Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,247
- 26,149
Wewe uliamini hayo maneno? Sijawahi kuamini maneno ya kijinga mieWakati Magufuli anasema mbele yenu CCM kuwa gas yetu imeuzwa, alimuonyesha nani transaction ya hayo mauzo kama udhibitisho?
Wewe uliamini hayo maneno? Sijawahi kuamini maneno ya kijinga mieWakati Magufuli anasema mbele yenu CCM kuwa gas yetu imeuzwa, alimuonyesha nani transaction ya hayo mauzo kama udhibitisho?
Kama una akili timamu nenda kwenye vijiwe vya boda boda, mama lishe na baba lishe, walimu, maafande n.k Sikiliza maongezi yao. Dont be shitStop that shits,watu walioko busy kwenye mitandao kuhusiana na masuala ya siasa hawafikii asilimia 5 ya watumiaji wa Simu za kuparaza,tu wachache mno!,wengi au 95%of users wako na mambo mengine kabisa!,kama insta,udaku,umbea and likes! Hapa pana 60%.
Ni kweli Mama Abdul anauza Tanganyika tena kwa bei poa.Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Leo umeweka mahaba pembeni.. Mnaanza kuuona ukweli sasa.. Jitahidini chukueni muda muwaelimishe na wengineSijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Ukurasa wa ngapi wa hukumu wamekiri?Unataka nikujue ili iweje? Majaji wmekili IGA ina mapungufu na inaweza kurekebishwa. Kwa nini wasitoe amri ilekebishwe?
Maafande wana vijiwe siku hizi? Vipo wapi?Kama una akili timamu nenda kwenye vijiwe vya boda boda, mama lishe na baba lishe, walimu, maafande n.k Sikiliza maongezi yao. Dont be shit
Unajitekenya huku unacheka mwenyewe Hakuna mwananchi anayetaki ujinga wa uvunjifu wa amaniSijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Nani kavunja amani na wapi?Unajitekenya huku unacheka mwenyewe Hakuna mwananchi anayetaki ujinga wa uvunjifu wa amani
1.Watu wana ndugu wagonjwa wako mahospital.
2.Wazee
3.Wanawake
4.Watoto
5.Wajawazito
Hawa wanaoleta vurugu wasiwache,wapelekewe moto,mpaka watie akili.Mwalimu Nyerere hakuwachekea wavunja amani.
Sina hakika kama nitakuwa naelekea kukuelewa au mimi ndiye bure kabisa.Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.
Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.
Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.
Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Mbona hukutaka huo ushahidi hapa?Wewe uliamini hayo maneno? Sijawahi kuamini maneno ya kijinga mie
SijakuelewaLeo umeweka mahaba pembeni.. Mnaanza kuuona ukweli sasa.. Jitahidini chukueni muda muwaelimishe na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende taratibu. Jibu swaliWe fala acha kudandia mada za warume
Nimeshawahi kuutaka na sikupewaMbona hukutaka huo ushahidi hapa?
Sukuma gang acha kupoteza mda,kiki imebuma wanaotakiwa kusema ni wafanyabiashara sio kenge wa aina nyingine yeyoteSijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Kumbuka kuwa wanaoitakia Tanzania mema wote tupo na mama Samia Suluhu.Sahivi hakuna mtu anamtaka tena zaidi ya wapambe wake wachache
Wewe ndio unaletewa ushoga kwa vingele vya kimataifa sasa utakubali ugeuzwe ili vingele vikamilikeKosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.