Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

"Uende us ukiwa umejipanga professionally" ni ushauri tunaopewa humu.MASWALI: 1.Je ni fani zipi zenye demand kubwa huko? 2.ikiwa mimi nina fani/diploma ya maendeleo ya jamii, sheria, au Hr nitaweza kuajirika? 3.Je siwezi kuwa mjasiriamali huko hata wa kuuza vinyago? 4.vpi nikiwa mpishi
Nursing na computer science ziko vizuri sana kwa immigrants. Computer science ni kama software au web engineering unafanya websites, apps za simu, unaandika na kumaintain software applications etc.
 
"Uende us ukiwa umejipanga professionally" ni ushauri tunaopewa humu.MASWALI: 1.Je ni fani zipi zenye demand kubwa huko? 2.ikiwa mimi nina fani/diploma ya maendeleo ya jamii, sheria, au Hr nitaweza kuajirika? 3.Je siwezi kuwa mjasiriamali huko hata wa kuuza vinyago? 4.vpi nikiwa mpishi
2. Jamii.. sheria, engineering, computer au human resources inabidi uanze upya. Ila kama ww ni medical doctor au nurse tanzania.. kuna njia ambazo unachallenge exams huku then unakuwa nurse. Doctor bado inabidi uweme miaka mingine kama 6 hivi lakini.
 
"Uende us ukiwa umejipanga professionally" ni ushauri tunaopewa humu.MASWALI: 1.Je ni fani zipi zenye demand kubwa huko? 2.ikiwa mimi nina fani/diploma ya maendeleo ya jamii, sheria, au Hr nitaweza kuajirika? 3.Je siwezi kuwa mjasiriamali huko hata wa kuuza vinyago? 4.vpi nikiwa mpishi
3. HAKUNA UONGO MKUBWA WATU WANAAMBIWA TZ KAMA ETI UTAUZA VINYAGO HUKU. Hakuna kitu kama hicho. Hakuna kuuza vitu barabarani au nyumba kwa nyumba. Utaenda kupiga hodi kwa mtu.. UTAFYATULIWA RISASI.
 
"Uende us ukiwa umejipanga professionally" ni ushauri tunaopewa humu.MASWALI: 1.Je ni fani zipi zenye demand kubwa huko? 2.ikiwa mimi nina fani/diploma ya maendeleo ya jamii, sheria, au Hr nitaweza kuajirika? 3.Je siwezi kuwa mjasiriamali huko hata wa kuuza vinyago? 4.vpi nikiwa mpishi
Mpishi.. unaweza.. lakini USA Hawali ugali.. na hata vyakula vyao ni tofauti sana na Africa.. kwa hip itabidi usomee upya. Na pia hawalipi vizuri sana.
 
Mkuu hili tangazo limekaa kimkakati sana,
Na akili zako za kimaskini.. UTAKUFA MASKINI NDUGU YANGU. Kama ww unaona hio ni hela nyingi.. ujue sasa kwa USA ni cha mtoto. Na kuna wanaotengeneza madolla mara nyingi sana zaidi ya hio. Lakini pia.. kuna watu wanaoteseka wanaishi kwa mabarabara na hata nyumba za kukaa hawana sababu wameingia kwa madawa ya kulevya nk. Ila USA kuwa maskini kabisa.. ni kujitakia tu
 
Mkuu hiyo kitu(RN), ndio proffession yangu. Fursa zikoje huku mbele.. hasa kwa wageni wa kiafrica?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ku-challenge exam.. na usisome. Wabongo kinachowaangusha ni English proficiency. Inatakiwa uwe unajua Ngeli kweli kweli. Bila hivyo hata huo mtihani wa kupata RN license ya USA utafeli tu.
 
Miaka flani Niko bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko u.s nkaongea nae kuhusu mikwenda marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nkatua Jackson heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha.

Harakati zinazofuata ni mim kutafuta kazi, marekani kazi zipo Ila sasa kule ukisikia kazin kazini kweli full supervision unafanya kazi masaa 10 mpaka 12 hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyenyewe unalipwa kwa masaa, kwa hiyo lazima ukomaee Ila kazi tu zipo, baada ya mda kudunduliza ela nahama kwenye basement nikahamia kwenye chumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa sandy springs.

Tatizo la marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa Kawaida, kila kitu ni ela yaan ukisikia capitalism kule ndo inakua practice [emoji817] swala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokua makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

Ukikaa marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money.

Kwa sasa hivi nilisharudi tz sababu za kifamili, na maisha ya marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au unakipaji kitu ambacho kwa watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao, kwenda marekani hivi hivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata ela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, na uwe competent hivi hivi sikushauri hata kidogo.

California, new York, Illinois, Massachusetts, na Washington state hayo ni majimbo ya kuyaepuka Kodi na gharama za maisha ziko juu. Ila Texas, Florida, Georgia, na north Carolina haya majimbo maisha yako cheap.

Vitu nilivuomiss marekani ni exposure Ila mwaka huu ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi, kunakikampuni ntaenda kukifungua deleware kama domestic company, alafu baadae Virginia na Texas kama foreign company.
Maisha ya Kilombero , morogoro ni ya gharama kuzidi hata ya New York
 
Andika Leo Mkuu, Hapa ndio Niko kwenye mnara wa Mawasiliano so napata internet, nikitoka Tu Hapa Imekula Kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko na kazi nyingi sana ndugu yangu. Yani hata hapa nimejitolea muda sana ili kutoa information mbalimbali. Binafsi napenda watu wafanikiwe. Na NINACHOANDIKA HAPA NI UKWELI NA UHALISIA 100%. Na sifichi information sababu napenda wote tufanikiwe tuendelee kukuza dunia na nchi yetu ya Tz.
 
Utaandika Lini Mkuu Ile Nije nirudi Tena Hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom