boniuso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 950
- 1,346
Unajuwa kwanini tz wengi wajuaji?? Tz wengi hawana akili na ni vichaa hivo kwakuw kufikiri ni kazi sana, wao wanaona bora wajaji tuu. Na hawaamini kama wanashiida kabisa.Sifa kubwa ya watanzania ni ujuaji na dharau yaani unamdharau mtu ambaye humjui na hii inafanya kuwa ngumu kwa watanzania wengi kujifunza vitu vipya
Kuna riport iliwah sema kila watu 4 tz kuna mmoja anashida ya akili hapo iwe kubwa au ndogo ni shiida na hiz report ziheshimiwe sana.
Sent using Jamii Forums mobile app