babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,382
- 21,053
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c
Black Moses (Rip)🙏,
Alikua Main artist siku hiyo na wengine
Kelly Johyn,Super Diga, Queen Farida,Flora lango la jiji.🙌
Mkoani huko,
si tulikua dancers watangulizi ila huko ndo tunakimbiza.
BM apewe maua yake aisee alicheza hii nyimbo kwa umahiri sanaa.
Sidhani km kuna dancer alikua vizuri km huyu.
Badae ndo wakaja hawa kina Blood Moses,
Digadiga na mwingine pia simkumbuki hao Moro blood.
Mama Jobiso na mwanae,Nyamwela na yule mwigizaji dancer simkumbuki vizuri alifariki
Kitambo sana,
Mr Nice anaanza kuimba katoka Zanzibar huko tulimpokea Migo.
Wengine wengi tu miaka imeenda.