kufuga kuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  3. zoyler22

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  4. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kufuga kuku Hawa!

    Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
  5. Titia

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  6. CoderM

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina ya sasso wakati tunaendelea kusubiri neema ya mvua Kama itatuwezesha kuvuna. Mpango ni kufikisha...
  7. newmzalendo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla haujaanza kufuga kuku kibiashara

    MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA 1. AVAILABILITY (uwepo wako) Kabla ya kuanza ufugaji wa kuku kibiashara hakikisha unapata nafasi ya kushiriki kwa karbu katika mradi wako.kama nafasi yako itakua ndogo sana basi jitahidi mwenza wako asimame kama wewe. Au upate kijana...
Back
Top Bottom