Nilikuja na student visa F1. Niliweza fanya kazi nikiwa nayo tena vizuri tu. Nikataka kupanda level ya immigration status. Nikajichanganya na manzi flani. Ukioa tu, hapo hapo unaweza omba PR (Permanent residence/ green card). Basi nikafanya hivyo. Unapewa lakini ina limitations manake ndoa iki-survive for 2 years unarudi naye ndio wanakupa Yenyewe sasa ya kudumu. Kwa wote ninaowajua.. hio miaka miwili kwani ndoa inakuwa poa? Na unakuta uliingia kwa ndoa in good faith ukitaka kuanza maisha na demu.. ila
yeye anawaza tu kwamba ww hauna mpango naye na ulimwoa ili kupata uraia. Na matatizo madogo madogo kwenye ndoa, basi wanaanza kuleta vurumai. Asilimia kubwa watu hawapatagi.
Learn here all you need to know about the conditional green card: what it is, how to apply for it, and what to do if you get a divorce. Let us lend you a hand!
www.fileright.com