Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ndugu madaktari leo nimejishangaa baada ya haja kubwa wakati najisafisha nimegundua kuna viuvimbe viwili kama majipu makubwa pembeni ya eneo hilo؛؛naomba madaktari mnishauri
Ma Daktari bado wamegoma mimi nitakusaidia ni hivi

Inatibika kwa opareshein ya upasuaji nenda kamuone Daktari atakusaidia.

(Hemorrhoids)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri:
i. Nje
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
ii. Ndani
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;
• Tatizo sugu la kuharisha
• Kupata kinyesi kigumu
• Ujauzito
• Uzito kupita kiasi (obesity)
• Ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
• Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
• Umri mkubwa
Dalili za bawasiri;
• Damu kuchanganyika na kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
• Maumivu au usumbufu
• Kinyesi kuvuja
• Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
• Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
• Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri:
• Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
• Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi:
i. Digital rectal examination
ii. Proctoscope
iii. Sigmoidoscope
Matibabu :
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
i. Rubber band ligation- Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
ii. Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
iii. Coagulation (infrared, laser and bipolar)
iv. Upasuaji;
-Hemorrhoidectomy
-Stapled hemorrhoidopexy
Jinsi ya kuzuia Bawasiri:
• High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
• Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
• Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
Chanzo :Bawasiri (Hemorrhoids) – TanzMED(old) - Afya Kwa Wote
 
Acha mzaa mkuu! Watu wanamatatizo we unaleta ufirauni wako hapa! Si lazima uchangie! Kilaza wew!

Kwa mujibu wa mzizi mkavu nayo ni moja ya causes hila cholo amehukumu moja kwa moja kwamba ya jamaa yetu labda ndio chanzo,cha msingi ebu tumuulize ni kweli anajihusisha na anal sex?
 
kwa mujibu wa mzizi mkavu nayo ni moja ya causes hila cholo amehukumu moja kwa moja kwamba ya jamaa yetu labda ndio chanzo,cha msingi ebu tumuulize ni kweli anajihusisha na anal sex?

jamani watu tunaumwa,hebu tupunguze mizaha ili madokta watujibu,mi naumwa sana hii sehemu ya haja kubwa toka jana mpaka nakosaha raha
 
HESHIMA KWENU WOTE

NAOMBA KUJUA DAWA SAHIHI YA BAWASIRI NA KAMA IPO YA KIENYEJI NI MUHIMU PIA TAFADHALi
 
Ndugu madaktari leo nimejishangaa baada ya haja kubwa wakati najisafisha nimegundua kuna viuvimbe viwili kama majipu makubwa pembeni ya eneo hilo؛؛naomba madaktari mnishauri

POLE MKUU HIYO NI BAWASIRI NI UGONJWA WA KAWAIDA TUU WALA USIWE NA SHAKA SANA ,WANAUME WENGI NIMEWASIKIA WAKISEMA WAMEPATA,NI KUTOKANA NA PILIPILI AU UZITO,NAFIKIRI MAJI MENGI NA MATUNDA NI DAWA BORA ZAIDi
 
Bwasiri ni tatizo ambalo linampata mtu ambaye mara kwa mara anapata haja kubwa ngumu. Kwa hiyo huwa inabidi ajikamue. Tiba yake ni kuingiza suppositories ambazo zipo za aina nyingi. Hii itatuliza maumivu na uvimbe. Lakini tiba ya kudumu ni kufanya operesheni ndogo ambazo pia ziko za aina mbili.

1) Kudungwa sindani ya necrotising agent(yaweza kuwa mafuta ya mbono) sehemu ambapo zimevimba na pole pole zina oza na kupona. Ina uma sana na kupona itachukuwa muda kutegemeana na uzoefu wa daktari anayekudunga hiyo shindani.

