6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,610
- 3,140
Sass mkuu kwa 5yrs si ndio unapata wassa mzuri wakupiga kazi.. maana student visa unaruhusiwa kufanya kazi japo kwa limit ya masaa kadhaa..!Vipi kuhusu scholarships za PhD Mkuu, upatikanaji wake? Sema shida ya US unasoma PhD miaka karibia mitano. Nikifikiria hapo ndio napata shida. Wakati Norway unapiga kwa miaka mitatu tu. Nchi nyingine za Ulaya ni 4 years.
Na baada ya kumaliza , unapewa ruhusa ya kufanya internship/Training kwa miaka kadhaa pia!
Scholarship za Canada ni nzuri zaido kama target yako nikupata Permanent residence kwa haraka ,
Ukisoma miaka 2, unapewa work permit ya 2yrs
Ukisoma 3yrs unapewa work permit ya 3yrs..
Na baada ya kuhitimu chuo kupata kazi ni rahisi, na ukishapata kazi permanent, ni rahisi ku apply PR