Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Jumapili pale Coco Beach kuna jamaa nilimuona yupo na mzungu mpenzi wake.jamaa wa kawaida sanaa mpaka nikawa nashangaa na huyo demu wa kizungu ni mzurii
Kila mtu na bahati yake Man,
Kuna dereva mmoja jirani yangu ana mke lakini kapata demu wa kizungu (mke hajui) kamfanyia kila kitu ikiwa ni pamoja kumjengea nyumba nzuri na gari, dola kibao anapewa lakini hiyo binti wa kizungu hajui kama jamaa ana mke
 
Inategemea na kazi nyingine dollar 10, 8 kwa lisaa mfano dollar 8 kwa saa ukipiga Masaa 10 dollar 80 kwa siku.
Hii pesa mingi Sana Mzee , cha msingi upate pa kijishikiza miez mitatu tuu af Rudi bongo
 
USA ukiwez bana matumiz utamake sana..
IMG_20211208_183817.jpg
 
Ni 23 million mkuu wangu. Million 23. Binafsi nafanya kazi za travel RN wanalipa vizuri sana.. Ndugu niliwafyekelea mbali. Tena walinifanyia unyama sana wakati sina $$. Kwa hio sasa ivi nasaidia wagonjwa na misiba.. tena kwa limits.. manake wema usizidi uwezo.

Mkuu hiyo kitu(RN), ndio proffession yangu. Fursa zikoje huku mbele.. hasa kwa wageni wa kiafrica?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo n short time au siku nzima
Huko majuu nafuu yako ni kuoa tu, vinginevyo utaingia gharama sana kununua.........maana unapimiwa kuanzia dk 15, dk 30 na saa moja si chini ya dola 30, ni sawa na mtu anayenunua mafuta ya kibaba........na bado ukijichanganya kuoa huna guarantee ya kupata mbususu kadri ya mahitaji yako, unaweza kutolewa nje hata mwaka mzima na usifanye chochote wala kuhoji, sheria zinawalinda sana wanawake na watoto............wanaume tutafika mbinguni tuko hoi.
 
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom