Hela yetu ina thamani ukiwa mtalii 😅 toka majuu ila kibongo bongo bila kuwa fisadi kuinjoy ni ngumuAsante kunirekebisha mkuu wangu. Nilipiga hesabu haraka haraka nikakosea. Ila hela yetu jamani masufuri mengi kuliko idadi za malaika wa shetani 😂😂
Unataftaje student visa bila kujisajili chuosasa srudent viza naipataje na inakuaje kama staki kusoma sasa?
Huko ndiko kwenye faida ya Elimu sasa😅 sio bongo unasoma Degree na Masters halafu unatembeza majagi ya Jambo Plastics 😂!Uko sahihi.. hii mkwanja upo poa. Pia unaweza fanya kwa contract za miezi hata wiki. Manake unafanya miezi mitatu kwa hospital fulani.. halafu unaenda bongo kwa miezi mingine mitatu kufanya mambo yako huko. Then unarudi USA kupiga dollars.. then Tanzania. Iko very flexible.
Nina MBA na PhD lakini kweli kinachoniingizia ni kazi ya bachelor degree tu. Tena sometimes hata diploma ya 2 years unaweza kuwa travel RN. MBA na PhD nitazitumia soon. Kwa sasa nimeziweka kwa briefcase kwanza.[/B]
Na hiyo ela kwa siku 4 unaipata.Mbona ndogo,hiyo si ni sawa na dollar 400 hivi tu kwa mwezi?
What if ukienda London au Tokyo utaweza kweli?
Bongo life liko poa sana. Huko naija usiombee. Ukisikia maeneo shitholes, utayakuta kuleSema bongo hatuna sana hizi mambo, kule Nigeria kila kijana ana ndoto za kwenda nje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona umejikatia tamaa ya maisha au kwenda abroad,
So,ukisikia mtu yupo nje au alikua nje unaona ni kitu kisichowezekana au ni uongo kisa tu kwa vile wewe huwezi ndio unadhani wote hawawezi,
Si ajabu kama mleta mada angeleta thd ya kulalamika ugumu wa maisha basi wewe ungempa pole nyingi tu na kumwambia apambane atatoka tu,
Wacha nikomae na box hapa kwa Malkia nawe endelea tu kubeza watu ila kumbuka muda haumsubiri mtu.
Wabongo acheni ujuaji mkipewa connection mnazitilia shaka Kama unavyofanya. Mtu akiamua kukaa kimya mnasema ana roho mbaya.Mkuu hili tangazo limekaa kimkakati sana,
HahhahaahHuko ndiko kwenye faida ya Elimu sasa[emoji28] sio bongo unasoma Degree na Masters halafu unatembeza majagi ya Jambo Plastics [emoji23]!
Hao nafikiri ni kama wale Travel Nurses Mkuu au Travel DoctorsTravel RN, kwa lugha ya mtu wa kawaida kabisa, unafanya shughuli gani hasa?
Bongo huku watoto gharama hakuna kabisa yaani daah kweli Dunia DuaraAnayekupenda kwa dhati.. mtazaa watoto mapema. then gharama za kulea ni kubwa sana. Investments tanzania zinashindwa. Hio ndio nimeona kwa immigrants wengi.
Dah hatari sasa kumbe rafiki yangu alinidanganya anaenda fungua biashara ya urembo chicago hahahaUko sahihi. Mimi na hivyo vidola vyangu ambavyo bongo natesea kweli kweli.. huku USA I am a NOBODY [emoji23][emoji23][emoji23]. Somebodies huku ni wa kina trump, kanye west, jay z nk. Ndio maana nikaamua ku-invest in Tz. Sababu kwa USA hela yangu ni sifuri investment-wise. Ila Tz ni sawa kabisa.
Of course. Unalipwa kama ww una mandingo kubwa. Ila sasa waAfrika na aibu zetu? Also haina maana sana sababu ni kama investment yeyote ile. Utavua nguo.. halafu isifanikiwe. Matokeo yake una aibu ya milele na ikakataa. Wanalipwa kutegemeana na mauzo. Manake unafanya video kwanza.. unauza then ndio unalipwa. Kama mauzo yakikataa hapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unataka kwenda na unajua huna connection ila una muonekano mzuri basi pitia Zanzibar, na Arusha unaweza pata demu la kitasha. Wengi tu wanatafuta wanaume hata kama ni kibibi ukifika kule unatemana nae.