2) Ni Haemorrhoidectomy. Hii opereshen ni ya kubana ile mishipa yote ya damu inayovimba na hii ni long term solution ya Haemorrhoids. Pole sana na muone sugeon akupime vizuri ili akuamulie tiba inayofaa
 
Bawasiri inayojulikana ni ile ya tupu ya nyuma, bawasiri huwa ni mfano wa tutu kwa ugumu wake, na udogo wake na mviringo wake au huwa mwekundu huenda ikatoa damu na pengine isitoe damu.

Namna ya kuifanyia dawa:

1. Ipake mafuta ya mbono mara nyingi, na baada yake itawezekana kuirudisha ndani.

2. Iponde habbati Sauda gramu 25 kwa kiingereza inaitwa (nigella Sativa Seed) kisha changanya na Asali mbichi Safi ukikosa Asali waweza pia tumia Sukari kiasi kama cha habbat Sauda, ule siku moja mara moja kila mara nusu kijiko kisha na unywe maji

Au hii pia nzuri jaribu kutumia kisha unipe
FeedBack Dawa ya bawasir ni mshubiri fresh unakata jani lake na unalimenya kisha unatoa ile nyama ya ndani inayoteleza unajisugulia pahala penye hiyo bawasir na kwa uwezo wake Allah inarudi (inaondoka).

Au Tumia Dawa hizi

Kama hizi vibaazi zinapatikana:

Changanya majani ya witch Hazel Leaf (gram mia nanne, 800 grams) na majani ya Horse Chestnut Leaf (gram mia mbili, 200 grams) na tangawizi (gram mia, 100 grams). Weka maji vikobe viwili cha chai, kicha ziponde Kwenye Kinu mpaka vilainike. Kunguta (filter with a sieve/serviett or some good filtration system) upate juice (utomvu). Kama machanganyiko aya ni chungu sana, unawesa kuweka kijo moja cha chai ya asali . Tumia vijiko viwili (vya chai) ya juice kila siku: Kijiko moja asubuhi na kijiko moja jioni.

Witch Hazel Leaf
Is renowned as one of the most effective herbs for vascular problems. Witch Hazel is a natural astringent and is known to reduce swelling and inflammation caused by hemorrhoids. Only the most effective part of the plant, the leaf, is used in Hem-Relief.

Horse Chestnut Leaf
Arguably the most well known and well researched herb in the treatment of hemorrhoids. Studies show that Horse Chestnut, especially the leaf, is highly effective at improving circulation, reducing swelling and inflammation, and healing and strengthening damaged vascular tissue.

Ginger Root
Extremely well known as a digestive aid. Ginger has been used in medicine since ancient times and is known for its antioxidant and anti-microbial properties and can be very soothing to the digestive tract.

Miiko ya Mgonjwa wa Bawasiri.

Mgonjwa wa Bawasili Asitumie maharage, Nyama ya ng'ombe, na nyama ya kuku mkongwe sana na Mkate.
Ni muhimu sana kwa mgonjwa asitumie vitu hivi kwa usalama wake basi nibora ajiekee miko kabisa.

Source.Ph.D.Mzizimkavu Please give me a Feedback.
 
witch hazel leaf inapatikana hapa bongo, hebu tujuzeni wajameni?
Sijuwi kama hayo majani ya Witch Hazel Leaf yanapatikana hapo bongo?

[SIZE=-1]
hamvir67.jpg
[/SIZE]
[SIZE=-2]Copyright, Mark Brand[/SIZE]

Nakusaidia Dawa ingine Rahisi fanya hivi
CHUKUWA MIZIZI YA MKOMA-MANGA PAMOJA NA UBANI KIASI KIDOGO. CHEMSHA ICHEMKE SAWASAWA. CHUKUWA MAJI YAKE TIA KATIKA CHUPA UWE UNAKUNYWA KIKOMBE CHA KAHAWA MARA TATU KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU KABLA YA KULA KITU KWA MUDA WA SIKU SABA INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATAKUPONESHA.
 
