VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🖇️ Ujauzito
3.🖇️ Unywaji pombe
4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu
5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia...
Pandex Herbal Clinic
Ilala dar es salaam
0743 549 126
1. BAWASIRI FLUIDS
🟢Hii ni dawa yenye mfumo wa Kimiminika inayotumika kwa kupaka sehemu ya haja kubwa na kupelekea kufyonza na kuondoa kabisa seli zilizocharuka na kufanya uvimbe kuwa nje ama tayari Bawasiri ( Hemorrhoids or piles) inatoa...
Bawasiri (Hemorrhoids/Piles)
Bawasiri ni hali ambapo mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (rectum na eneo la haja kubwa) huvimba na kuwaka, na kusababisha maumivu, kuwasha, au kutokwa damu.
Aina za Bawasiri
Bawasiri za ndani – hutokea ndani ya sehemu ya haja kubwa, mara nyingi hazina...
Njia bora ya kuepuka/kuzuia bawasiri ni kuweka kinyesi chako laini, kwa hivyo hupita kwa urahisi. Ili kuzuia bawasiri na kupunguza dalili za bawasiri, fuata vidokezo hivi:
Kula vyakula Asilia kwa wingi. Kula matunda zaidi, mboga mboga na nafaka nzima(zisizokobolewa). Kufanya hivyo kunalainisha...
NA PANDEX HERBAL
🌎 KUTOKANA NA UZOEFU WA MATIBABU YA TATIZO HILI (BAWASIRI).
⤵️ Kwa kawaida, KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma. Hali hii hufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japokuwa Dalili za awali husemekana kufanana na Za BAWASIRI...
🟢𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐒𝐔𝐆𝐔.
______________________________________
🌻 Vidonda vya TUMBO SUGU vinakadiriwa kuwa chanzo kikubwa sana cha Bawasiri katika njia zifuatazo. Kwanza
👉Mgonjwa wa vidonda vya tumbo tafsiri yake huwa chakula hakisagwi vizuri tumboni na Vimeng’enya kama vile amylase, protease...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili
Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia
Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje).
Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA KUTUMIA...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba...
BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba au kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama au uvimbe ambao ndio huitwa bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu kupata bawasiri ni mgandamizo sehemu ya haja kubwa, ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka...
1. BAWASIRI FLUIDS
🟢Hii ni dawa yenye mfumo wa Kimiminika inayotumika kwa kupaka sehemu ya haja kubwa na kupelekea kufyonza na kuondoa kabisa seli zilizocharuka na kufanya uvimbe kuwa nje ama tayari Bawasiri ( Hemorrhoids or piles) inatoa maji maji kama usaha Itakauka vizuri. Kama uvimbe uko...
Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni ushauri wenu mana operation siitaki kabisa
Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids.
Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...
Bawasiri ni moja ya Matatizo sugu yanayowasumbua wagonjwa wengi hapa tanzania na kwengineko.
Ugonjwa huu umeshika kasi kubwa sana kutokana na sababu za mitindo ya vyakula bila utaratibu. Na mengineyo.
Bawasiri imewafanya watu kukosa amani ya nafsi leo sababu wanahisi ni ugonjwa ambao hauwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.