jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani
Duh pole sana Wambuzi, nataraji wana jamvi wamekusaidia ushauri kwa kiwango flani. Nakuombea upate tiba na kupona mapema
Hilo tatizo linasababishwa na Constipation ( Kupata choo kigumu), Choo kigumu kinasababisha michubuko mara kwa mara kwenye njia ya haja kubwa, michubuko ya mara kwa mara inasabisha infection kwenye njia ya haja kubwa baadae inaleta viuvimbe kitaalamu wanaita HEMMOROIDS.
Ndugu yangu Hemmoroid inatioba za awali hospitali, wanaweza wakakupa vidonge na dawa za kukalia kwenye maji au kupaka. Ikishindikana hiyo wanakufayia upasuaji mdogo ili kuondoa hivyo viuvimbe.
Hata hivyo viuvimbe hivyo vinaweza kujirudia tena kama hutatibu tatizo la kupata choo kigumu. Ushauri wangu penda kunywa maji mengi sana kila siku, kula matunda, kula mboga mboga na vyakula vyenye kamba kamba.
Ushauri wangu mwingine penda kutumia asali wa nyuki wadogo, tumia asubuhi kabla ya kula na usiku baada ya kula.
TIBA MBADALA
Kuna taasisi moja inaitwa GNLD INTERNATIONAL, ofisi zao zipo Mwenge. Wana Lishe za kutibu hemmoroids na Constipation. Bei zao ni ghali kidogo ila wenyeji wanasema zinasaidia sana. Nakushuri ujaribu lishe zao kwanza. Kununua Products zao lazima uwe member ila kama sio member, unaweza kuwa member au kununua kwa kupitia member wao yoyote.
Faida ya kuwa member ni kwamba unapewa punguzo la asilimia fulani ukitaka kununua product zao
Jaribu mkuu
NAWASILISHA
kama unavyojua ugonjwa huu unachangiwa na pressure kwenye ****** hasa unapotumia nguvu nyingi wakati wa kujisaidia,tumia vyakula hivyi kupunguzia tatizo,vyakula vya majimaji,matunda kwa wingi,mboga za majani kwa wingi,pia kunywa maji mengi.<BR> pia tumia sitz bath weka kwenye maji ya vuguvugu kalia dawa hiyo kwa dakika 10, tumia mara tatu kwa siku hakikisha ****** umezama kwenye maji yenye dawa,kuvifunga vinyama vinavyotokeza kwa nyuzi kuzuia zisipata damu mpaka vinakauka na kukatika hufanyika hospital,kama njia zote zikishindikana upasuaji hufanyika kutoa nyama hizo.
pole sana ndgu chumba cha daktari kina mgonjwa ndani anasikilizwa endelea kusubiri
jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani
Pole saana! Acha matabibu wakuje wakusaidie!
Huwezi kupata kansa wewe umepata huu ugonjwa kwa sababu hupati choo laini una matatizo kutopata haja kubwa vizuri kwa lugha ya kitaalam waniita (Costipation) ndio mana ukienda kwenye haja kubwa huwa unajibinya sana kiasi cha hiyo internal hemmoroids inatoka ndani naukimaliza inarudi tena ndani. Kama picha inavyojieleza.jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani
Huwezi kupata kansa wewe umepata huu ugonjwa kwa sababu hupati choo laini una matatizo kutopata haja kubwa vizuri kwa lugha ya kitaalam waniita (Costipation) ndio mana ukienda kwenye haja kubwa huwa unajibinya sana kiasi cha hiyo internal hemmoroids inatoka ndani naukimaliza inarudi tena ndani. Kama picha inavyojieleza.
Schematic demonstrating the anatomy of hemorrhoids Sababu kubwa ya maradhi yako ni hayo kutopata haja kubwa kwa njia ya Urahisi.
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari. ( hemmoroids) (Maradhi ya kichwa na ugonjwa wa moyo).Na Maradhi mengi tu
Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.
Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.
MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.
NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.
NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.
Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa castor Oil muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga za majani na matunda kwa wingi kila sikuna kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.