Nimezaliwa early 90s so nyimbo nyingi hapo zilitoka sijazaliwa ila Cha ajabu nazipenda na kuzijua zote ulizopost,my favorite ni Girlie Girlie ya Sofia George, niliijuaje??
Napenda kusoma Makala za Gaston Nunduma wa Gazeti la Mwananchi,siku moja alikua anaeleza wakati wapo watoto wanavyokomaa kuimba hiyo nyimbo na mashairi hawajui,wanaimba " we mama ni geli geli ooh u geli geli" ikabidi nitafute hiyo nyimbo,.it's my Jam until now..kwa mujibu wa Sofia George,Mr Girlie ana mwanamke Hadi Tanzania haha