Nenda tu ila ndiyo ujipange kitalaam kama alivyosema mleta mada.Sasa mbona unaua ndoto zangu za kwenda Marekani!!![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Kwani kutakuwa na single kule mkuu hivi vya choo nje kushare wapangaji 12?Kwa mfano kule room master bei gani kaa mwezi?
Sasa unabaki na kitu kweli? Maana naskia nyama ya ng’ombe huko ni ghali sanaKuna gharama nyingine ujaweka usafiri, chakula, ujalipia umeme, phone bills, internet ili usiboreke, maji hapo ume exclude swala la kunyoa, plus sex
Kama hauna elimu ya maana na umeenda Marekani lazima utasota na utakuwa unafanya hizi kazi za kawaida ila maisha yataenda tu. Kuna watanzania wamesoma Marekani wana mshiko hakuna hata mfanyakazi wa Ubalozi anaishi kama wao. Yaani hata Balozi mwenyewe anazidiwa kipato na wabongo waliosoma. Kama hauna elimu ya maana bakia tu hapa hapa Tanzania ulime au uendeshe boda boda.Miaka flani Niko bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko u.s nkaongea nae kuhusu mikwenda marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nkatua Jackson heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha.
Harakati zinazofuata ni mim kutafuta kazi, marekani kazi zipo Ila sasa kule ukisikia kazin kazini kweli full supervision unafanya kazi masaa 10 mpaka 12 hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyenyewe unalipwa kwa masaa, kwa hiyo lazima ukomaee Ila kazi tu zipo, baada ya mda kudunduliza ela nahama kwenye basement nikahamia kwenye chumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa sandy springs.
Tatizo la marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa Kawaida, kila kitu ni ela yaan ukisikia capitalism kule ndo inakua practice 💯 swala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokua makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Ukikaa marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money.
Kwa sasa hivi nilisharudi tz sababu za kifamili, na maisha ya marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au unakipaji kitu ambacho kwa watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao, kwenda marekani hivi hivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata ela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, na uwe competent hivi hivi sikushauri hata kidogo.
California, new York, Illinois, Massachusetts, na Washington state hayo ni majimbo ya kuyaepuka Kodi na gharama za maisha ziko juu. Ila Texas, Florida, Georgia, na north Carolina haya majimbo maisha yako cheap.
Vitu nilivuomiss marekani ni exposure Ila mwaka huu ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi, kunakikampuni ntaenda kukifungua deleware kama domestic company, alafu baadae Virginia na Texas kama foreign company.
[emoji17][emoji17]kwa hiyo Bsc yangu huko mambele ni takatakaHata kama umetoka na degree mbili hapa, kule unaenda anza upya kabisa, sababu elimu ya bongo haitambuliki kimataifa,
Ukitoka hapa Unaweza kuajirika kwenye makampuni ya ulinzi, hotelini nk.
Asante Kwa ushauri huu,Nina rafiki yangu amenilika Kule kutembea ila nataka nikipata hiyo visitor visa nizamie kumbe it's a bad ideaUsije USA na visitor visa.. Visitor visa mbaya sana. Utateseka hadi utajuta kwa nini uliondoka Tz.
Njoo na student visa.. itakusaidia utapata kazi. Utaomba tu TIN (SSN) na ID Card ya state. Then unapiga kazi wakati unafanya process za green card kupitia mke mmarekani au kampuni iliokupa kazi.
Mke au mme lakini uwe makini sababu akinusa foul.. haupati milele...
Ukiingia kwa ndoa.. unatakiwa ukae miaka miwili ndio unapewa green card isiyo na limitations. Mara nyingi kabla ya 2 years. Mmarekani anaona hapana.. anakuvurugia na haupati green card kabisa. Ndio hilo tu la kuwa makini.