Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
mi pia nataka ila wawe washapikwa.
Na wewe sasa huo ni uvivu!!
mi pia nataka ila wawe washapikwa.
Huwa najiuliza, hili jamvi ni la kutuma hoja nzito au pumba? Hv kweli unapoteza mda wako kutuma ujumbe kwenye jf the home of great thinkers kuwa unatafuta kuku wa kienyeji!!! Embu acha utani ww.
Na wewe sasa huo ni uvivu!!
nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji,bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje,
kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri ,pros and cons etc.
bye the way nimeanza na Jogoo mmoja,ila natarajia kuongeza kuku within a week,
projections ni kuwa na kuku 1000,hapo ndio nianze kuuza,matarajio yangu ni kuuza via interent-hapa nalenga watu wa DAR,ambao wako bize,i can do delivery maofisini within city center,na baadae kuweka vituo vya kufanya pickup wakati watu wanarudi home jioni,e.g mwenge junction,morroco petrol station,etc,malipo via M-pesa,sms banking pia na mahoteli.
sitarajii faida ya haraka ,naomba ushauri kwa wale walifanya biashara hii,au wanajua mtu wa karibu aliyeifanya.
Umenichekesha tatizo umezoea senene kwani hawatolewi manyoya kama kuku:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:mi pia nataka ila wawe washapikwa.
hi,everybody,i am jane from china.nice to meet you!
Hii thread nimeipenda sana kwani na mimi nilikua na mpango wa kufuga kuku wa kienyeji wafike 1000. ila tatizo langu likua hivi. Hawa kuku wanaweza kukaa ndani ya banda bila kutoka nje kwenda kujitafutia chakula maisha yao yote? maana kule kwetu kijijini tumezoea tunawafungulia wanatoka wanaenda kujitafutia chakula na kurudi jion wenyewe bandani
Asante sana, hii itatusaidia sana. Kama hutajali naomba namba yako unaweza kuni pm, nadhani nina mambo mengi ya kukuuliza kabla ya kuanza mradi huu.
maendeleo ya kuku wangu mazuri sana,ila bado sijafikia lengo langu la kuku 1000.i see na mie naanza mradi wa kuku mwezi wa sita Newmzalendo hebu nipe update yako iko vip mpaka sasa kimafanikio