Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Hivi ni serikali pekee ama ni private sector ambapo serikali inakuwa na shares? Yaani wenzetu muda wa kuondosha gari ukifika lazima iondoke kwa wakati, hata kama kuna watu watano. Kampuni ikipata hasara Serikali inafanya kitu kinatwa 'subsidies' ama kwa lugha rahisi ku-top up! Kwahiyo mambo yanakwenda mrua bila utata.
Ww itakuwa ulishafika USA. Yess.. ndio hivyo wanaenda kwa muda. Kwa mimi miji yote ninayojua ni serikali za jiji ndio zinafanya hio. Na huwa lengo sio faida.. ni kusaidia. Kwa hio taxes nyingi zinatumika ku-operate hayo mabasi. Ndio maana linaweza safiri siku nzima linazungusha mtu mmoja tu. Na bado kampuni haifi.
 
Jitahidii uwape wabongo wachache wenye kujielewa konection ya kuja U S, ili na wao wavute wengine. Nigeria na kenya wameweza sana
 
Ila we jamaa nimejifunza kitu kikubwa sana hapo kwenye kuoa. Watu wengi wamekwama baada ya kuoa. Mimi msimamo wangu upo kama wako ni kutengeneza pesa za kutosha.
Ndio hivyo mkuu wangu. Ndoa hata kwa USA inafanya mtu ndoto za kuwekeza Tanzania zinakufa kabisa. Kama watu wengi walivyoongea tokea mwanzo, life huku ni expensive sana hata kwa mtu mmoja. Sasa imagine kama una familia? Na hauwezi bana sehemu flani flani kama mimi ninavyofanya. Watoto lazima uwape haki zao zote za kwenda vacations, ku-enjoy sana, nk.
 
vipi ukiamua kujiunga na wacheza X hakulipi?
Malengo tu mkuu wangu. Na penye nia pana njia. Japo ili kupata visa kiurahisi.. pata passport hata mwaka mmoja kabla ya kwenda embassy. Itumie kwenda hata kenya hivi.. Huwa wanasema sometimes kama we hata kenya haujafika, kwa nini tukupe visa ya kwenda usa?. Wanaringa sana na visa ya nchi yao wakati watu tukifika huku ni kupigika kweli kweli kwanza kama nyani aliyepigwa marungu kichwani. Ila ndio hivyo.. mambo yakitulia. Yanatulia kwelikweli.
 
Siku hizi baadhi ya wa marekani wachache hasa weusi hupiga dili la kufunga ndoa kwa mtu anaetaka kuzamia US unawapa mshiko wa kutosha kifuatacho dili done,
Mkuu haya mambo si walishafanya wa Ghana na nigeria.. ! Kwa sasa hao ma C.O watoa visa watakuwa na uzoefu mkubwa kuwanasa waongo?

Kuna scenario..
kwenye interview embassy... mke na mme wa mchongo walitenganishwa na kuhojiwa maswali kwa muda tofauti...!

jamaa aliulizwa chakula anachokipenda akijibu,

Mke akaulizwa pia , ni chakula gani mme wake anakipenda zidi? Akajibu aina tofauti kabisa na aliyoitaja mme wake ..

Visa Denied!!!
 
Uko sahihi. Mimi na hivyo vidola vyangu ambavyo bongo natesea kweli kweli.. huku USA I am a NOBODY 😂😂😂. Somebodies huku ni wa kina trump, kanye west, jay z nk. Ndio maana nikaamua ku-invest in Tz. Sababu kwa USA hela yangu ni sifuri investment-wise. Ila Tz ni sawa

Ww itakuwa ulishafika USA. Yess.. ndio hivyo wanaenda kwa muda. Kwa mimi miji yote ninayojua ni serikali za jiji ndio zinafanya hio. Na huwa lengo sio faida.. ni kusaidia. Kwa hio taxes nyingi zinatumika ku-operate hayo mabasi. Ndio maana linaweza safiri siku nzima linazungusha mtu mmoja tu. Na bado kampuni haifi.
Ha ha haa. Mkuu hapo kwenye kuzunguka na mtu mmoja umenifanya nicheke kwa sauti. Yaanni kweli utaona maana ya developed country. Sometimes hata kama hakuna mtu ila gari lazima iondoke muda ukifika. Yaani faida kwenye huduma kwa umma siyo sera ya serikali. Ha ha haa. Mkuu mie sijafika USA. Natamani siku moja nifike lakini.
 
vipi ukiamua kujiunga na wacheza X hakulipi?
Of course. Unalipwa kama ww una mandingo kubwa. Ila sasa waAfrika na aibu zetu? Also haina maana sana sababu ni kama investment yeyote ile. Utavua nguo.. halafu isifanikiwe. Matokeo yake una aibu ya milele na ikakataa. Wanalipwa kutegemeana na mauzo. Manake unafanya video kwanza.. unauza then ndio unalipwa. Kama mauzo yakikataa hapo chacha 😂😂😂
 
Siku hizi baadhi ya wa marekani wachache hasa weusi hupiga dili la kufunga ndoa kwa mtu anaetaka kuzamia US unawapa mshiko wa kutosha kifuatacho dili done,
Pia kisheria hairuhusiwi mpenzi. Ukigundulika umefanya hivyo.. unapoteza kila kitu na kwenu unarudishwa. Hairuhusiwi kuingia kwa ndoa kwa namna hio. Inatakiwa iwe ndoa ya kweli
 
Ha ha haa. Mkuu hapo kwenye kuzunguka na mtu mmoja umenifanya nicheke kwa sauti. Yaanni kweli utaona maana ya developed country. Sometimes hata kama hakuna mtu ila gari lazima iondoke muda ukifika. Yaani faida kwenye huduma kwa umma siyo sera ya serikali. Ha ha haa. Mkuu mie sijafika USA. Natamani siku moja nifike lakini.
Mungu akutangulie ndoto yako itimie mkuu wangu.
 
Mkuu kuna uwezekano kabisa , ulisoma fani nyingine lakin pia ukaamuwa kusomea na hii sabau ya mkwanja wake??

Naoana hizi career za science na Tech wageni wanapambana nazo sana na wanatoboa.. kutoka kubeba box
Uko sahihi.. hii mkwanja upo poa. Pia unaweza fanya kwa contract za miezi hata wiki. Manake unafanya miezi mitatu kwa hospital fulani.. halafu unaenda bongo kwa miezi mingine mitatu kufanya mambo yako huko. Then unarudi USA kupiga dollars.. then Tanzania. Iko very flexible.

Nina MBA na PhD lakini kweli kinachoniingizia ni kazi ya bachelor degree tu. Tena sometimes hata diploma ya 2 years unaweza kuwa travel RN. MBA na PhD nitazitumia soon. Kwa sasa nimeziweka kwa briefcase kwanza.[/B]
 
Hongera mkuu,
Uzuri nafasi za kazi kwa Fani hizo za Science zipo tu hakuna uhaba kama hapa t.z,
 
Back
Top Bottom