Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Hiyo ambayo "haipo" inapitishwa na nani? Au unataka kutuaminisha kuwa huwa wanapewa tu blank cheque? Hujui kwamba hapa kwetu idara ya usalama iko chini ya ofisi ya Rais? Au unafikiri idara hiyo nyeti iko hewani tu?

Bajeti zingine ni siri. Zinawekwa kwenye utafiti kumbe zinafanya mambo mengine. Wabongo ubishi. Hata kwenu mtoto anaomba pesa ya kalamu ananunua pipi hujui!!!
 
Kwanza jua Hakuna uthibitisho wa uwepo wa aliens.

Area51 mitandaoni zimejaa conspiracies tu Hakuna kipya kila mtu anaweka anachojisikia. Senators pia wanajibiwa kimkato bila kupewa jibu la kueleweka

Area51 eneo lipo nini wanafanya mle mimi na wewe hatujui. Kujazana mambo ya uwepo wa aliens Ni uongo mkavu

Sasa usiseme uongo wakati hujui.
 
A bunch of bullshit!

Mkuu please it's not another bunch of bullshit...you just wait and the truth will be revealed, if you do not believe anything about those satanic dudes then usifanye kile mtu asiamini...maana it's very simple mengine hatutoi akilini mwetu kwani even bible imeshatabili uwepo wa hvyo viumbe ukiisoma kwa umakini.
 
Sijakuambia usiamini. Kama unaamini hiyo ni juu yako.
 
Bajeti zingine ni siri. Zinawekwa kwenye utafiti kumbe zinafanya mambo mengine. Wabongo ubishi. Hata kwenu mtoto anaomba pesa ya kalamu ananunua pipi hujui!!!

Ni siri kwa nani? Ukishasema bajeti maana yake ni kuwa kuna watu wanatengeneza sasa hapo kuna siri tena? Inaweza kuwa siri kwa public, lakini ukiniambia eti hata head of state hajui huo ni uongo usio na kifani.
 
Sasa ni ili ubishe au. Soma hata mitandaoni tu kujua hayo nadogo. Soma bajeti ya cia, soma na vitengo vyao. Mbona ni viti vidogo tu na viko wazi. Kuna miradi mingi cia wameitekeleza kwa hizo bajet za siri. Kuanzia kuwasaidia contra,nicaragua, kwasaidia mujahidina afghanistan, korea zikipigana.

Ishu hapa ni kuwa nyie mnadai eti kuna projects za vyombo vya usalama rais hajui, huo ni uongo. Suala la kufanya siri kwa public kila mtu anaelewa na ndio maana hiyo kazi inaitwa espionage. Lakini usitudanganye kuwa eti kuna kitu chochote wanaweza kufanya CIA bila approval ya rais. Unakumbuka scandal ya Iran-Contra? Kwanini kidogo imuondoe Rais Reagan madarakani?
 
mkuu kumbe unaelewa halafu unabisha, yapo ambayo rais anayajua badae,au asijue kabisa. hata reagan alijua nusu japo aliidhisha yeye. unajua uhusiana wa kennedy na cia(allen dulles) ulivyokua? au lyndon johnson aliemrith kennedy wakati wa vietnam? alikuwa anapitwa njenje na director wa cia,mfano: In 1954 Dulles, now director of the CIA organized PB/SUCCESS, a CIA operation to overthrow PresidentJacobo Arbenz. Other CIA officers involved in this operation included David Atlee Phillips, Tracy Barnes,William (Rip) Robertson and E. Howard Hunt. Hecksher's role was to supply front-line reports and to bribe Arbenz's military commanders. It was later discovered that one commander accepted $60,000 to surrender his troops. Ernesto Guevara attempted to organize some civil militias but senior army officers blocked the distribution of weapons.With the help of President Anastasio Somoza, Colonel Carlos Castillo had formed a rebel army inNicaragua. It has been estimated that between January and June, 1954, the CIA spent about $20 million on Castillo's army. Jacobo Arbenz now believed he stood little chance of preventing Castillo gaining power. Accepting that further resistance would only bring more deaths he announced his resignation. hapo mambo yalikuwa chini ya cia director, hakuna seneta wala congress mpaka badae

soma: Bissell decided to arrange the assassination of Fidel Castro. In September 1960 Richard Bissell and Allen W. Dulles, the director of the Central Intelligence Agency (CIA), initiated talks with two leading figures of the Mafia, Johnny Roselli and Sam Giancana. Later, other crime bosses such as Carlos Marcello, Santos Trafficante and Meyer Lansky became involved in this plot against Castro.

