mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,585
Unaelewa majukumu ya mbunge kisheria?Tuanzie hapo kwanza
siyajui yataje hapa.
yote.
Unaelewa majukumu ya mbunge kisheria?Tuanzie hapo kwanza
Tumepoteza sana kwa daraja la kishamba ambalo bado halijaweza kuondoa foleni. Sasa foleni imehamia Mwenge, Mbezi na kwingineko.Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Kampala siyo chuo eeh, haya poyoyo wangu.ambao hawaishi kwa mme wa dada yao kama wewe wanfahamu jinsi walivyokuwa wanapoteza muda mwingi kwenye foleni ya Ubungo wakienda kutafuta riziki zao, wewe kula kulala na vyeti vyako vya Kampala University ndio unajaza server za JF
ambao hawaishi kwa mme wa dada yao kama wewe wanfahamu jinsi walivyokuwa wanapoteza muda mwingi kwenye foleni ya Ubungo wakienda kutafuta riziki zao, wewe kula kulala na vyeti vyako vya Kampala University ndio unajaza server za JF
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
kwa.kweli inter change imedamshi sana.wananchi wa Kawe hawajui hela za fuko la jimbo zipo wap.
Bahati mbaya sana mataga wa lumumba hawaelewi kabisa hicho ulichosema, kwanza ni ujinga kuongelea vidaraja vya juu na wakati kuna watoto wanakaa chini mashuleni kwa kukosa madawati ya kukalia darasani, kuwa ccm mpaka uwe zombie kwanzaUjenzi wa miundo mbinu ni kazi inayofanywa na serikali yoyote iliyopo madarakani,hata Hashim Rungwe analijua hilo,ndio maana amekomaa na Ubwabwa,hayo mengine ni jukumu la serikali.
Lissu ni habari nyingine,atanyoosha hayo makandokando mengine.
Mbunge ni mwakilishi wa mwananchi bungeni.Kwa kifupi kabisa achilia mbali kazi ya kutunga sheria kazi yake nyingine kubwa ni kumsemea mwananchi kwa serekali.Yaani mbunge ni sauti ya mwananchi.siyajui yataje hapa.
yote.
Kwahiyo watu wa ubungo leo wanaweza kupata milo mitatu kwa siku sababu interchange imezinduliwa. Ajabu kwenye kampeni yale majigambo ya Tumetekeleza kwa kishindo yamekwisha ni mwendo wa kupiga magoti na kuosha vyombo.
Siasa bwana mtu hajajenga flyover, SGR wala kununua ndege, hana bango hata moja, hakuna chombo cha habari kinamuonesha ni mitandao tu, hata mikutano yake haitangazwi lakini nyomi siyo kawaida.
Yule aliyejenga flyover, SGR na kununua ndege, kuweka mabango nchi nzima, kutumia vyombo vya habari vyote ndiye anahangaika kusomba watu kwa magari kama haitoshi kufunga shule wanafunzi waende kwenye mikutano ilinkujaza vichwa aonekane anapendwa.
Yaani unajidanganya hadi unajishtukia unaamuwa kupiga magoti kuomba usamehewa sababu una ufahamu ukweli wote kwamba hukubaliki tena.
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Uhuru upi unaoutaka wewe?Hata wakoloni walileta maendeleo ya kutosha tukawakataa sisi hatuchagui dikteta kwa kigezo cha flyover, tuna taka uhuru kamili.
We mpuuzi unajua nini? acha wanaume wajadili mambo makubwaUhuru upi unaoutaka wewe?
(1) Ufanye wizi usikamatwe?
(2)Utumie cheti cha dada yako upate kazi ?
(3) Utukane kila mtu usiempenda usikamatwe?
HAKUNA UHURU USIO NA MPAKA HATA MBINGUNI UTAKUTA NI HIVYO HIVYO.
Mbunge ni mwakilishi wa mwananchi bungeni.Kwa kifupi kabisa achilia mbali kazi ya kutunga sheria kazi yake nyingine kubwa ni kumsemea mwananchi kwa serekali.Yaani mbunge ni sauti ya mwananchi.
Uhuru upi unaoutaka wewe?
(1) Ufanye wizi usikamatwe?
(2)Utumie cheti cha dada yako upate kazi ?
(3) Utukane kila mtu usiempenda usikamatwe?
HAKUNA UHURU USIO NA MPAKA HATA MBINGUNI UTAKUTA NI HIVYO HIVYO.
We mpuuzi unajua nini? acha wanaume wajadili mambo makubwa
Wanataka mtu asifiwe na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisheria?
No!Hujajibu hoja yangu ya msingi ya kwa nini mnataka mtu asifiwe na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisherianadhani tumeelewana sasa.
We bwege sana. Hizo ni kampeni za mwaka 47.Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.