Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Na kimara kuanzia baruti kwa kuendea mbezi,jioni foleni yake si ya kitotofoleni imehamia Shekilango Morogoro Rd.
Na kimara kuanzia baruti kwa kuendea mbezi,jioni foleni yake si ya kitotofoleni imehamia Shekilango Morogoro Rd.
No,hata mleta mada pia anasifia serekali ya Magufuli kujenga daraja la juu na wewe pia umeungana nae katika hilo la kumuona Magufuli ni shujaandio kulazimisha mtu huko!!!!
Huu mradi ulianzishwa na Kikwete kwa kodi za wananchi na mikopo toka nje, siyo pesa za magufuli hauna uhusiano na matendo mabaya ya kuwanyima nyongeza za mishahara watumishi wa umma na hautasahaulisha bomoa bomoa kimara kibamba mpaka kibaha bila fidiaToka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Hizo daraja za ubungo ni pesa za walipa kodi siyo pesa za akina polepole, ccm wasijipe ujiko wa kijinga hapoHiyo interchange Utaibeba uende nayo Muhimbili iwe bima ya afya?au utaichemsha Nyumbani iwe mboga kufidia ongezekeo mshahara lililotakiwa kuendana na gharama za maisha.
Kama unafikiri Barabara,reli,ndege nk ni kukua kwa Uchumi kaisome vizuri Ethiopia yenye ndege lukuki,treni za kisasa na Barabara Kama paradise lakini wananchi wake Ndio wanadakwa kila siku wakiwa ktk makontena mbioni kuzamia Afrika Kusini.
Mradi ulianza kipindi cha Kikwete kwa pesa za walipa kodi siyo pesa za polepole na kikundi chakeKenge hasikii mpak damu zimtoke masikioni, inamaana hajui kuwa interchange imemuongezea muda wa kutafuta kipato ukilinganisha na awali ambapo muda mwingi alikuwa anapoteza kwenye jam ya hapo ubungo muwe mnatoa hizo pedi kwenye macho.
maccm bado majinga sana yenyewe yanajua kujenga miundo mbinu eti ni msaada wa ccm kwa wananchi utazani hizo pesa wanazitoa uvunguni mwao.MA-LUMUMBA yameaminishwa tunayofanyiwa na Serikali kuwa ni hisani , siyo hisani ni "lazma " na ndio maana kwa wenzetu usipofanya wana andamana.
Sasa katokea mtu asiyefata katiba, anaamua mwenyewe na nyie mnaamini ni hisani ,poor MATAGA
ccm bado wamelala hawajui wananchi wameamka na wapo makini kuliko wao na hawataki ngojera zao tenaWanataka mtu asifiwe na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisheria?Yaani kwa mfano sheria inasema kuwa dereva yeyote akatizapo kwenye shule yenye watoto anapaswa kupunguza mwendo wa chombo chake ili kulinda maisha ya watoto hao,sasa huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa kama ikitokea dereva huyo akapunguza mwendo kutimiza wajibu wake basi anatakiwa kusifiwa na kuonekana shujaa!Hizi ni akili za wapi?!
hata wewe ukianza campain leo utawapata wa kukusanyika kukusikiliza.
ila kupigiwa kura ndio goli lenyewe.
Flyover aliyoacha Kikwete ikiwa kwenye design stageToka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Tarehe zimesogea tutaonaToka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Tatizo hayotunaitaji ajiraToka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
ile pesa iliyotumika kujenga lile daraja la kifisadi toka Aga khan Hosptal kwenda Oyestabay ingeweza kujenga daraja moroko Magomeni mwenge kurasini na sehemu zingine, ule ni mradi wa kifisadi uliotumika wajanja wapige pesa haraka wazitumie kwenye kampeni.Tumepoteza sana kwa daraja la kishamba ambalo bado halijaweza kuondoa foleni. Sasa foleni imehamia Mwenge, Mbezi na kwingineko.
No,hata mleta mada pia anasifia serekali ya Magufuli kujenga daraja la juu na wewe pia umeungana nae katika hilo la kumuona Magufuli ni shujaa
No!Mada yangu siyo kulazimisha watu kusifia.Mada yangu ni siyo sahihi kumsifia mtu yoyote anaetimiza wajibu wake kisheria.Huo ni uzuzumada yako ilikuwa sisi tunalazimisha watu kumsifu,sisi tunamsifu tu hatulazimishi watu.
Magufuli yeye anajua bila kuwatisha watu watasema jinsi anavyopenyeza ndugu zake rafiki zake kampuni zake kwenye tenda za Serikali na pesa inazunguka inamrudia yeye mwenyewe, mnufaika wa pesa ni yeye na watu wakeWatu mna shida kubwa ya kuelewa..., kujenga daraja haimaanishi ndio uhuru ubanwe, vyombo vya habari na kuunganisha mihimili mitatu kuwa mmoja....
mbona mambo ni simple tu...., unless otherwise daraja huwezi kulijenga bila kubana uhuru wa watu....
No!Mada yangu siyo kulazimisha watu kusifia.Mada yangu ni siyo sahihi kumsifia mtu yoyote anaetimiza wajibu wake kisheria.Huo ni uzuzu
Daraja lilianza kujengwa na Kikwete kwa pesa za walipa kodi siyo pesa za ccmhatujalazimisha wala kumtaka mtu asifie.