Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

since saa 7 nipo kwenye huu uzi napitia nondo za ma bro waliopo mbele ila hii komenti imenichekeaha saana. imebidi niache kusoma nireply tu. eti uyaya [emoji23][emoji23]
Hahahahaaa! hata uyaya,unafaa,kikubwa pesa
 
Ukitaka kujua life la state sikiliza hiphop.

Lighters up - Lil kim
Brooklyn Anthem - Foxy Brown.
Chicago - L.E.P Bogus
Welcome to ATL - J.Dupri
Welcome to Detroit - Trick ft Eminem
We built this city - Diplomat
Ghetto- Akon
Kwa taarifa tuu hizo sehemu wahamiaji esp wa kutoka Africa hawaishi, ni za watu wa kipato cha chini, ukiwa mtu mwenye kupiga kazi yako na sio mvivu unaishi sehemu nzuri tuu na wazungu
 
Sio California yote mkuu,kuna baadhi ya miji kama Golden state au Sacramento na Bakersfield maisha ni rahisi kuliko hata baadhi ya miji katika states nyingine kama Atlanta GEORGIA ambapo angalau napo tunasema kuna ile Relatively cheapest than other cities
High state Income tax, gas price na housing lazima zikuhusu ukiwa unaishi California haijalishi unaishi Bakersfield, Fresno au Sacramento, ndo maana Dallas, Houston na Atlanta ndo miji mikubwa iliyoongeza watu kwa hii miaka mitatu sababu ni kuwa na cheapest life

Mfano Texas hamna state income tax na gas price iko chini ndo maana Kuna makampuni mengi makubwa yame ditch California to texas
 
RN ni mojawapo ambayo ni kimbilio la wengi hasa watu wa kuja, lakini kuna kazi nyingi Marekani zinalipa mno zaidi ya hapo Bushmamy! Engineers, Lawyers, bankers wanaosimamia investments! Mishahara yao ni mikubwa sana! Kwa wengi wetu njia ya mkato ni nursing, na wengine hawajui kabisa kuna kazi zaidi ya nursing, rafiki yangu Lawyer kumuona kwa ushauri tu ni $400 kwa saa! Nursing ni kimbilio la watu wengi wa kuja.
Marekani malawyer wanapiga sana hela
 
Mpishi.. unaweza.. lakini USA Hawali ugali.. na hata vyakula vyao ni tofauti sana na Africa.. kwa hip itabidi usomee upya. Na pia hawalipi vizuri sana.
Hailipi kwasababu wanakula junk food zaidi,na kwa wajamaika ndio kidogo wanapika african food za kueleweka.(bila elimu)
Ukiwa mpishi by profesional kwenye mahotel makubwa lazima utapewa dolar za kutosha.
 
Kuna ndugu zangu mtu na Dada yeke walifight sana wakenda state baada ya kumaliza A level Miaka ya 90, mpaka leo hawajatoboa Dada mtu alipata tatizo la akili kwasababu ya sonoma , wakamrudisha TZ mpaka leo hayupo sawa, Kaka mtu alishindwa kurudi kwenye msiba wa mama yake kwa wakati ila yeye aliamua kuoa Mke wa Kizungu

Ndugu yangu nwingine alienda Uingereza yeye aliambulia kurudi na tv kubwa sana sijui nchi 80 ile, na kuwa mraibu wa ulevi
Maisha ya kibongo yanakuza watu wanakuwa legelege sana
 
Ngoja nikatafute maisha Ukraine, kule kila kitu cheap, mgahawa buku ya huku kwa fedha ya Ukraine unakula unashiba ...pisi za kule hazipo after money zinapenda kwa dhati hasa hasa doneskt wako poa sana..😅😅😅😅😢
 
RN ni mojawapo ambayo ni kimbilio la wengi hasa watu wa kuja, lakini kuna kazi nyingi Marekani zinalipa mno zaidi ya hapo Bushmamy! Engineers, Lawyers, bankers wanaosimamia investments! Mishahara yao ni mikubwa sana! Kwa wengi wetu njia ya mkato ni nursing, na wengine hawajui kabisa kuna kazi zaidi ya nursing, rafiki yangu Lawyer kumuona kwa ushauri tu ni $400 kwa saa! Nursing ni kimbilio la watu wengi wa kuja.
je naweza kuomba scholarship kuja kuanza kusoma RN US
 
Ndomaana kuna mdau kasema,baadhi ya wabongo tunapenda kuridhika hata na kidogo tukipatacho,nadhani alikua anamaanisha mtu kama wewe,huna njaa ya mafanikio,hongera Mkuu.
Siasa za ujamaa ndio zimezalusha watu kama hao
 
Back
Top Bottom