Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Vipi kuhusu scholarships za PhD Mkuu, upatikanaji wake? Sema shida ya US unasoma PhD miaka karibia mitano. Nikifikiria hapo ndio napata shida. Wakati Norway unapiga kwa miaka mitatu tu. Nchi nyingine za Ulaya ni 4 years.
PhD five years kama unakula stipend na unaweza kupiga part time jobs, si shavu hilo.

Maana miaka mitano tayari ni ajira ya five years.
 
"Uende us ukiwa umejipanga professionally" ni ushauri tunaopewa humu.MASWALI: 1.Je ni fani zipi zenye demand kubwa huko? 2.ikiwa mimi nina fani/diploma ya maendeleo ya jamii, sheria, au Hr nitaweza kuajirika? 3.Je siwezi kuwa mjasiriamali huko hata wa kuuza vinyago? 4.vpi nikiwa mpishi

Fani kubwa zinazo absorb watu wengi sana US ni fani za afya!
 
Unapata house girl unamlipa laki moja kwa mwezi. USA hakuna mtu anaweza kumlipa yaya labda uwe na hela za wakina Jay z. Utamlipa $5000 kwa mwezi au zaidi

Sasa watoto wanatunzwa na nani ukiwa haupo kama vile ukiwa kazini?
 
We jamaa inawezekana shule umeenda ila hujaelimika na huna exposure. Nenda hospital kubwa kama Muhimbili ulizia kuhusu manesi. Hiyo kozi haina jinsia. Tatizo ni upumbavu wa watanzania wengi kuwa na ujuaji mwingi huku kichwani wakiwa weupe kama ww ulivyo. Kiingereza kingi lakini upumbavu mtupu.

Ni sawa na watu wengi wakisikia mtu ni Personal Secretary ofisi fulani basi wanadhani lazima awe mwanamke!
 
Huo ndio mchango wangu ndugu Masdinero! Hebu na wewe toa ushauri kwa kijana ambaye kashindwa kabisa Tanzania, yaani mlango umefungwa! Kakosa ajira, hana mtaji, wala connection.Umeeleza baadhi ya nchi kama 30 ambazo ni bora kuishi na kuingia kuliko US, zitaje nchi hizo basi angalau ziwasaidie vijana waliokwama bongo wanaotaka kujaribu nje.
Nimeipenda hii,

Ila swali ni kwamba, kijana ambae unamzungumzia hapa atawezaje kuja huko kuanzia gharama ya visa, nauli na makorokoro kibao?
 
Mtu aliyefaulu vizuri first degree kupata scholarship ya masters ni kama kumsukuma mlevi tu.

Siri ya scholarship cha kwanza kabisa ni matokeo mazuri na cha pili uwe na uwezo wa lugha ya kingereza na ufanye mitihahani yao British council.

Huna hata haja ya kusaidiwa na yoyote ukiwa na vigezo hivyo apply vyuo 30 utakuja kunishukuru
Hivi hii mitihani unafanya wakati wa kuomba admission au wakati wa kuomba visa?
 
Kuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sex
Kuna vitu vya kusubiria kwanza.

Ukifika huko

Kuna jamaa yangu alienda kama mwanafunzi kazamia huko hadi Leo hajarudi miaka 11 Sasa.

Alikuwa kapuku tu hapa bongo akaotea jimama lenye Hela likamvusha ng'ambo

Kabadili na Jina kabisa

Kwa muonekano wake ulivyo unaweza Dhani kazaliwa mitaa ya San Francisco kumbe kazaliwa mitaa ya temeke[emoji1]
 
short unataka kwenda Marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, uwe competent, hivihivi sikushauri hata kidogo
Huko ndio pananifaa huku bongo michosho mno watu hawapo serious tupotupo tu bora liende..
 
Duu kuishi nje ya nje unatakiwa uwe na nidhamu kweli. Nimetembea nchi mbalimbali lakini sikuyapenda maisha ya kule. Bongo kama unalipwa vizuri maisha ni mazuri. Ila kama huna mchongo wowote maisha ni popote. Hii Euro 3000 ninayopata kwa mwezi hapa bongo naweza kusave sana. Hapo silipi kodi wala matibabu.
Unavyosema kulipwa vizuri bongo, ni kiasi gani atleast bongo ukilipwa usitamani kuondoka?
 
Unavyosema kulipwa vizuri bongo, ni kiasi gani atleast bongo ukilipwa usitamani kuondoka?
Kulipwa vizuri bongo ni mshahara ambao utakidhi mahitaji muhimu anasa na maendeleo. Na mshahara huo atleast usipungue 3M ikiwa kama Net salary. Utaishi comfortable life kabisa.
 
So ukiwa na salary kama hii au at least net ya 2.5M inabidi ujitafakari sana kwenda kutafuta life jingine US

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo maisha rahisi sana hata ukiwa na net ya 1.5m unaishi kwa raha.
Nyumba nzima ya 3 bedrooms Bongo unapanga kwa 300k kwa mwezi,wakati majuu master room moja kodi yake kwa mwezi ni zaidi ya 2m.
So majuu ukiyumba kidogo tu utalala nje,hakuna kulala ni mchakamchaka masaa 24.
Bongo hata ukiwa jobless hukosi mahali pa kula na kulala I mean hata kwa mjomba au shemeji utaenda kulala life linasonga na kitambi kinaota kabisa,Majuu hakuna ndugu wala mjomba wala jirani na hata kama kuna ndugu yako kule watu hawataki mazoea na mtu kila mtu yuko na stress zake.
So tafakari kabla ya kufanya maamuzi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom