natamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...