Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

Asante sana Kichuguu kwa uzi huu.

Gone are the days 😪

Umenikumbusha mbali sana.
 
Aaiiyeeeee Africa.......


Aaiiyeeeee Africa eeeh

Ooh liberte.....

Boukaka

Sijui aliimba lugha gani lkn hiki kibao lzm nikisikilize kabla sijalala..... Nakipenda sana nasikia alinyongwa daah

R.I.P Franklin Boukaka

Hii ngoma badae alikuja kuirudia Manuu Dibango. Na yeye akaitendea haki sio kidogo. Ikawa kama nyimbo yake vile.
 
Back
Top Bottom