Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,260
- Thread starter
- #401
Sio kweli kwenye maendeleo marekani iko mbali sana hasa kwenye technologies ndo wanaongoza, alafu usalama ni mdogo kama utaishi yale maeneo ambayo ni ghetto mfano bankhead, au east point Ila kwa sandy springs, Buckhead, Alpharetta hakuna ghetto ni sehemu moja amaizing za kinyamwezi vibaya mno moja ya vitu navyomiss ni Ile apartment yangu niliyokua naishi sandy springsMarekani sio nchi ya kuishi. Kuzamia US ni kuweka maisha rehani. Uzi umegusia moja ya viwili nyeti huduma ya afya, na kingne ni hali ya usalama binafsi. Kimsingi kuna nchi nyingi zilizoendelea za kwenda kutafuta maisha bora. US inatrend na kuonekana sana lakini maendeleo ni ziro. Kazi iendelee.
Kazi ndo zipo kama zote ndo maana ni ngumu kusikia watu wakilalamika swala la ajira kama huku kwetu Africa kinacholalamiliwa ni maslai madogo lakin sio kazi hamna