The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Waaa ! Wacha niwaachie nafasi wanaotaka wadada wa kitusiInategemea. Ila Grade I ni kama elfu 5 ya Bongo, kwa madukani
Waaa ! Wacha niwaachie nafasi wanaotaka wadada wa kitusiInategemea. Ila Grade I ni kama elfu 5 ya Bongo, kwa madukani
ndogo sana hata Kahama itakuwa KubwaKigali ,inalingana na mji was gani wa Tanzania
Hizo picha sidhani kama sina cha kufanya, kwa sababu wanyarwanda wanachokiangalia ni umhimu wa fulani kwenye nafasi aliyo nayo.We niambie mimi nikutumie mpaka pcha na nafasi zao acha blah blah mingi. Swali la pili unajua kikundi cha kitutsi cha ikotany kimeua wahutu wengi kuliko watutsi waliouawa kwenye ile genocide?
Kwani ukiwa myarwanda kuna shida gani?Mimi ni Dereva wa Truck knowledge yangu kuhusu Rwanda inatokana na mimi kwenda Rwanda Burundi DRC Uganda Kenya Malawi Zambia nk. mara kwa mara wewe ulijifungia Wilayani kwenu usiwe rahisi ku judge
Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watundogo sana hata Kahama itakuwa Kubwa
Sijui umemaanisha ukubwa gani. Je, Kigali inaanzia wapi, inaishia wapi? Mfano, Mwanza, unajua kutoka Buhongwa, mpaka Kisesa, kuna umbali gani? Hapo ni mjini kati. Maana nikiongelea nje, ntaanzia Usagala, nyuma ya Kisesa sijui mji kwa sasa umefika wapi!Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watu
Hakuna shida, ila mimi sio "Mnyarwanda" mimi ni Mtanzania.Kwani ukiwa myarwanda kuna shida gani?
Tatizo ulilo nalo halina tofauti na kinachoendelea mashariki mwa Congo.Shauku hiyo tunaiona kwa wanyarwanda wengi kuwa mapandikizi hasa Tz, wanaanza na nyazifa za chini kabisa kama wenyeviti wa vijiji ama kuwa viongozi wa chama (CCM) ngazi za kijiji kisha kupanda taratibu hadi kufikia ngazi za juu mfano (naibu waziri mkuu) inasemekana ni mtu wenu,
Kipi kinapelekea watu wenye ASILI ya Rwanda kujichukulia maeneo na nyazifa nyingi Tz kuliko wa Tz kufanya hivyo huko Rwanda ama ndio Tz ishakuwa shamba la bibi maana kuna idadi kubwa ya wanyarwanda maeneo mengi hasa mipakani japo kuishi kwao Tz kitu kibaya Ila uwepo wao kwa wingi wa kuogofya unatia shaka miaka ya usoni kuwa kutakuwa na agenda nyuma ya pazia zaidi kuwa kuna kitu mnakitaka zaidi ndio maana hamchoki kujipenyeza na kuvuta ndugu na jamaa kujitwalia maeneo mengi bongo hii… NA karibu tuu kuwaza!!
Hahahahahahaha, wahima ni jina wanalopewa wanaoitwa watutsi kwa sasa wapo Uganda. Kama ilivyo, kwa Wanyamlenge, ambao ni wale waliopo DRC.Kuna tofauti gani kati ya wahima na watusi?Kingine nikija Kigali sehemu zipi napata watusi wa kwenda hawa wa Benako wamenichosha
Muhutu akizaa na mtutsi mtoto atatambulikaje?Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Hope hujajibu why wanyarwanda kuingia na kuishi Tz ni rahisi si kama mTz kuingia Rwanda na kujitwalia maeneo simply???Tatizo ulilo nalo halina tofauti na kinachoendelea mashariki mwa Congo.
Je, ni nini hasa kinachopelekea kudai kwamba ni wanyarwanda? Unamaanisha uongozi wa nchi yako ni dhaifu kiasi cha kuruhusu hayo? Kwa kifupi, uhamiaji, usalama wa taifa, hawajui wanachokifanya?
Ebu weka akiba ya maneno, nchi haingozwi kama serikali ya mtaa.
Uwepo wao pengine, kama hawana madhala kiusalama, nilihisi ungekuwa faida ya ziada. Wanapolima, wateja ni watanzania. Kila kinachofanyika, ni kwa manufaa ya nchi.
Je, wasiwasi wako, ni kwamba na wao wanapata chance ya maisha?
Sema wahima ni wengi hili pori la Nyaishozi mpaka Benaco mbona wao ngozi za soft sana tofauti na watusi wengine nao wajua.Wahima wa Uganda mitaa ya Isingiro,mbarara si ndio wanyankole sio?Hahahahahahaha, wahima ni jina wanalopewa wanaoitwa watutsi kwa sasa wapo Uganda. Kama ilivyo, kwa Wanyamlenge, ambao ni wale waliopo DRC.
Watutsi wa kwenda nao, umechoshwa na hao wa Benaco!!! Wale unaochoka nao, ni kwamba hujaamua unataka nini, kwa hiyo, Benaco kwa starehe, hata Kigali ukienda kwa starehe, watakuchosha
Umejibu vizuriWatanzania mna raha sana, na mna bahati nyingi mnazochezea.
Maisha si rahisi kama kwenu.
Uhalisia, ni kwamba Rwanda ni nchi ambayo inajitafuta, ukizingatia mauaji dhidi ya watutsi, mwaka 1994, yamefuta nchi na kuanza upya.
Mwaka 1994, Rwanda ilikuwa na wakazi si zaidi ya milioni 7.
Baada ya vita, wakimbizi wengi warirudi.
Ina maana hawakuwa na pa kushika, mbali na ardhi iliyopo. Kilichofanyika, ni serikali kuweka chini na kugawanya ardhi hiyo familia zote.
Nijambo lililofanikiwa kwa asilimia hata 95, 5 nyingine ikiwa wengine hawakufurahia kunyang'anywa ardhi yao.
asante kunijuza,bado wanarefusha antena au walishaacha haka ka utaratibuHahahahahaha we nae msenge sasa.
Kimila: hilo ni vazi la kile kituo. Wazazi wa zamani, walijua heshima ya mme ni ile. Hivyo,ilikuwa lazima kila mwanamke kumteka akili mme wake, hizo atena ziwepo. Zina raha yake asikwambie mtu mzee. Labda usiwe mwana habari wa kueleweka
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Siyo wengi kwa sasa. Antena utazikuta nje ya miji na kwa watu wazima. Chama cha #chapawatu wazima ndo wanaenjoyasante kunijuza,bado wanarefusha antena au walishaacha haka ka utaratibu