Post ya 8 inahusika. Ajabu kubwa ni kwamba wale wanaofanya hivyo huwa hawauguwi haemorhoids. Ila wale ambao wana anal ring ambayo ni tight ndiyo wanao uguwa na kupata prolapse ya hizo haemorhoids.
 
Inatibika kwa opareshein ya upasuaji nenda kamuone Daktari atakusaidia.

(Hemorrhoids) Bawasiri

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri:
i. Nje
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
ii. Ndani
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;
• Tatizo sugu la kuharisha
• Kupata kinyesi kigumu
• Ujauzito
• Uzito kupita kiasi (obesity)
• Ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
• Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
• Umri mkubwa
Dalili za bawasiri;
• Damu kuchanganyika na kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
• Maumivu au usumbufu
• Kinyesi kuvuja
• Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
• Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
• Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri:
• Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
• Strangulated hemorrhoids
r7_hemorrhoids.jpg

Vipimo na uchunguzi:
i. Digital rectal examination
ii. Proctoscope
iii. Sigmoidoscope
Matibabu :
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
i. Rubber band ligation- Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
ii. Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
iii. Coagulation (infrared, laser and bipolar)
iv. Upasuaji;
-Hemorrhoidectomy
-Stapled hemorrhoidopexy
Jinsi ya kuzuia Bawasiri:
• High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
• Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
• Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
Chanzo :Bawasiri (Hemorrhoids) – TanzMED(old) - Afya Kwa Wote
 
kwanza "hemorrhoids" ama "piles" husababishwa zaidi na mtu anapotumia nguvu kupata haja kubwa (naomba mnisamehe kama lugha si nzuri), ina maana kama unapata choo kigumu, msukumo huwa mkubwa na kutokea mkwaruzo na kusababisha veins kuvimba. Kukosa choo (constipation), mimba na umri mkubwa pia husababisha hii kitu, hasa kuanzia miaka 50. Pia kuingiliwa kinyume na maumbile husababisha. Pia leo ndio nimejua hii kitu kiswahili inaitwa bawasir.

Kwa kungalia uvimbe uliko, ziko za aina mbili, zinazotokea nje ama chini ya ngozi ya sehemu ya haja kubwa, na kuna zinazotokea ndani ya sehemu ya haja kubwa.

Yaweza kutibika bila kufanyiwa upasuaji, muhimu ni kula vyakula vyenye kiasi kikubwa cha nyuzinyuzi (fiber). Pia kunywa maji mengi. Hii inasaidia kukifanya choo kiwe laini na hivyo kupunguza msuguano na pia kupunguza msukumo wakati wa kutoa haja kubwa. Pia inatakiwa unapojisikia tu haja kubwa ukajisaidie, sio kuahirisha nayo ina madhara makubwa. Kuna dawa unaweza pewa, siwezi kukutajia hapa, zinasaidia na kumaliza kabisa wakati fulani.

Ni ugonjwa unaotokea kwa jinsia zote.

Sana sana ukiona inawasha, huwa ni zile vimbe za nje, vimbe za ndani huwa hazina matatizo sana, kama muwasho. Lakini kwanini huwasha baada ya haja?, ni kwamba baada ya haja ile sehemu huwa imesuguliwa ama wakati unasukuma unachokoza zile vimbe katika veins.

Hii kitu inaweza kutokea, ikapotea kwa siku, wiki, miezi, mwaka, miaka na kurudi tena. Hivyo ni vizuri kubadili aina za vyakula na kula vyakula vyenye nyuzinyuzi kwa wingi, muhimu zaidi ni kunywa maji mengi iwezekanavyo.

Pia kupunguza vyakula vyenye pilipili na binzari (hot and spicy foods) inaweza kusaidia.

Muhimu: Ni vizuri kwenda hospitali ili upate kuchunguzwa zaidi.

ahsante sana mtaalamu tafadhali tueleweshe matunda ya kamba kamaba ni yapi,??
 
Back
Top Bottom