Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

si hamtaki barabara nyinyi mtaanza na uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

wakati mazao yanaendelea kuozea shambani.
, inaonekana umenunua tekno leo , wewe ni mpumbavu na huelimiki kumbe nipo nachat na jitu la busokelo huko kijijini ambalo limekataa shule, " ulishasikia LISSU akipinga hivyo vitu, unajua hoja zake?"
 
Nyie wa mikoani hamuwezi kuliona hili ebu mtuache nyie endeleeni kupambana na punda.
tukubaliane kwamba mm ni wa nanjilinji,kwa hiyo unataka nimpe magufuli kura kwa kujenga daraja la Ubungo?linanisaidia nn katika maisha yangu huku mkoani?
 

unawashwa wewe, inaonekana umenunua tekno leo , wewe ni mpumbavu na huelimiki kumbe nipo nachat na jitu la busokelo huko kijijini ambalo limekataa shule, " ulishasikia LISSU akipinga hivyo vitu, unajua hoja zake?"

sasa povu la nini[emoji38][emoji38][emoji38]

wa tecno nasisi tunawajibu nyinyi wa iphone 11 pro max sababu hamstahili kuishi na hizo simu.

kumbe hata humfuatilii mpenzi wenu mbwa wewe.
 
Kama hujui maana ya swali lile, pigania kula yako ya siku ujenzi wa flyover ni jukumu la serikali.

mkuu mimi kupigania mlo wa siku niliishatoka huko.

ndio maana huwezi niambia upupu nikakusikiliza tu.sababu najua wapi nimetoka na wapi nakwenda.
 
Hivi inawezekana vipi binadamu kuwa mpumbavu kwa kiwango hiki?Unaelewa kuwa ni wajibu wa serekali kutoa huduma kama vile maji,elimu,afya,barabara,e.t.c,katika jamii kupitia kodi zetu na ndiyo maana huwa tunawalipa mishahara ili waweze kufanya hivyo?Unaelewa kuwa huwezi kusifiwa au kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wako?

aani kwa mfano sheria inataka dereva kupunguza mwendo anapopita karibu na shule ya watoto,sasa unataka dereva huyu asifiwe na kuoneka shujaa kama atapunguza mwendo akatizapo kwenye shule ya watoto wadogo wakati ni wajibu wake kufanya hivyo?!

Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuonea?
 
sasa povu la nini[emoji38][emoji38][emoji38]

wa tecno nasisi tunawajibu nyinyi wa iphone 11 pro max sababu hamstahili kuishi na hizo simu.

kumbe hata humfuatilii mpenzi wenu mbwa wewe.

mimi nipo internet cafe, sina simu, ila umeonyesha upuuzi wa hali ya juu na najuta kodi yangu kusomesha mtu kama wewe mpaka ulipoamua kuacha shule na kujielekeza kwenye ku- beti.
 
Kama hujui maana ya swali lile, pigania kula yako ya siku ujenzi wa flyover ni jukumu la serikali.
MA-LUMUMBA yameaminishwa tunayofanyiwa na Serikali kuwa ni hisani , siyo hisani ni "lazma " na ndio maana kwa wenzetu usipofanya wana andamana.

Sasa katokea mtu asiyefata katiba, anaamua mwenyewe na nyie mnaamini ni hisani ,poor MATAGA
 
Kwa akili hizi ndio maana jitu linaamka linasema 'sireti maendereo hapa sababu hamjanichagua' na mijitu inashangilia wakati kodi zinakusanywa bila itikadi ya chama.
 

mimi nipo internet cafe, sina simu, ila umeonyesha upuuzi wa hali ya juu na najuta kodi yangu kusomesha mtu kama wewe mpaka ulipoamua kuacha shule na kujielekeza kwenye ku- beti.

betting nayo inataka mtaji,lazima ufanye kazi kwanza.

kama ambavyo unatakiwa uwe na hela ya kulipia hapo cafe.
na sijui ni jaji wa wapi wewe mama.
 
Hata wakoloni walileta maendeleo ya kutosha tukawakataa sisi hatuchagui dikteta kwa kigezo cha flyover, tuna taka uhuru kamili.
Tatizo liko hapa....
 
mkuu mimi kupigania mlo wa siku niliishatoka huko.

ndio maana huwezi niambia upupu nikakusikiliza tu.sababu najua wapi nimetoka na wapi nakwenda.
Basi hilo swali halikuhusu, linawahusu watanzania zaidi ya 90% wanaoishi chini ya dola moja. Waende kushangaa flyover huku nyumbani hajaacha hata kibaba cha unga.
 
Hivi inawezekana vipi binadamu kuwa mpumbavu kwa kiwango hiki?Unaelewa kuwa ni wajibu wa serekali kutoa huduma kama vile maji,elimu,afya,barabara,e.t.c,katika jamii kupitia kodi zetu na ndiyo maana huwa tunawalipa mishahara ili waweze kufanya hivyo?Unaelewa kuwa huwezi kusifiwa au kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wako?Yaani kwa mfano sheria inataka dereva kupunguza mwendo anapopita karibu na shule ya watoto,sasa unataka dereva huyu asifiwe na kuoneka shujaa kama atapunguza mwendo akatizapo kwenye shule ya watoto wadogo wakati ni wajibu wake kufanya hivyo?!

Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuonea?

lakini nyie watu mna vitukp sio poa[emoji23][emoji23].

hivi mtu kama mdee anapoomba kura huwa anasemaje??nichagueni niwaletee maendeleo au nichagueni nikawasemee bungeni??
 
Ethiopia vyote vipo ivyo hawana shobo navyo watu tunataka huru bwaa shekheee .
 
Basi hilo swali halikuhusu, linawahusu watanzania zaidi ya 90% wanaoishi chini ya dola moja.

sasa akiulizwa uhuru wa maoni unamsaidia nini mtu kuishi kwa zaidi ya $ atajibu nini???
 
betting nayo inataka mtaji,lazima ufanye kazi kwanza.

kama ambavyo unatakiwa uwe na hela ya kulipia hapo cafe.
na sijui ni jaji wa wapi wewe mama.
Unakopa salio tigo pesa na ku-beti , nyie vijana ndio mnaangamiza hili taifa.

Jiulize kwanini Ethiopia ina miundombinu bora kabisa Afrika lakini wananchiu wake wanakufa kwenye makontena huko handeni kila siku wakitoroka nchi yao?


hujui maana ya maendeleo japo Nyerere alisema na kila siku mnasikia clip zake, mmeshupaza shingo.
 
Back
Top Bottom