Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Hemorrhoids haziwezi kumsababisha mtu kuwa mahututi so sidhani kama mleta mada anaongelea hemorrhoids.
 
Inatibika kwa opareshein ya upasuaji nenda kamuone Daktari atakusaidia.

(Hemorrhoids)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri:
i. Nje
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
ii. Ndani
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;
• Tatizo sugu la kuharisha
• Kupata kinyesi kigumu
• Ujauzito
• Uzito kupita kiasi (obesity)
• Ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
• Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
• Umri mkubwa
Dalili za bawasiri;
• Damu kuchanganyika na kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
• Maumivu au usumbufu
• Kinyesi kuvuja
• Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
• Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
• Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri:
• Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
• Strangulated hemorrhoids

hemorrhoid.jpg

Vipimo na uchunguzi:

i. Digital rectal examination
ii. Proctoscope
iii. Sigmoidoscope
Matibabu :
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
i. Rubber band ligation- Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
ii. Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
iii. Coagulation (infrared, laser and bipolar)
iv. Upasuaji;
-Hemorrhoidectomy
-Stapled hemorrhoidopexy
Jinsi ya kuzuia Bawasiri:
• High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
• Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
• Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
Chanzo :Bawasiri (Hemorrhoids) – TanzMED(old) - Afya Kwa Wote
 
Ina maana huyu mgonjwa wa Pretta mpaka anakuwa mahututi ina maana hii bawasiri imechukua muda mrefu au ana bawasiri nyingi???...
 
Bawasiri inayojulikana ni ile ya tupu ya nyuma, bawasiri huwa ni mfano wa tutu kwa ugumu wake, na udogo wake na mviringo wake au huwa mwekundu huenda ikatoa damu na pengine isitoe damu.

Namna ya kuifanyia dawa:

1. Ipake mafuta ya mbono mara nyingi, na baada yake itawezekana kuirudisha ndani.

2. Iponde habbasouda kisha changanya na sukari kiasi kama cha habbasouda, ule siku moja mara moja kila mara nusu kijiko kisha na unywe maji.
 
Hilo tatizo huwa linatibika kirahisi kabisa kwa kupitia madaktari bingwa wa upasuaji tulionaa hapa DSM. Ni minor surgery ya dk 30 tu mkuu, kama tatizo linakusumbua tunaweza kukueleza wapi kwa kupata huduma ya matibabu.
 
jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani
 
Pole sana mkuu...ngoja wataalamu waje watakushauri vyema.
 
Nimeshindwa kuelewa tatizo lako kama ni ''NDONDA AU MAKILA''. Watakapokuja wanaojua lugha hii na kuniambia tatizo lako kama ni mojawapo ya hayo mawili then nitakupatia ushauri wa tiba.
 
Mkubwa unaweza nifafanulia hio kitinku na kidonda then ndo ntakwambia which is which please.. kwa watu wa kigoma huu ugonjwa wanaitwa mgongo... Wasukuma wanaita man'gondi.. Msaada plz
 
hilo tatizo kiswahili linajulikana kama mgolo...nenda temeke kuna dispensary panaitw kwa Dr MPENDA...kuna jamaa yangu aliwahi kuponywa pale..thanx
 
Temeke wapi sasa kaka?? Ungenisaidia sana kama ungekkuwa cpecifik zaid... Tandika,kurasini, mivinjen, vijibweni, mtoni au wapiiiii???? Nna shida kweli aisee
 
Back
Top Bottom