DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,353
Binafsi nipo USA miaka 20 sasa. Mwanzo ilikuwa changamoto sana.. hasa kupata green card. Kweli maisha yalibadilika nilipoipata. Bila ya hio green card au uraia full.. USA mtu utateseka sana. Ukiwa na green card lakini...Miaka flani Niko bongo sielewi mambo hayaeleweki Nina sista angu Yuko u.s nongea nae kuhusu mikwenda huko marekani kujaribu maisha anakubali mipango inakamilika kijana natua Jackson heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda marekani ni kupata exposure
Harakati zinazofuata ni mim kutafuta kazi marekani kazi zipo Ila Sasa kule ukisikia kazin kazini kweli full supervision unafanya kazi masa 10 mpaka 12 hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyenyewe unalipwa kwa masaa kwa hiyo lazima ukomaee Ila kazi tu zipo, baada ya mda kudunduliza ela nahama kwenye basement nyumbani kwa sister nahamia kwenye kichumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa sandy springs
Tatizo la marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa Kawaida kila kitu ni ela yaan ukisikia capitalism kule ndo inakua practice 💯 swala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokua makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
Ukikaa marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato Cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money
Kwa sasa hivi nilisharudi tz sababu za kifamili na maisha ya marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au unakipaji kitu ambacho kwa watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao, kwenda marekani hivi hivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata ela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana na uwe competent hivi hivi sikushauri hata kidogo
Vitu nilivuomiss marekani ni exposure Ila mwaka ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi
1. unasoma bure degree ya kwanza... na nyingine scholarships kibao..
2. ukishasoma kama ulivyosema ndio unapata kazi nzuri..
3. ukiugua.. unapata asilimia kubwa tu mshahara wako vizuri..
4. ukipoteza kazi.. unalipwa pia fidia nzuri tu kila mwezi.. nk.
5. Unasafiri kwenda bongo bila kikwazo... nk.
Binafsi huku matumizi nimeweka chini. Upuuzi wa kushindana na WaTz wengine kununua nyumba na kubadili magari kila siku sifanyi. Investments zangu ni Tz. Na hazijaniangusha kamwe.