Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Profession ya RN appears to be an easy way out kwa Wanaume wengi wa Kiafrika USA, na wanafanya hiyo kazi out of pure convenience and not out of love for the profession of nursing.
Sasa kuwa machinga Bongo na kuwa nurse Marekani ni kipi bora? Lengo langu lilikuwa ni kukuambia kuwa zile mindset set za wanaume kufa na tai shingoni kisa tu kuogopa ''kupunguza uanaume'' wao zimepitwa na wakati. Hasa watanzania ndiyo tuna mindset hii.Acha hizo. Fikiria motivation za Wanaume wa kiafrika kuukumbatia unesi Marekani. Ni kwa vile wanabaguliwa kwenye kazi nyingine ambazo Wanaume wa Kimarekani wametawala. Wanaenda kushindana na Wanawake.
Poor mindsr
Hela za ku act tabia za kike za mama shangazi na dada zako?
Wabongo acheni ujuaji mkipewa connection mnazitilia shaka Kama unavyofanya. Mtu akiamua kukaa kimya mnasema ana roho mbaya.
Binafsi jamaa namfaham amewekeza kwenye secta ya utalii moja ya mikoa ya Kanda ya kaskazini. Sitaki kuongea mengine yanayomuhusu ila nimeamua kukuonesha tu ubadirishe mindset sio kila anaeonesha Nia ya kuwasaidia wengine unamtilia mashaka Kama unavyofanya.
Wabongo acheni ujuaji.
Siyo u-nurse tu bali kazi nyingi wanazofanya waafrika nchi zilizoendelea wanazifanya kwa sababu hawana alternatives! Kuna hii wakenya wanaita ''kazi ya kirungu'' i.e. ulinzi au ''kazi ya kifagio''. Zipo nyingi. Sasa mtu kuliko kukaa Bongo bila ramani si ni bora afanye hizo kazi?Profession ya RN appears to be an easy way out kwa Wanaume wengi wa Kiafrika USA, na wanafanya hiyo kazi out of pure convenience and not out of love for the profession of nursing.
Duh. I have one mind though.Poor minds
Sasa wasije kujisifia humu jukwaani kama vile wanaishi the American Dream utadhani maisha ni mteremko tu huko walipo.Siyo u-nurse tu bali kazi nyingi wanazofanya waafrika nchi zilizoendelea wanazifanya kwa sababu hawana alternatives! Kuna hii wakenya wanaita ''kazi ya kirungu'' i.e. ulinzi au ''kazi ya kifagio''. Zipo nyingi. Sasa mtu kuliko kukaa Bongo bila ramani si ni bora afanye hizo kazi?
Ni vizuri wajisifie kwa sababu wakiishi kinyonge ndiyo wanazidi kupata stress. Mtu unapokubaliana na hali yako na ukaweza kujenga furaha kwa kutumia ile hali ni bora mara kumi.Sasa wasije kujisifia humu julwaani kama vile wanaishi the American Dream.
Aisee. Unajisifiaje wakati una struggle kila siku? Au ndiyo kujipa moyo tu kwa style ya «another day, another dollar» just in order to make ends meet?Ni vizuri wajisifie kwa sababu wakiishi kinyonge ndiyo wanazidi kupata stress. Mtu unapokubaliana na hali yako na ukaweza kujenga furaha kwa kutumia ile hali ni bora mara kumi.
Sawa bakhresa wa nanjilinjiDuh. I have one mind though.
Masters na PhD Mkuu. Sanasana PhD. Ukipata ni fursa nzuri sana ya kutengeneza njia.Hi ni kwa level ya masters au bachelor?
Nina Mpango wa kwenda Arizona, vipi hali ya Maisha pande hizo?Miaka flani Niko bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nkaongea nae kuhusu mi kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nkatua Jackson heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha.
Harakati zinazofuata ni mim kutafuta kazi, Marekani kazi zipo Ila sasa kule ukisikia kazin kazini kweli full supervision unafanya kazi masaa 10 mpaka 12 hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyenyewe unalipwa kwa masaa, kwa hiyo lazima ukomaee Ila kazi tu zipo, baada ya mda kudunduliza ela nahama kwenye basement nikahamia kwenye chumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa sandy springs.
Tatizo la Marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa Kawaida, kila kitu ni ela yaan ukisikia capitalism kule ndo inakua practice [emoji817] swala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokua makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Ukikaa Marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money.
Kwa sasa hivi nilisharudi tz sababu za kifamili, na maisha ya marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au unakipaji kitu ambacho kwa watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao, kwenda marekani hivi hivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata ela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, na uwe competent hivi hivi sikushauri hata kidogo.
California, new York, Illinois, Massachusetts, na Washington state hayo ni majimbo ya kuyaepuka Kodi na gharama za maisha ziko juu. Ila Texas, Florida, Georgia, na north Carolina haya majimbo maisha yako cheap.
Vitu nilivuomiss marekani ni exposure Ila mwaka huu ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi, kunakikampuni ntaenda kukifungua deleware kama domestic company, alafu baadae Virginia na Texas kama foreign company.
Ndugu zangu kadhaa wameenda huko nawaona sio kwamba wana maajabu kimaisha wala nini pia ukisikia mtu anazingumzia juu ya ajirs za $8-12 kwa lisaa huyo anafanya unskilled labour maramia canada kidogo walau afadhali ila sio USA binafsi mimi nimezoea maswala ya michakato ya pembeni siwezi ondoka bongo asilani...Nakubaliana na wewe. Kinachofanya wabongo wengi walalamikie maisha ya majuu ni yale mazoea ya kuishi kwa ujanja ujanja. Ngoja nikupe mfano. Le Mutuz aliishi USA karibia miaka 30 lakini alishindwa kufanya kitu chochote cha maana, lakini baada ya kurudi Bongo eti na yeye ni ma-super stars wenye maisha mazuri. Ukiambiwa uelezee anafanya kazi gani Bongo unaijua? Jibu ni kuishi kwa ujanja ujanja. Majuu ni kuwa hakuna short-cut na kila mtu anakula kuendana na jasho lake. Siyo Bongo unaweza kuingia kuishi kwa ujanja ujanja kama kina Steve Nyerere.
Hahahaha mbele hamnaga mama ntilie. Huna ujanja lazima uzame ile migahawa ya watu wa kipato cha kati!Inamana unataka kunambia marekani wauza vitumbua hawapo au wauza bagia zile za mia 100 au wauza mihogo au kule kandoro hazipo???[emoji56][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957] kama marekani hakuna chapati 2 na maharage basi n dhahiri shairi hakufai huko.
Kwa Ulaya ukisikia mtu anakutajia McDonalds ujue ndio restaurant cheap. Huko utapata burgers za bei poa na mazaga zanga mengine ya bei chee kama ilivyo bongo kwa mama ntilie.Hahahaha mbele hamnaga mama ntilie. Huna ujanja lazima uzame ile migahawa ya watu wa kipato cha kati!
Unaandika kwa uchungu sana Mkuu, tatizo ni nini?Aisee. Unajisifiaje wakati una struggle kila siku? Au ndiyo kujipa moyo tu kwa style ya «another day, another dollar» just in order to make ends meet?
toa neno masta😂 Room zote huko ni masta,hawalazi nya njeKwa mfano kule room master bei gani kaa mwezi?