mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,585
Ethiopia vyote vipo ivyo hawana shobo navyo watu tunataka huru bwaa shekheee .
nawewe unaweza enda SA ukimbie tu hapa bongo,maana maisha ni magumu sana.
Ethiopia vyote vipo ivyo hawana shobo navyo watu tunataka huru bwaa shekheee .
Wanataka mtu asifiwe na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisheria?Yaani kwa mfano sheria inasema kuwa dereva yeyote akatizapo kwenye shule yenye watoto anapaswa kupunguza mwendo wa chombo chake ili kulinda maisha ya watoto hao,sasa huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa kama ikitokea dereva huyo akapunguza mwendo kutimiza wajibu wake basi anatakiwa kusifiwa na kuonekana shujaa!Hizi ni akili za wapi?!Kwa akili hizi ndio maana jitu linaamka linasema 'sireti maendereo hapa sababu hamjanichagua' na mijitu inashangilia wakati kodi zinakusanywa bila itikadi ya chama.
Ile ni daraja la juu siyo interchange.Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Unakopa salio tigo pesa na ku-beti , nyie vijana ndio mnaangamiza hili taifa.
Jiulize kwanini Ethiopia ina miundombinu bora kabisa Afrika lakini wananchiu wake wanakufa kwenye makontena huko handeni kila siku wakitoroka nchi yao?
hujui maana ya maendeleo japo Nyerere alisema na kila siku mnasikia clip zake, mmeshupaza shingo.
Ww ni kilaza kweli yaweza kuwa ulikuwa unaangalizia tu darasani huoni kwamba miundombinu ni muhimu sana kuwezesha na kurahisisha shughuli za maendeleo?Haki, Amani na Maendeleo ya Watu maana yake ni kuwawezesha wananchi katika shughuli zao za kiuchumi. Kuwapatia pembejeo katika muda muafaka. Kuwatafutia masoko ya mazao yao na kuwasikiliza changamoto zinazowakabili katika maisha yao ya kila siku.
Well said brother, kuna watu hawajielewi yani. Kuna kijana wa uvccm aliniambia eti ccm wamewapa jeshi la polisi la kuwalinda wagombea wa chadema, sa nkajiuliza saiv jeshi la polisi limekua la ccm au mimi ndo uelewa wangu mdogo?Tindu Lissu aone? Au sisi wananchi walipa kodi tuje tuone pesa zetu zilivyotumika?
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Itafsiri kiswahili kina Jiwe wako wengi hawaelewi.
Hamna akili yoyotr hapo. Uzuri siku hizi watu tumeamka hatudanganyikiWanataka mtu asifiwe na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisheria?Yaani kwa mfano sheria inasema kuwa dereva yeyote akatizapo kwenye shule yenye watoto anapaswa kupunguza mwendo wa chombo chake ili kulinda maisha ya watoto hao,sasa huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa kama ikitokea dereva huyo akapunguza mwendo kutimiza wajibu wake basi anatakiwa kusifiwa na kuonekana shujaa!Hizi ni akili za wapi?!
karibu, kwakuwa Ethiopia wamejielekeza kwenye maendeleo ya vitu na si watu.kwahiyo kuna mfano mmoja tu hasi nao ni ethipia!!!!
kwanini tusijiulize kwanini ethiopia tu??
Ni wajibu wa kila serikali inayokusanya kodiToka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Unaelewa kuwa majukumu ya serekali ya kutoa huduma za afya,maji,elimu,barabara,etc yapo kisheria na wala siyo hiari yao?Yaani unataka kutuaminisha kuwa mtu anapotimiza wajibu wake kisheria anapaswa kusifiwa na kuonekana shujaa?Yaani wewe sheria inakutaka kwa mfano kuendesha gari yako taratibu ukatizapo kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu,sasa unataka watu wakuone shujaa na kukusifia sana kama utatimiza takwa hilo la kisheria?!lakini nyie watu mna vitukp sio poa[emoji23][emoji23].
hivi mtu kama mdee anapoomba kura huwa anasemaje??nichagueni niwaletee maendeleo au nichagueni nikawasemee bungeni??
karibu, kwakuwa Ethiopia wamejielekeza kwenye maendeleo ya vitu na si watu.
Umewashwa nikupe mfano mwengine, "korea kaskazini " wananchi wanatoroka na ukishikwa unapigwa risasi, wamewekeza kwenye vitu na silaha, wananchi wanakufa kwa utapia mlo.
Cuba the same, watu wanatorokea Marekani,
Chad, Libya na nchi nyingi za West Afrika watu wanatoroka sababu hiyo hiyo, kakojoe ulale, saa nne unywe uji ujifunze historia .
Unaelewa kuwa majukumu ya serekali ya kutoa huduma za afya,maji,elimu,barabara,etc yapo kisheria na wala siyo hiari yao?Yaani unataka kutuaminisha kuwa mtu anapotimiza wajibu wake kisheria anapaswa kusifiwa na kuonekana shujaa?Yaani wewe sheria inakutaka kwa mfano kuendesha gari yako taratibu ukatizapo kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu,sasa unataka watu wakuone shujaa na kukusifia sana kama utatimiza takwa hilo la kisheria?!
Kwani Wewe huna Uhuru gani, kitu gani Hapo ulipo hauwezi kufanya ??Ethiopia vyote vipo ivyo hawana shobo navyo watu tunataka huru bwaa shekheee .
Unaelewa majukumu ya mbunge kisheria?Tuanzie hapo kwanzanimekuuliza swali jepesi sana kijana.
maendeleo ni jukumu la serikali tawala,halima mdee anapoomba ridhaa anaomna akisema anataka awe mbunge afanye nini???
naona unaruka ruka tu.
ambao hawaishi kwa mme wa dada yao kama wewe wanfahamu jinsi walivyokuwa wanapoteza muda mwingi kwenye foleni ya Ubungo wakienda kutafuta riziki zao, wewe kula kulala na vyeti vyako vya Kampala University ndio unajaza server za JFwewe
binafsi na mume wako hiyo interchange imekuongezea nini?
imekupa mlo?
imesimamisha riba ya BODI ya mikopo?
ameleta haki sawa kati ya watawala na watawaliwa?