Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
The Boss, kama tumboni hamna kitu maji yatakaa kweli mkuu!kunywa maji meengi
The Boss, kama tumboni hamna kitu maji yatakaa kweli mkuu!kunywa maji meengi
nini sababu ya kuvimba vinyama sehemu ya haja kubwa?
Jaya yote chanzo chake sisiemu....
uvimbe kwenye njia ya haja kubwa ni tatzo linalo wapata watu wa jinsia zote yaani me au ke kitaalamu huitwa haemorrhoid or piles au viotea ktk puru tatzo hutokana na sababu mbalmbl mala nying htkea unaporazmisha kutoa haja kubwa hasa unapokua na tatz la kukosa choo kwa mda mrefu yaan constipation au kutokana na kula vyakula visivyo laini.tatzo hili pia hutkea sana kwa akna mama wajawazto sasa sjajua wewe ni mama au baba.kuna dawa unazoweza kupewa na kuzichomeka km vile anusol supp.au proctosedyl supp nk dawa hiz mala nyng hutuliza na kuliahrisha tatz kwa muda tu hivyo hudhuria kituo cha tiba unaweza kfanyiwa upasuaji kadiri daktar atakavyoona tatzo lako.USHAURI WA NYONGE
mmh! huyu ccm atakoma!!Jaya yote chanzo chake sisiemu....
...wakati mwingine ni kuingiliwa kinyume na maumbile,pia ufanyaji wa kazi nzito,kam mazoezi ya kijeshi ama kubeba vyuma vizito huwa ni sababu tosha!!hiyo ni kwa uchache niyajuayo,wataalamu zaidi nathani watatuelimisha
Ili kuweza kumsaidia mtoa hoja na wadau wengine sio vibaya kama ungetaja jina au majina ya dawa ulizoandikiwa na Dr.nilishapatwa na tatizo ka hilo miaka minne iliyopita nikiwa chuo,maumivu ni makali sana nakumbuka sikulala usiku mzima nalia ka mtoto mdogo,doctar aliniambia inasababishwa kuinua vitu vizito,kazi za kukaa mda mrefu na ni kweli kipindi hicho nilikuwa na nafnya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito,niliandikiwa dawa ya kunywa na ya kuingiza huko kwa haja kubwa..na mshukuru Mungu nimepona na naendelea na mazoezi poleploe
Nielewavyo mimi ugonjwa huu hujulikana kama piles na kitaalam zaidi hujulikana kama hemorrhoids . and 4 more info visit Piles Treatment and Piles Symptoms Guide