core of telecommunication networks and your whimsical theories that can only be proved by naive minds with a little too much to drink.

Hizi Movies za Hollywood which are purely for entertainment reasons, kuna watu mwazichukulia serious kuliko inavyotakiwa kuwa.
4AAAAASUVORK5CYII=
AW5ic1LG9hHqAAAAAElFTkSuQmCC

MSOMI WETU KIMWERI HEBU TUPE MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU HIZO PICHA KUTOKA AREA 51
 
Back
Top Bottom