Robert Maheu, a veteran of CIA counter-espionage activities, was instructed to offer the Mafia $150,000 to kill Fidel Castro. The advantage of employing the Mafia for this work is that it provided CIA with a credible cover story. The Mafia were known to be angry with Castro for closing down their profitable brothels and casinos in Cuba. If the assassins were killed or captured the media would accept that the Mafia were working on their own.
The Federal Bureau of Investigation had to be brought into this plan as part of the deal involved protection against investigations against the Mafia in the United States. Castro was later to complain that there were twenty ClA-sponsered attempts on his life. Eventually Johnny Roselli and his friends became convinced that the Cuban revolution could not be reversed by simply removing its leader. However, they continued to play along with this CIA plot in order to prevent them being prosecuted for criminal offences committed in the United States. hayo hapo juu yalipitishwa na congress an seneta? ni mipango ya cia wenyewe, pesa zinatoka lakini kwa kazi nyingine, ndio bajeti za siri

screen%20shot%202013-08-29%20at%205.05.35%20pm.png

hapo ni 2013, ikishapipita bajeti nusu ya operations inaenda kwenye bajeti ya siri,
 
Kama unaamini kuwa hizo operation zote ulizotaja zilifanywa bila approval ya Rais wa Marekani then you are dumb as hell!
 
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga

ur very right mkuu nasa wanajarbu ku imagine sana eg walivoelezea alien kuwepo mwezini bado hawana physical evidence
 
Kama unaamini kuwa hizo operation zote ulizotaja zilifanywa bila approval ya Rais wa Marekani then you are dumb as hell!
wabongo hao! haya umeshinda hapa japo hufuti ukweli!! rais ana approval asilimia kubwa, cia wana yao wanafanya bila idhini ya rais pia
hata habari alizovujisha snowden tungeandika hapa kabla ungebisha, habari za wikileak ungebisha.
 
Kwa hiyo unajifananisha na Snowden na Wikileaks? Negro please!
 
najifananishaia nini? ni habazi ziko wazi au husomi majarida unakuja na viubishi vya kitoto! ndio maana nchi haiendi, kila mtu mbishi, habari ziko kila mahali -za operation za zamani za cia, kaa kimya kama husomi ebo!
 
Kwa hiyo unajifananisha na Snowden na Wikileaks? Negro please!
nakupa tena kipande usome kwamba wanafanya mambo kwa siri hata hayajapitishwa na wanasiasa, yakigundulika wanafuta au kubisha kama wewe: angalia mind control
In 1973, with the government-wide panic caused by Watergate, the CIA Director Richard Helms ordered all MKUltra files destroyed.[SUP][49][/SUP] Pursuant to this order, most CIA documents regarding the project were destroyed, making a full investigation of MKUltra impossible. A cache of some 20,000 documents survived Helms' purge, as they had been incorrectly stored in a financial records building and were discovered following a FOIArequest in 1977. These documents were fully investigated during the Senate Hearings of 1977.[SUP][3][/SUP]
In December 1974, The New York Times alleged that the CIA had conducted illegal domestic activities, including experiments on U.S. citizens, during the 1960s. That report prompted investigations by the U.S. Congress, in the form of the Church Committee, and by a presidential commission known as the Rockefeller Commission that looked into domestic activities of the CIA, the FBI, and intelligence-related agencies of the military.
 
Rudia kusoma post yangu namba 289 hapo juu.
 
huko kila mtu amesoma mkuu! tatizo ni alien, hivyo vipicha vya alien sio vya kweli ila alien wapo! alien wapo kama tunavyosema mapepo wapo,majini wapo, hata kwenye imani za watu wa dini habari zipo, na wafanyakazi wa zamani wa idara za siri za cia walishasema kulikuwa ni mawasiliano na alien eneo la area 51, hizo stori kwamba chombo chao kilikamatwa wakamkamata mmoja au wawili ni za kutengeneza,wana ukweli nusu na uongo nusu,
 
Area 51 si eneo la kusadikika lipo, na hapa ndiko kunakofanyika ugunduzi na majaribio ya ajabu na ya kutisha mno katika dunia hii. Area 51 ndiko kulikobuniwa kwa mara ya kwanza utengenezaji wa virusi vya ukimwi, na kila kinachofanyika mahali hapo hufanywa chini ya approval ya Rais 100%
 
Back
Top Bottom