cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 2,169
- 2,540
Greencard ni kibali hali cha kuwa Marekani, yaani unaweza kutafuta kazi,kusoma nl.Na kama unapata Green Card hali inakuwaje..??
Greencard ni kibali hali cha kuwa Marekani, yaani unaweza kutafuta kazi,kusoma nl.Na kama unapata Green Card hali inakuwaje..??
Hiyo ni hatua muhimu.Hongera zako.Ahsante Mkuu,nilifungua link niko najaza
Hapo ndo mtihani sheikhKwa kijana ambaye milango imefungwa, anawezaje kugharamia process na nauli ya kuja huko na ya kuanzia maisha ilhali hela ya bundle mlolongo?
Toa muongozo mkuu.
Uko state gani saiv komredi?! 😃Ahsante Mkuu,nilifungua link niko najaza
Lugha haifanyi kazi ila skills zako ndo utazitumia kwenye kazi husikaNaombeni majibu yenu wadau, hivi kwenda kuishi na kufanya kazi marekani inabidi uwe umesoma mpaka degree ndo upate kazi au hata ukifahamu lugha ya kigeni (kiingereza) ndio inatosha kupata connection ya kazi sehemu mbali mbali majibu yenu please..
Okay guys nimekuelewa sana binafsi nilianza kusomea computer course muda mrefu mpaka sasa nimefikia level ya degree hivyo kwa sehemu niliofikia naona nitafute kazi hata nje ya Tz (marekani) ninachojiuliza hivi mtu wa kuja utafanya kazi kweli huko ukiachana na vyeti vyangu vya kazi...Lugha haifanyi kazi ila skills zako ndo utazitumia kwenye kazi husika
Hamna kinachoshindikana chini ya juaOkay guys nimekuelewa sana binafsi nilianza kusomea computer course muda mrefu mpaka sasa nimefikia level ya degree hivyo kwa sehemu niliofikia naona nitafute kazi hata nje ya Tz (marekani) ninachojiuliza hivi mtu wa kuja utafanya kazi kweli huko ukiachana na vyeti vyangu vya kazi...
Hii bado ngogo kwa maisha ya USInategemea na kazi nyingine dollar 10, 8 kwa lisaa mfano dollar 8 kwa saa ukipiga Masaa 10 dollar 80 kwa siku.
Nina jamaa zangu 2 wako huko, wazazi wao wamekufa lakini hawakuweza kuja kuwazikaMarekani kwa mind set hizi zetu za kibongo inabidi mtu ujipange sana, Kuna watanzania wanaishi kule maisha ya kuunga unga magumu hayatamaniki
Duu kuishi nje ya nje unatakiwa uwe na nidhamu kweli. Nimetembea nchi mbalimbali lakini sikuyapenda maisha ya kule. Bongo kama unalipwa vizuri maisha ni mazuri. Ila kama huna mchongo wowote maisha ni popote. Hii Euro 3000 ninayopata kwa mwezi hapa bongo naweza kusave sana. Hapo silipi kodi wala matibabu.Nimekaa US mwaka wa 12 nikiwa na green card, sijawahi kujutia kuja. Nilijaribu kurudi nyumbani nikapata frustration za kutosha na kuona bora nirudi. Marekani ili uishi unatakiwa kufanya kazi, uwe na Green card au citizenship. Unatakiwa uwe na profession ikiwa umekuja nayo au umeipata huku yote sawa. Uchumi wa hapa ni capitalistic so hamna shortcut, ukifanya ujanja ujanja utaadhirika tu. Ukiwa professional hutajuta, hamna nyumba ya $400 lbd huko kusiko na usalama lkn nilipo mie nalipa $2000 kwa 2 bedroom lkn natengeneza sio chini ya $8000 kwa mwezi naweza kuishi dream life na pia nawekeza nyumbani bila kujali kuna challenge nyingi sana. Marekani ni ngumu lakini Tanzania is far from ugumu. Ndo mawazo yangu
Kumbe ndio maana wadau walioko kule ukiwaambia wafanya mambo watume hata dola 100, wanachomoa. Acha nitulie bongo hapa kongoro sh 2,000.Marekani kwa mind set hizi zetu za kibongo inabidi mtu ujipange sana, Kuna watanzania wanaishi kule maisha ya kuunga unga magumu hayatamaniki
RN Ni registered nurse?Uko sahihi.. hii mkwanja upo poa. Pia unaweza fanya kwa contract za miezi hata wiki. Manake unafanya miezi mitatu kwa hospital fulani.. halafu unaenda bongo kwa miezi mingine mitatu kufanya mambo yako huko. Then unarudi USA kupiga dollars.. then Tanzania. Iko very flexible.
Nina MBA na PhD lakini kweli kinachoniingizia ni kazi ya bachelor degree tu. Tena sometimes hata diploma ya 2 years unaweza kuwa travel RN. MBA na PhD nitazitumia soon. Kwa sasa nimeziweka kwa briefcase kwanza.[/B]
Ndio, nurse mwenye licence yakeRN Ni registered nurse?
Hesabu za maisha kule ngumu sanaNina jamaa zangu 2 wako huko, wazazi wao wamekufa lakini hawakuweza kuja kuwazika
Fanya namna ukasome masters kule itakusaidia sana tatizo elimu ya Tanzania hawaitambuiOkay guys nimekuelewa sana binafsi nilianza kusomea computer course muda mrefu mpaka sasa nimefikia level ya degree hivyo kwa sehemu niliofikia naona nitafute kazi hata nje ya Tz (marekani) ninachojiuliza hivi mtu wa kuja utafanya kazi kweli huko ukiachana na vyeti vyangu vya kazi...
Ni kweli kabisa kaka mambo ya bongo ukipeleka nje na ya nje ukileta hapa Tz ni vitu viwili tofauti, ila kama hautojali nifafanulie hiki kipengele cha kusomea masters nikuelewe vizuri..Fanya namna ukasome masters kule itakusaidia sana tatizo elimu ya Tanzania hawaitambui