Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

kwakweli kama kuna jambo linalo tutia aibu sisi wanachadema ni kuto kuwa na ofisi nzuri ya makao makuu. yaani hili linatutia aibu sana!!
huwa najiuliza posho zote huwa zinaenda wapi?!!
 
Mliopo Dar Tuwekeeni tupicha twa hzo flaiova tuzione
 
huyu unamtumia vibaya.

mwamba alimaanisha hatutakiwi kuahidiwa hivi maana ndio hasa jukumu la serikali.

hata kukuza uchumi,kuboresha maisha,kudumisha amani nk.
Sasa mkuu hapo nimemtumiaje vibaya. Atakayempigia kura mgombea anayeahidi vitu hivyo huyo ana akili dhaifu. Hayo ni majukumu ya serikali.
Wewe hapo umeona nimemtumia vibaya mkuu? Nimeiweka hii caption kumjibu huyo dogo mtoa mada eti "Tundu Lissu njoo uone interchange Ubungo imekamirika"
 
sasa unampigia kura anayeahidi nini??

maana hata maisha bora ni jukumu la serikali kutekeleza.ndio ilikuwa pointi ya huyo kwenye picha.

akimaanisha waafrika bado tunahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.

pesa za world bankl ! sasa mbona tena mnashabikia pesa za mabeberu!!
 
sasa unampigia kura anayeahidi nini??

maana hata maisha bora ni jukumu la serikali kutekeleza.ndio ilikuwa pointi ya huyo kwenye picha.

akimaanisha waafrika bado tunahitaji ukombozi wa kifikra.
Nampigia kura mwenye sera za kuboresha maisha ya watu kupitia elimu, afya, ajira, sera za kiuchumi zitakazokuwa rafiki kwa wazarishaji na wanunuaji wa bidhaa nchini, atakauetengeneza mazingira rahisi ya uwekezaji nchini kustimulate ukuji wa uchumi, atakayesimamia haki na usawa kwa wananchi wote bila kubagua maeneo. Hayo yanatosha kunifanya nidamke mapema siku ya tar 28 na kuelekea kituo cha kupiga kura
 
unapaka rangi picha uliyochora mkuu.
 
Mabeberu ni majizi yanayotaka kutuibia sio kila mzungu ni beberu.

tupe mfano maana mnatumia majina ambayo kila mtu anatoa ufafanuzi tofauti! Yaani unatumia misamiati mingine "majizi"

Wacheni ushamba madaraja hayo ni ya kawaida! ukienda kuona sehemu nyingine sijui itakuwaje yaani kadaraja unataka mgombea wa Uraisi akaone. Vijana jichangamsheni kidogo vijana wa siku hizi ni washamba mpaka aibu
 
kadaraja ka kawaida tz au australia???

huko kwingine unakosema sijui vilishushwa!!!nyinyi watu acheni mzaha na akili za watu.
 
120273938_725964931466471_1496801082992644401_n.jpg
119943017_720278202035144_7135507506335575425_n.jpg
119976986_720875661975398_6178179625576337321_n.jpg
Mpuuzi tu ndio atafurahia huo ujinga
 
Back
Top Bottom