Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Kuna dada alileta uzi akasema nyie mnaoenda marekan eti kule maisha ni magumu sana mwisho wa siku huwa mnarudi hamna kitu zaid ya kuleta stori za mayami na majina ya airport, wengine mnarudi mmevaa viatu aina mbili tofaut kila mguu na kiatu chake
Mkifika mnakuta mlio waacha wamepiga hatua fulan kimaisha mnaanza kudata na wengne wanaamua warud huko huko wakafe na aibu zao

Mi nilibisha sana lakin sijui Kama ni kweli
 
Nchi zilizoendelea si mchezo hakuna hela ya pembeni kila kitu kimenyooka...dawa ni kupunguz matumizi tuu sio kama bongo utampiga mzinga mtu? Au utapiga udalali sehemu...
Vitu vyao vingi vipo systematic kwa hio kwa mtanzania ni changamoto, sokon bidhaa zote ziko quantify na bei Zinajulikana mfano viaz vinauzwa kwa kilo
 
Kuna dada alileta uzi akasema nyie mnaoenda marekan eti kule maisha ni magumu sana mwisho wa siku huwa mnarudi hamna kitu zaid ya kuleta stori za mayami na majina ya airport, wengine mnarudi mmevaa viatu aina mbili tofaut kila mguu na kiatu chake
Mkifika mnakuta mlio waacha wamepiga hatua fulan kimaisha mnaanza kudata na wengne wanaamua warud huko huko wakafe na aibu zao

Mi nilibisha sana lakin sijui Kama ni kweli
Kwamba humuoni lemubebez na mchambuzi wa kila sector bwana WAKAZI
 
Ni ukweli kwa asilimia 80 mbaya Zaid watanzania wengi hawasemi ukweli wakirudi huku full kupasifia, inabid uwe na maajabu ndo utafurahia maisha ya kule hivi hivi utajikuta unaingia katika depression, stress, ya kufa mtu
 
Kwahiyo hata wewe umerudi na supra tu au sio
 
Inategemea na kazi nyingine dollar 10, 8 kwa lisaa mfano dollar 8 kwa saa ukipiga Masaa 10 dollar 80 kwa siku.
HV kule hakuna misos za mitaani mfno wale wauza kuku Kama ilivyo huku bongo kuwa kuku anapatikana karibia dsm nzima kwa Bei nafuu Zaid vip uko nikienda nikawatafuta wauza kuku ili Kuja mtaan kuuzakwawenye vipato vidgo jehilo linaruhusiwa
 
Kwamba humuoni lemubebez na mchambuzi wa kila sector bwana WAKAZI
Le mubebez karudi nyumbani kwa baba huyo Mwingine Wakazi yeye anatuona Wana wote ni wachimba chumvi tu kwakua hatujawahi kukatiza Atlantic ocean kwenda kuiona dunia

ila maisha ni popote ukiiona fursa ifate iwe kijijin au hata marekani haijalishi ni wangapi wamefeli maana hujui rizki yako utatokea wapi
 
HV kule hakuna misos za mitaani mfno wale wauza kuku Kama ilivyo huku bongo kuwa kuku anapatikana karibia dsm nzima kwa Bei nafuu Zaid vip uko nikienda nikawatafuta wauza kuku ili Kuja mtaan kuuzakwawenye vipato vidgo jehilo linaruhusiwa
Sehemu niliyokua nakaa sandy springs ni mwendo wa supermarket, chick file A, macdonald KFC n k hakunaga hivyo vitu kila kitu kipo systematic
 
Back
Top Bottom