Sifa kubwa ya watanzania ni ujuaji na dharau yaani unamdharau mtu ambaye humjui na hii inafanya kuwa ngumu kwa watanzania wengi kujifunza vitu vipyaHuo uandishi tu kwanza!! Unajua kabisa hii njemba ni ya hapo ulongoni hapo,akienda mbali sana kariakoo
Marekani kwa mind set hizi zetu za kibongo inabidi mtu ujipange sana, Kuna watanzania wanaishi kule maisha ya kuunga unga magumu hayatamanikiKuna watu wengine ni matomaso, lakini ni bora kuwaambia ukweli likiwapata wasiseme hawakuambiwa.......ukienda huko kindezi mfumo unakutumikisha kuwa mtumwa maisha yako yote na unaweza kuishia kuwa ombaomba...
Bila shaka ni mshirika wa hayo mambo.Achana nayo haya majinga mkuu,
Sifaa kuu chronic za mbongo ni:
Hila
Majungu
Ushirikina
Kwa mwezi unakunja $2,400 si haba hata kama utalipa chumba $400-$800Inategemea na kazi nyingine dollar 10, 8 kwa lisaa mfano dollar 8 kwa saa ukipiga Masaa 10 dollar 80 kwa siku.
we nenda tu, ya kikushinda utarudi, Marekani sio mbinguni.Sasa mbona unaua ndoto zangu za kwenda Marekani!!![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Umepiga na hesabu ya vyakula vinywaji bardi mavazi n.k?Kwa mwezi unakunja $2,400 si haba hata kama utalipa chumba $400-$800
Kuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sexKwa mwezi unakunja $2,400 si haba hata kama utalipa chumba $400-$800
tupe bei elekezi ya mbususu za road.Kuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sex
Mwishowe kwa mwenzi anabakiwa na $ 130. Hapo iwe Mara 12. Utajikuta miaka 7 una $ 900 nje ya maradhi.Kuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sex
Marekani nenda Kama experts utaenjoy Sana Kuna jamaa alisoma huku bachelor ya civil engineering kule akasoma masters yule anafurahia maishaMwishowe kwa mwenzi anabakiwa na $ 130. Hapo iwe Mara 12. Utajikuta miaka 7 una $ 900 nje ya maradhi.
Kinyanambo hapo 🤣........Huyo tuko nae hapa mafinga.
Kijana wa Nigeria kabla hajaenda anajua vitu kibao ndo maana nikasema kabla hujaenda inabidi ujipange professional-wiseSema bongo hatuna sana hizi mambo, kule Nigeria kila kijana ana ndoto za kwenda nje
Nimekupata mkuu. Hapo mwisho kwamba kuna muda nyoka anatakiwa ajifiche pangoniKuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sex
Kuna pisi za hatari classic rangi ya mtume huwezi zikwepa 💯Nimekupata mkuu. Hapo mwisho kwamba kuna muda nyoka anatakiwa ajifiche pangoni